Ndoto za alinacha akiwa kwenye maliwatoNimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.
Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.
Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020
Maendeleo hayana vyama!
ccm haina mikakati imara inachukua pesa za umma kuwanunua wapinzani hiyo ni mikakati ya matumizi mabaya ya pesa za umma
ccm haina mikakati imara inachukua pesa za umma kuwanunua wapinzani hiyo ni mikakati ya matumizi mabaya ya pesa za umma
Yaaani iishie kisa mnachukua madiwani na wabunge,Chama kilipambana kikiwa na wabunge watano tu,na halmashauri moja,basiHahahaaa........ Chadema ndio inaishia hiyo!
Mkuu Ni haki Yao kufanya hivyo kisheria kwahiyo waache tu Kama walivyoBoss johnthebaptist Kwanini wasisubiri tu Uchaguzi Mkuu tu??? !!!
Madiwani 100 na Wabunge zaidi ya 20, kurudia Chaguzi ni Pesa ndefu sana.
Wamepima Upepo kwenye Manunuzi, wameona WaTanzania wajinga,
Wamepima Upepo kwenye Chaguzi za Mitaa, wameona WaTanzania ni wapumbavu,
Sasa wanaendelea ....
Ngozi nyeusi sijui ... tumelogwa na nani??? !!!
Mkuu Ni haki Yao kufanya hivyo kisheria kwahiyo waache tu Kama walivyo
Wala kwa sasa ccm haishi kama unavyosema, ccm inaishi kwa kubebwa Na dola.uchaguzi Wa serikali za mitaa umeiweka wazi ccmMIKAKATI YA CCM NI IMARA SANA.
Msingi Mkuu wa chama cha siasa ni itikadi na sera zake. CCM inavyo vitu hivyo na inavisimamia na kuvitekeleza. Ndiyo shule yenyewe hiyo. Huwezi kuwa huna mikakati ya nguvu ukashika dola na kuongoza nchi kwa kipindi chote hicho.
Hivi unaposema CCM haina mikakati imara unailinganisha CCM na chama kipi cha siasa hapa nchini? Ebu tutajie, kwa mfano tu, itikadi na sera ya chama kingine katika eneo moja tu.
Ingekuwa kweli ni hivyo, kumiminiana risasi kusingekuwepo. Kisa? Kuua upinzani. Baada ya njama za kuua upinzani kubuma, imebaki njia moja tu...kuteka, kutesa na kumimina risasi au kuokotwa viongozi wa chama kwenye viroba. Naomba nikuulize swali wewe muunga juhudi, je baada ya Chadema kuwapoteza viongozi wake walioviendesha hizo halmashauri ulitakaje? Mbona unaongoza humu jukwaani kwa kuanzisha mada za hovyo, huchoki? Je juhudi za kuwamaliza kabisa nazo zimebuma? Acha kulalamika hovyo kama kuku aliyeangua kinda badala ya kifaranga...chaa kabisa.Maendeleo hayana vyama!
Kisasi cha haki ndio kikoje mkuuNdio maana Kuna kisasi Cha haki kwa wasaliti.
Hakuna cha ajabu hapo...Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.
Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.
Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020
Maendeleo hayana vyama!
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.
Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.
Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020
Maendeleo hayana vyama!
Hayati Baba wa Taifa alishasema Tanzania ina Malaya wa Kisiasa wacha waende ,wangewauliza kina Milya na Mwita nini kinaendelea ndani ya CCMNimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.
Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.
Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020
Maendeleo hayana vyama!
Mrangi wa machimboni usipanic!We leta ushabiki impact Utakuja iona badaye
Ova
NEC yenuMrangi wa machimboni usipanic!
Waende wote tutaanza upya kwani wachaguaji ni sisi.Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.