Kwa hivyo akijiunga ccm atapewa nafasi kugombea ubunge au?? Mbona hiyo ni ndoto ya mbali?? Hata udiwani hapati nafasi ccm. Tulliwapa nafasi kugombea hizo nafasi zao ili wasijiue lakini sasa 2020 tupo sote kwenye ballot hivyo agombee huko huko CDM yao tuwabwageSiyo kwamba nafurahia mkuu...... Sasa wewe unaelewa historia ya JJ Mnyika kwa mfano hadi umtake aanzishe chama chao?!
Hahahaaa........ Mzee Mgaya anamshangaa Tundu Antipas Lisu kugombea " kacheo" ka kwenda kumpikia chai Mwenyekiti!Mzee Mgaya na Mchungaji Erasto nao wamesemaje? Huo usiku wa mwaka mpya ni mbali, wahamie hata usiku huu, uzuri ni kuwa hatuko upinzani kwa ajili ya kuwafuata wao. Wanaweza kwenda ccm muda wowote, lakini msimamo wetu ni dhabiti na hatushawishiki kwa lolote na wao.
CHADEMA ikiishia unanufaikaje mkuu, au wananchi watanufaikaje?Hahahaaa........ Chadema ndio inaishia hiyo!
Hocus pocus. what a foolish foolUtayakumbuka maneno yangu November 2020 utakapokuwa ndani ya treni ukirejea kwenu machame!
CCM vyeo ni vingi siyo lazima uwe mbunge!Kwa hivyo akijiunga ccm atapewa nafasi kugombea ubunge au?? Mbona hiyo ni ndoto ya mbali?? Hata udiwani hapati nafasi ccm. Tulliwapa nafasi kugombea hizo nafasi zao ili wasijiue lakini sasa 2020 tupo sote kwenye ballot hivyo agombee huko huko CDM yao tuwabwage
Kwa kua kila mtu ana pigania tumbo lake haishangazi kuona wote wanahamia upande huo. Maana mkuu alishaamua hakuna kutoa ushindi kwa upande ule mwingine. Mfumo uliopo sasa hivi unawalazimisha watu wafuate upande huo hata kama hawataki, maana ukiwa upande ule hutoweza kujaza fomu ya kuomba nafasi yoyote na ukiwa upande huo unapitishwa bila kupingwa. Sasa kwa nini watu wasiende kutengeneza ugali wao? Hakuna siku njaa ime muacha mtu salama.Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.
Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.
Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020
Maendeleo hayana vyama!
Hela ya ruzuku itajenga madarasa na kuongeza dawa kwenye zahanati!CHADEMA ikiishia unanufaikaje mkuu, au wananchi watanufaikaje?
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.
Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.
Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020
Maendeleo hayana vyama!
Subiri November 2020 urudie kazi yako ya kupiga ngeta huko machame bwashee!Hocus pocus. what a foolish fool
Hahahaaa........ Mzee Mgaya anamshangaa Tundu Antipas Lisu kugombea " kacheo" ka kwenda kumpikia chai Mwenyekiti!
Mchungaji Erasto naye amemshangaa Mwambe kwa kumfananisha Mbowe na Yesu mwokozi na kwamba yeye ( Cecil Mwambe) ni Simon mkirene..........amesema hiyo pekee inaonyesha Mwambe ameshashindwa kabla ya uchaguzi!
Maendeleo hayana vyama
Tena barua ya Prof Safari mh Daktari Bashiru anatembea nayo mkobani mwake!SIJUI NANI KATI YA CDM NA ACT ANA NAFUU!
Jahazi la CDM linazama; nahodha kag'ang'ania usukani! Hataki kujiachia nahodha mwingine kuokoa jahazi. Wajanja wananyanganyana maboya na kuchupa.
Hakuna mtu aliye makini atasalia katika jahazi linalozama. Nasikia hata Prof. Abdallah Safari amestuka. Hakugombea tena nafasi ya Makamu Mwenyekiti. Nadhani anajiandaa kuchukua boya kuchupa.
Sidhani kama inajalisha...hoja yake imenyookaAhaaaa ahaaa, kwa hiyo hao wote umekutana nao leo wakakupa hizo habari?
Ndio uwezo wako wa kuchanganua mambo umefikia hapo mkuu!!Hela ya ruzuku itajenga madarasa na kuongeza dawa kwenye zahanati!
Hapa nipo Kanisani kwa maandalizi ya kesho.Ahaaaa ahaaa, kwa hiyo hao wote umekutana nao leo wakakupa hizo habari?
Tena barua ya Prof Safari mh Daktari Bashiru anatembea nayo mkobani mwake!
Wewe ulitaka ufike kwenye hilo banda la familia ya Bob Makani hapo Ufipa?!Ndio uwezo wako wa kuchanganua mambo umefikia hapo mkuu!!
Sasa asubiri nini tena?!Eeh! Kumbe Prof amjiongeza mpaka huko!
Nimeuliza kwa nia njema tu mkuu, maisha ya duniani ni kama kufukuza upepo na kinachotokea mwisho wake ni ubatili na majuto.Wewe ulitaka ufike kwenye hilo banda la familia ya Bob Makani hapo Ufipa?!
Hao wabunge watahamia CCM baada ya bunge kuvunjwa na wao kulipwa stahiki zao!