CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Lema na Lisu mnarudi lini Tanzania?

Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?
Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lisu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA
mnataka kuwaua tena? mbona Huulizi Shetani Magufuli anafufuka lini?
 
Mkuu nenda makao makuu ufipa utapata majibu!
Nenda jitambulishe wewe etwege

Ova
 
View attachment 1778395

Muhimu : Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona .
Nitajie nchi ambayo hakuna corona baada ya kufuata muongozo.
nyie wapinzani toka JPM mnalizimisha lockdown utafikiri mna maisha ya kibillionea kumbe wala mihogo tu,ili nanyi muonekane mnafuate muongozo.
hovyo kabisa endeleeni kumpotosha rais,leo corona ina zaidi ya mwaka mmoja kwani tunaishije?
 
Jikite kwenye mada
 
Back
Top Bottom