Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 May 9, 2021 #41 Jackwillpower said: chadema tumewachoka, yote hiyo ni wivu kisa kina halima waanakula posho, Mmeshamuona SASHA ni dhaifu ,mmeanza kila siku press, soon mtaanza mikutano na vurugu kama enzi za JK Click to expand... Vurugu walifanyiwa na wenye mawazo kama yako.
Jackwillpower said: chadema tumewachoka, yote hiyo ni wivu kisa kina halima waanakula posho, Mmeshamuona SASHA ni dhaifu ,mmeanza kila siku press, soon mtaanza mikutano na vurugu kama enzi za JK Click to expand... Vurugu walifanyiwa na wenye mawazo kama yako.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 May 9, 2021 #42 Bila bila said: Upumbavu wa mtu huthibitishwa na matamshi yake. Click to expand... Huyo jamaa ana ushabiki wa Kijinga sana kuliko hata ule kwenye Kahawa
Bila bila said: Upumbavu wa mtu huthibitishwa na matamshi yake. Click to expand... Huyo jamaa ana ushabiki wa Kijinga sana kuliko hata ule kwenye Kahawa
B bato JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,961 Reaction score 3,466 May 9, 2021 #43 Mkutano umeyeyuka
MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,169 Reaction score 3,297 May 9, 2021 #44 bato said: Mkutano umeyeyuka Click to expand... Tff washafanya yao
ostrichegg JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 12,050 Reaction score 6,199 May 9, 2021 #45 Jackwillpower said: chadema tumewachoka, yote hiyo ni wivu kisa kina halima waanakula posho, Mmeshamuona SASHA ni dhaifu ,mmeanza kila siku press, soon mtaanza mikutano na vurugu kama enzi za JK Click to expand... Sema ukweli, mnawagwaya mno. Nchi ni HURU na ni ya kwetu sote. Ukianza kukubali na kutambua hivyo nawe utakuwa huru na MUNGU atakupenda.
Jackwillpower said: chadema tumewachoka, yote hiyo ni wivu kisa kina halima waanakula posho, Mmeshamuona SASHA ni dhaifu ,mmeanza kila siku press, soon mtaanza mikutano na vurugu kama enzi za JK Click to expand... Sema ukweli, mnawagwaya mno. Nchi ni HURU na ni ya kwetu sote. Ukianza kukubali na kutambua hivyo nawe utakuwa huru na MUNGU atakupenda.