Pre GE2025 CHADEMA kutoa ratiba mpya ya Maandamano ya Amani hivi karibuni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.

Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.

Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.

Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.



Pia soma:
 
Mmepokea mahela machafu ya wafadhili nini?
 
KWANI YALE YA MWANZO MMEFANIKIWA KIPI AU NDIYO MKISHAMALIZA KUTEMBEA MNAENDA MNAKUSANYIKA MNAONGEA MNARUDI NYUMBANI MMECHOOOOOKA MNALALA SIKU IMEISHA
 
ANGALIA MASKINI WATU WASIO NA MATUMAINI NA CHAMA CHAO WANAVYOSHANGAA
 
Chama mfu hiki
 
hivi ile ya kwanza na yapili yaliishaje ishaje πŸ’

mafanikio ni kuhasimiana na kutuhumiana tu ukibaraka miongoni mwa waandamizi au kuna mengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…