Sidhani kama inajalisha...hoja yake imenyooka
Hapa nipo Kanisani kwa maandalizi ya kesho.
Na mzee Mgaya nimeonana naye jioni tukizungumzia ushindi wa bondia wetu!
Black racismUtayakumbuka maneno yangu November 2020 utakapokuwa ndani ya treni ukirejea kwenu machame!
Ni kama wanajigharamia wenyewe maana wao na wanachama wanalipa kodiKimsingi haina tija kabisa........ Lakini ni ujinga kuwa na Upinzani unaogharamiwa na serikali kwa kila kitu.
Kiongozi yoyote mwenye maono hawezi kulea aina ya upinzani kama huu wa Tanzania....... Yaani serikali ikupe ruzuku kwa kazi ya kuitukana na kuikwamisha?!
Hapo Ufipa nani analipa kodi zaidi ya vile vitambulisho vya mjasiriamali walivyosaidiwa na mkuu wa mkoa?!!Ni kama wanajigharamia wenyewe maana wao na wanachama wanalipa kodi
Na kujengea matundu ya vyoo maana ni aibu under CCM administration tunajengewa vyoo kwa msaada, uhuru wetu upo wapi hapo.Hela ya ruzuku itajenga madarasa na kuongeza dawa kwenye zahanati!
Mimi ni mlipa kodi, an executive in the american company invested in TZHapo Ufipa nani analipa kodi zaidi ya vile vitambulisho vya mjasiriamali walivyosaidiwa na mkuu wa mkoa?!!
Kwahiyo mlitaka hata choo cha hiyo nyumba ya akina Bob Makani hapo Ufipa mjengewe na serikali?!Na kujengea matundu ya vyoo maana ni aibu under CCM administration tunajengewa vyoo kwa msaada, uhuru wetu upo wapi hapo.
Kodi unayolipa inafika sh 326 milioni kwa mwezi?!Mimi ni mlipa kodi, an executive in the american company invested in TZ
Kwa hisani ya mzee MgayaNimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.
Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.
Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaa......hahahaaa...... Ushabugia mbege ya kutosha bwashee!Yohana mbatizaji akili zake hazikuwa katikati ya makalio kama wewe unayetumia njia ya haja kubwa kufikiri.
Shwain we
Mkuu yohana mbatizaji kama kweli una sauti hapo juu mahali palipoinuka basi hebu toa ushauri kwa wakuu wa dola kuwa upinzani wa kisiasa ndani ya nchi haumalizwi kirahisi hivyo. Huwa nashangaa sana kuona watu wa dola wanaoisimamia CCM kutokuwa na mikakati ya nguvu iliyoenda shule kushughulikia upinzani nchini.
Wanachofanya hivi sasa ni kupoteza muda tu. Mbaya zaidi wanajikusanyia mamluki wenye njaa na fitna kibao - an explosive lot ready to send the party to hell with a really loud bang!
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.
Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.
Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020
Maendeleo hayana vyama!
Hii pesa inayotumika kuwanunua chadema ingeelekezwa kwenye kuleta maendeleo Nchi ingepiga hatua kubwaNimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.
Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.
Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020
Maendeleo hayana vyama!
ccm haina mikakati imara inachukua pesa za umma kuwanunua wapinzani hiyo ni mikakati ya matumizi mabaya ya pesa za ummaMIKAKATI YA CCM NI IMARA SANA.
Msingi Mkuu wa chama cha siasa ni itikadi na sera zake. CCM inavyo vitu hivyo na inavisimamia na kuvitekeleza. Ndiyo shule yenyewe hiyo. Huwezi kuwa huna mikakati ya nguvu ukashika dola na kuongoza nchi kwa kipindi chote hicho.
Hivi unaposema CCM haina mikakati imara unailinganisha CCM na chama kipi cha siasa hapa nchini? Ebu tutajie, kwa mfano tu, itikadi na sera ya chama kingine katika eneo moja tu.
Upinzani upo moyoni hata wakiwanunua moyoni hawatabadilika watabakia upinzani lakini machoni wanazuga na kula pesa zao tuYap, ndio maana nimemuambia hao viongozi wasingoje mwaka mpya huko ni mbali sana, waondoke hata usiku wa leo. Waende wakalinde matumbo yao, sisi bado msimamo wetu uko pale pale kuwa hatuikubali ccm fullstop.
Wapinzani ndiyo walipa kodi ccm wengi hawalipi kodi lakini wanatafuna pesa za walipa kodi hakuna mfanoHapo Ufipa nani analipa kodi zaidi ya vile vitambulisho vya mjasiriamali walivyosaidiwa na mkuu wa mkoa?!!
Kugawa vyeo kwa njia za kushawishi kuhama chama ni RushwaCCM vyeo ni vingi siyo lazima uwe mbunge!