CHADEMA kuna la kujifunza hapa. Hapi anapiga kilimo cha ukweli sio kilimo cha selfie. Vijana wa CCM wapo makini, wamefundwa

Wewe kamanda tindo bila nyanya za Iringa hapo Dar hauna maisha.

Shamba la mbowe lilikuwa ndani ya mita 60 kinyume na sheria ya mazingira. Ulitaka liachwe?
 
Alikuwa Masalia Ya Mzilankende Akawa Anajibu Kama Hakuna Kesho, Cheo Hakipo
 
Ulimaliza la saba?
muda unaopoteza kuandika USHUZI JF ni vema ungeutumia kwenda Karanga Jela pale kumpelekea Jenerali Sabaya walau Nyembe za kunyolea vuzi na sabuni,ni vitu adimu sana mle ndani,kaisha kimebaki kichwa tu mamamae,hakika What Goes Around Comes Around
 
Wewe kamanda tindo bila nyanya za Iringa hapo Dar hauna maisha.

Shamba la mbowe lilikuwa ndani ya mita 60 kinyume na sheria ya mazingira. Ulitaka liachwe?

Kwa taarifa yako ukiacha greenhouse ya Mbowe, ziko nyingine kibao ziko umbali huohuo na hazijafanywa chochote. Zile zilikuwa Siasa chafu za dhalimu.

Kama ningekuwa nangoja nyanya za Ali Hapi, hadi leo ningekuwa sijawahi kula nyanya.
 
Leo hii hata AIBU mnakosa ,enzi za baba yenu magufuli hamkutaka kusikia habari ya JF Leo hii mnaitumia kutangazia UPUMBAVU wenu
 
Atamkumbuka magufuli mpaka siku yake ya kuondoka hapa duniani. Jeuri yote kwisha. Aliwajaza sana upepo hawa vijana.

Wapi Paul Makonda aka Daudi Albert Bashite! Wapi General Lengai Ole Sabaya!!
Hilo ndio mnaloweza, "time and tide wait for no man"
 
Tatizo la hii nchi mifumo ukibadilika tuu unamsikia analipa kama fisi wa wachawi akifa mchawi.


Hawa majina Yao yanawaokoa ..lengai angekuwa haja majina angekuwa busy na Mbowe sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…