CHADEMA mjue demokrasia ni mchezo wa namba. Hao maskini, wazee, wenye elimu duni, wanawake na waishio vijijini mnaowadharau ndo wengi sana na huwa waaminifu sana kuamka asubuhi mapema kwenda kupiga kura. Acheni huo ushenzi wa kudhani wasomi na matajiri ambao ni wachache ndo wawawezesha kushika dola. Huo utafiti ulitakiwa uwaamshe toka usingizini ili muanze kusaka uungwaji mkono na hayo makundi mnayoyadharau. Kibaya zaidi siku za karibuni mmejipaka mavi kwa kujitumbukiza kwenye udini... mmeki-brand chama kuwa ni cha kikristo. MSIPOFUATA HUU USHAURI WANGU MTAISHIA KUWA WAPINZANI TU