Acha utani wako mkuu, Mimi nashinda shambani muda Mwingi, Nakukaribisha pia shambani ulime na uache kulia Lia habari za Bei ya vyakula kupanda utafikiri sisi wakulima ndio tulizaliwa kubeba matatizo yenu watu wa mjini, acha Nasi tufaidike na jasho letu, mama yetu Rais Samia ametambua machungu tunayoyapata na kuyapitia wakulima ndio maana ametutazama kwa jicho la huruma na upendo, hakika wakulima tutamlipa Rais Samia kwa kumpigia kura za Ndio kwa kishindo uchaguzi ujao na kumfanyia kampeni ya nyumba kwa nyumba