CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Instagram_post_by_John_John_MNYIKA_•_May_9,_2021_at_3:34am_UTC%22_.jpg

Muhimu : Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona .
 
chadema tumewachoka, yote hiyo ni wivu kisa kina halima waanakula posho,

Mmeshamuona SASHA ni dhaifu ,mmeanza kila siku press, soon mtaanza mikutano na vurugu kama enzi za JK
Hao nyumbu ndicho wanachokitafuta. Chama cha Mbowe cha kipuuzi Sana.
 
Lema na Lisu mnarudi lini Tanzania?

Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?
Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lisu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA
 
Upumbavu wa mtu huthibitishwa na matamshi yake.
 
chadema tumewachoka, yote hiyo ni wivu kisa kina halima waanakula posho,

Mmeshamuona SASHA ni dhaifu ,mmeanza kila siku press, soon mtaanza mikutano na vurugu kama enzi za JK
Nadhan isiingefaa Wala haifai kutumia neno DHAIFU kwa kiongozi ambaye toka aingie madarakani hata siku 90 hazijatimia! Huyo Mama ni msikivu, tatizo letu watanzania tukipata mtu msikivu tunamwita dhaifu, matokeo yake yanakua Kama Yale tunapata viongozi wababe wababe na wenye kiburi Kama akina Ndugai na Jiwe!

Wakat mwingine tutumie lugha za kistaarabu!
 
chadema tumewachoka, yote hiyo ni wivu kisa kina halima waanakula posho,

Mmeshamuona SASHA ni dhaifu ,mmeanza kila siku press, soon mtaanza mikutano na vurugu kama enzi za JK
Zima TV tu,hakuna namna,maana ni chama halali kilichosajiliwa ambacho mwendazake alipambana kukiua lakini akafa yeye na akakiacha kinaishi
 
Back
Top Bottom