Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Dhamana ya nini?Wanashughulikia dhamana kwanza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhamana ya nini?Wanashughulikia dhamana kwanza!
Well said, Chadema na hasa viongozi wote wa juu waachane na habari ambazo hazina uhakika. Inawapunguzia kuaminika kwa jamii.Nitawashangaa sana kama watazungumza habari za uzushi.
Uzushi waachieni kina kigogo lakini sio ninyi mnaoeleweka na mamilioni ya watanzania kuanza kuzungumzia habari zisizotusaidia.
Someni alama za nyakati msije mkajidharaulisha kwa watanzania waliowaelewa
Mkuu, tuwekee clip hapaHii ndio taarifa inayosambaa duniani hivi sasa, Mkutano huo wa Kimataifa utafanyika Makao Makuu ya CHADEMA, Kinondoni Mtaa wa Ufipa, Nje kabisa ya Jiji la Dar es Salaam.
Wote mnakaribishwa.
Ngoja tuone Dr Mwigullu Nchemba atakavyomshughulikia J J Mnyika kwa mujibu wa sheria!John Mnyika yuko live
Anazungumzia suala la Rais kwa mujibu wa katiba.
CHADEMA waitaka Serekali kutoa tamko kuhusu wapi alipo Rais.
Yaani hili lichama sijui limekuwaje siku hizi.CHADEMA wazungumzie hata
1. Hatma ya wanaoitwa wabunge wao 19
2. Kwa nini mkutano mkuu haufanyiki
3. Hali ya siasa nchini na hatma ya siasa za upinzani
4. Hivi kweli ni realistic kuendelea kuamini Tundu Lissu ni kiongozi wa Chama, wakati hayupo Tanzania. He does not involve himself in active politics
MZEE ACHANA NA TISS ...SI WALISEMA HAINA MENO NA HAIJUI KUSHUGHULIKA NA WANAOENDA KINYUME ...Chadema watumie busara Kama wanataka kuongea kuhusu uvumi
Ni chama kikubwa Kama sio kuibiwa Kura wangetikisa uchaguzi uliopita.waonyeshe value yao.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Why?Acheni uzushiYAMETIMIA ............SOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO SAD🙁
Kamawewe uliyoTumewachoka fanyeni kazi, kila siku ni kuongea na wana habari, kaongeeni na wananchi, mwishoni mtakuwa mnaongea majungu tu.
Sio jambo la kufurahisha ,lakini ndio hivyo na ndio Taifa likafikishwa hapo ....tumejifunza !!Why?Acheni uzushi
Bado hujasema kilichotimia ni kipiSio jambo la kufurahisha ,lakini ndio hivyo na ndio Taifa likafikishwa hapo ....tumejifunza !!
Japo wengine toka 2016 tulishauri , asaidiwe ili asiende vibaya pengine alikuwa hataki kuzungukwa na wanaomshauri ukweli akabaki na wanaomshauri anachotaka kusikia ..
Wote waliomfikisha hapo ni maadui wa taifa na wanatakiwa kuwa ex-communicated ...tumejifunza tunahitaji katiba mpya kuzuia tusijikute katika hali kama hii asipenye mtu wa namna hiyo .
Tunajitaji maaelewano na upendo utawale !! tunahitaji kusameheana , truth and reconcilliation ...
Ndani ya vyama pia mfano ccm kuna wengi wameumia .....na pia wapinzani wengi wameumia sana na kulazimishwa kuwa upande wasiotaka kwa uwoga tu ....mfikirie mtu kama Halima Mdee anajisikiaje kujikuta kwenye hali ile kwakulazimika , au mtu kama Kinana anajisikiaje kudharaulika pamoja na kazi aliyofanya ...
Mambo ni mengi !!
Achana nao hao ndio wafuasi wa uchetani ..hawajui Ubaya haulipi?? Hawajifunzi tu machozi ya watu?? au kutukana watumishi wa Mungu kwenye altare???Rejea uchaguzi mkuu 2020, hao wote walioipa kura CHADEMA ni mateja na wabakaji?.Tumia hata 0.5% ya akili zako.
Acha kuwahùna ombi lake la chanjo za kugandisha damu za watu.
Kimenuka !John Mnyika yuko live
Anazungumzia suala la Rais kwa mujibu wa katiba.
CHADEMA waitaka Serekali kutoa tamko kuhusu wapi alipo Rais.
Pawaaaa💪💪People's power