Pre GE2025 CHADEMA kutoa ratiba mpya ya Maandamano ya Amani hivi karibuni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.

Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.

Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.

Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.

Screenshot_2023-09-05-22-31-54-1.png

Pia soma:
 
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi

Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa

Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe

Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.

View attachment 2983183
Mmepokea mahela machafu ya wafadhili nini?
 
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.

Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.

Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.

Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.

View attachment 2983183
KWANI YALE YA MWANZO MMEFANIKIWA KIPI AU NDIYO MKISHAMALIZA KUTEMBEA MNAENDA MNAKUSANYIKA MNAONGEA MNARUDI NYUMBANI MMECHOOOOOKA MNALALA SIKU IMEISHA
 
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.

Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.

Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.

Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.

View attachment 2983183
ANGALIA MASKINI WATU WASIO NA MATUMAINI NA CHAMA CHAO WANAVYOSHANGAA
 
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.

Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.

Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.

Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.

View attachment 2983183
Chama mfu hiki
 
hivi ile ya kwanza na yapili yaliishaje ishaje 🐒

mafanikio ni kuhasimiana na kutuhumiana tu ukibaraka miongoni mwa waandamizi au kuna mengine?
 
Back
Top Bottom