Pre GE2025 CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Februari 1

Pre GE2025 CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Februari 1

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Kile Chama cha siasa kinachoungwa mkono na Wananchi wengi zaidi kuliko chama chochote Nchini Tanzania, kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi kwenye ofisi ndogo za Makao Makuu, Ufipa Street, Kinondoni.

Kaa tayari kupokea mbinu mpya za kupambana ba Majangili wa Haki za Uchaguzi Nchini Tanzania.

Usiondoke JF, kwa sababu yako mengi sana mazuri yanakuja.

Screenshot_2024-01-31-13-18-44-1.png
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Kile Chama cha siasa, kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi kwenye ofisi ndogo za Makao Makuu , Ufipa Street , Kinondoni.

Usiondoke JF , kwa sababu yako mengi sana mazuri yanakuja
Asante kwa taarifa, hatuondoki jf, tuko standby kufuatilia kwa karibu press conference hii, ila lile swali la the venue bado linanitatiza, heading inasema the venue ni Makao Makuu ya chama, contents inasema ni ofisi ndogo za Makao Makuu , Ufipa Street , Kinondoni!.

Kama tayari Chadema ina makao makuu mapya, why Ufipa?.
P
 
Kama kingekuwa kinaungwa mkono na wananchi si mngekuwa na wabunge ata 200 bungeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hila CHADEMA Mnajitekenya na kucheka wenyewe
Muulize Hangaya kwanini anakwepa maoni ya wadau kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ?
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Kile Chama cha siasa kinachoungwa mkono na Wananchi wengi zaidi kuliko chama chochote Nchini Tanzania , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi kwenye ofisi ndogo za Makao Makuu , Ufipa Street , Kinondoni.

Kaa tayari kupokea mbinu mpya za kupambana ba Majangili wa Haki za Uchaguzi Nchini Tanzania

Usiondoke JF , kwa sababu yako mengi sana mazuri yanakuja

View attachment 2889739
Chadema ni chama cha wachaga.
 
Back
Top Bottom