CHADEMA kuongea na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama

CHADEMA kuongea na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama

Duuh hicho chama mwenyekiti yupo Dubai, makamu wake ubelgiji na ofisi Zipo nje ya jiji la Dar.
 
Safi, naomba wahoji kwanini nchi inaendeshwa auto pilot?
 
Mkutano wa Kimataifa?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]CHADEMA ni kama mazuzu tu.
 
Mkuu CHADEMA haitegemei mtu mmoja kuendesha chama.
Makao makuu kua nje ya mji haikizuii chama kufanya shughuli zake
Ikatokea kuna nyaraka inatakuwa makamu mwenyekiti atie saini.

Hapo mnaiprint, mnascan mnamtumia kwa wasaap, anadownload anasaini ana watumia tena kwa WhatsApp na nyie mnaiprint mnafanya binding.

Ama kweli hiki ni chama cha mitandaoni, sio bure kila jambo mnapost mitandaoni.
 
Mkutano wa kimataifa, duh ni mataifa mangapi yatashiriki, na agenda ni nini?
Sasa pale ufipa pana hadhi ya kufanyia mkutano wa kimataifa?
Au mnataka kuonyesha udhifu wenu ili mpate msaada wa jengo
 
Mimi ninacho jua kama hayupo Dsm atakuwa Chato na kama hayupo Chato atakuwa Dodoma. Full Stop!
 
Hiyo sio kwamba ni kukua kwa technolojia TZ kutokana na kasi ya JPM katika kukuza technolojia?
 
Wataongea nin bavicha!?tutegemee kejeli,na matusi.maana hata viongozi wao midomo yao imejaa matu...tsi
 
Natabiri huu mkutano utazuiwa na polisi sababu intelligencea ya polisi inaonyesha kuwa chadema inaenda kuongeza taharuki kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom