Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Asante kwa taarifa, hatuondoki jf, tuko standby kufuatilia kwa karibu press conference hii, ila lile swali la the venue bado linanitatiza, heading inasema the venue ni Makao Makuu ya chama, contents inasema ni ofisi ndogo za Makao Makuu , Ufipa Street , Kinondoni!.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Kile Chama cha siasa, kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi kwenye ofisi ndogo za Makao Makuu , Ufipa Street , Kinondoni.
Usiondoke JF , kwa sababu yako mengi sana mazuri yanakuja
Karibu sanaAsante kwa taarifa, hatuondoki jf, tuko standby.
P
Muulize Hangaya kwanini anakwepa maoni ya wadau kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ?Kama kingekuwa kinaungwa mkono na wananchi si mngekuwa na wabunge ata 200 bungeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hila CHADEMA Mnajitekenya na kucheka wenyewe
Nafikiri Unajua kwanini hakina wabungeKama kingekuwa kinaungwa mkono na wananchi si mngekuwa na wabunge ata 200 bungeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hila CHADEMA Mnajitekenya na kucheka wenyewe
😆😆😆😆 Makonda huyu huyu aliyesema "KAMUULIZE MAMAAKO "Wamemkimbia Makonda kwenye mdahalo!
Vilaza wakubwa
Aliwaruhusu muandamane au umeshasahau manka?Muulize Hangaya kwanini anakwepa maoni ya wadau kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ?
Chadema ni chama cha wachaga.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Kile Chama cha siasa kinachoungwa mkono na Wananchi wengi zaidi kuliko chama chochote Nchini Tanzania , kitaongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya Nchi kwenye ofisi ndogo za Makao Makuu , Ufipa Street , Kinondoni.
Kaa tayari kupokea mbinu mpya za kupambana ba Majangili wa Haki za Uchaguzi Nchini Tanzania
Usiondoke JF , kwa sababu yako mengi sana mazuri yanakuja
View attachment 2889739
Maandamano aruhusu Rais Samia! mbona unampa ukubwa asiokuwa nao?Aliwaruhusu muandamane au umeshasahau manka?
Nje ya mada: Ansbert Ngurumo unaona anyota habari kwa kutumia higher mental faculties, mnashindwa nini mtu kama wewe? Tatizo lako nadhani ni UCHAWA otherwise.........Asante kwa taarifa, hatuondoki jf, tuko standby.
P
Naunga mkono hojaTunataka maandamano ya umeme. Tumechoka kuletewa umeme saa 6 usiku asubuhi wanazima
Kina wabunge wangapi huko Kilimanjaro ?Chadema ni chama cha wachaga.
Sasa HQ ya Chadema ni Ufipa st au Mikocheni maana mnatuchanganya 😂😂Maandamano aruhusu Hangaya ! mbona unampa ukubwa asiokuwa nao ?