Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.
Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.
Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.
Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.
Pia soma:

- Mwanza: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe
- Mara: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe
- Tanga: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe
- Chadema kutoa ratiba mpya ya Maandamano ya Amani hivi karibuni
- Manyara: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Tundu Lissu
- Maandalizi ya Wiki ya Maandamano yatakayofanyika Duniani kote yakamilika
- Kumekucha: CHADEMA yatoa ratiba ya wiki ya Maandamano, Tundu Lissu kuongoza Mikoa Mitano
- Sasa ni dhahiri Maandamano ya CHADEMA yanafuatiliwa na kila Mtanzania
- Mwanza: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe