Joseph Kasa-Vubu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 356
- 550
wapuuzi wale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asante kwa taarifa, hatuondoki jf, tuko standby.
P
Samia na washauri wake wajanja sana: maandamano wamefanya nyumbu faida za maandamano hayo zote zimemuendea yeye utafikiri ndo aliyeyaratibu. Nyumbu waliishia kupakaa vumbi kwenye kope za macho tu na kutoka jasho jasho linalonuka kwenye kwapa zao.Maandamano aruhusu Rais Samia! mbona unampa ukubwa asiokuwa nao?
Eti kinachoungwa mkono na wananchi wengi zaidi. Thibitisha uweke na idadi. Huu ni ubwabwajaji kama ubwabwajaji mwingine wa chademaTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Kile Chama cha siasa kinachoungwa mkono na Wananchi wengi zaidi kuliko chama chochote Nchini Tanzania , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi kwenye ofisi ndogo za Makao Makuu , Ufipa Street , Kinondoni.
Kaa tayari kupokea mbinu mpya za kupambana ba Majangili wa Haki za Uchaguzi Nchini Tanzania
Usiondoke JF , kwa sababu yako mengi sana mazuri yanakuja
View attachment 2889739
Tunasubiri MwongozoTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Kile Chama cha siasa kinachoungwa mkono na Wananchi wengi zaidi kuliko chama chochote Nchini Tanzania , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi kwenye ofisi ndogo za Makao Makuu , Ufipa Street , Kinondoni.
Kaa tayari kupokea mbinu mpya za kupambana ba Majangili wa Haki za Uchaguzi Nchini Tanzania
Usiondoke JF , kwa sababu yako mengi sana mazuri yanakuja
View attachment 2889739
Uliumia ukiwa wapi Mkuu?Samia na washauri wake wajanja sana: maandamano wamefanya nyumbu faida za maandamano hayo zote zimemuendea yeye utafikiri ndo aliyeyaratibu. Nyumbu waliishia kupakaa vumbi kwenye kope za macho tu na kutoka jasho jasho linalonuka kwenye kwapa zao.
Ccm ni chama cha kichawi.....kuna mdau kafumua siri hiiTunataka maandamano ya umeme. Tumechoka kuletewa umeme saa 6 usiku asubuhi wanazima
Mkuu, kwa hakika niliumia nkiwa kwenye maandamano ya nyumbu wa mbowe huku nikila vumbi na kutoka jasho la kwapa kwa hasira baada ya kupigwa 3 kwa sifuri kiulaiiini na mama Samia, The Mother of Modern Tanzania.Uliumia ukiwa wapi Mkuu?
Roho mbaya inakutia umaskini dogoMkuu, kwa hakika niliumia nkiwa kwenye maandamano ya nyumbu wa mbowe huku nikila vumbi na kutoka jasho la kwapa kwa hasira baada ya kupigwa 3 kwa sifuri kiulaiiini na mama Samia, The Mother of Modern Tanzania.
Kwangu mimi mwenye roho mbaya ni yule a,chukiae bila sababu kipenzi chetu watanzania kwa mama kwa sasa, Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania!!!Roho mbaya inakutia umaskini dogo