Heshima kitu cha bure, heshimuni watu na msitukane wadada wa watu kuwa ni mala.. unless kama alikuuzia!.
Japo kwenye hii hama hama ya wanasiasa, kuna wahamaji wa aina 3.
1. Wasaka fursa, hawa ndio wanasiasa malaya malaya,
Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary) | JamiiForums
2. Bendera fuata upepo, hawa ni wanasiasa waabudu watu, mtu wao akihama wanahama nae.
3. The bonafide genuine ones ambao ni watu wa principles wameingia upinzani for genuine reasons lakini wakabaini vyama vyao sio, hivyo wakaona bora warejee CCM!.
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja? | JamiiForums na hapa
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike | JamiiForums
Masikini Chadema...!, lost this Gold in the rough! .
View: https://youtu.be/aHJGqYKrX5U?si=uX9m2pe3OIrHIHTX,
Nimemsikiliza, nimeguswa!.
Kiukweli I was very right about this beautiful queen, young and very energetic lovely lady ambaye ni beauty with brain!.
Nilimfahamia Upendo Peneza kupitia kwa Regia Mtema (RIP)
Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?
Angalieni niliwahi kusema nini kumhusu Upendo Furaha Peneza humu[/SIZE]
- Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
- Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
- Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
- Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
- Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
- Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
- Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
- Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
- Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
- Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
- Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
- Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
- Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!
Nilikuja kumtafuta na nikaja kukutana nae
View attachment 2879719
Hapo tulipokutana, yeye akiwa 20 something, mimi nilikuwa 50 something, nikiwa nimeisha oa na nina watoto 10!, hivyo sikuthubutu kumweleza lolote la moyoni mwangu, ila ningekuwa kijana... nakuapia... Haki ya ...!, nisinge kubali, .... naomba nisimalizie!.
Mungu ambariki sana Upendo Furaha Peneza!, hapa CCM imelamba dume!, naomba mimi ndio niwe mwana JF wa kwanza kuwatangazia Mbunge wa Geita 2025!.
Binti mwenye wasifu kama huu, hawezi kuwa mala..!.
P