CHADEMA Kutumia Sakata la DP World Kueneza "Hate Speech" Haikubaliki na Ni Kinyume na Maadili ya Nchi na Umoja wa Mataifa

Ccm bhana tunakaa kupambania aman kuliko haki
 
Tafadhali ainisha hizo hate speech ili jukwaa lijiridhishe!!
 
Ningeshangaa sana usingemtaja Kardinari Pengo,wewe jamaa udini utakumaliza.
 
Nilipoona tu undishi wa 'xana' na pia kutokujua matumizi ya nukta na baada ya nukta uanze na herufi kubwa,basi kijana unahitaji kwanza kurudi shule ujifunze basics za uandishi kisha urudi sasa kuwabeza CHADEMA.
 
hakuna ubaguzi wala hate speech, odoeni mkataba huu wa kipuuzi muone kama watu wataongea hayo mnayosema ni ubaguzi. Inakuwaje Tanganyika ndio wanaopenda sana MAENEDELEO kuliko Zanazibar? mzanzibar anauza Tanganyika ukiuloiza unaitwa mbaguzi. jifunzeni kuwa na vichwa vyenye Uwezo wa kusikiliza hatabyale msiopenda kusikia. Futeni huo mkataba wenu wa KIMANGUNGO au jumuisheni na Bandari za Zanzibar.
 
Hii ni hofu yako
 
Nime confirm nilichokuwa ninamashaka nacho.
Una akili za bata mzinga.
 
Unawaza tu nchi wakati rasilimali za nchi zinateketea.Hiyo nchi itasaidia nini kama ikiwa haina kila kitu muhimu.wacha wenye akili wapambanie tulivyonavyo.Mambo ya nchi yatakuja tu kwasababi sio lazima iwe leo.tumia akili wakati mwingine.
 

Lakini mi nadhani ingekua busara na muhimu sana wewe unaefahamu vema Jambo hili ukatusaidia tusiojua, suala la Bandari linahusu Bandari za Bara pekee au na Zanzibar pia?. Halafu hapo ukipaweka sawa tutapata nguvu ya kumsema anaepotosha na kuchochea chuki miongoni mwa watz.
Tafadhali sana
 
Itakuwa Bora tuongozwe na Mtanganyika halafu ni msomi wa Uchumi

Nchi itapaa sana
 
Hakuna chuki. Jibu I maswali ya Watanzania. Period.
 
Waliouza Bandari wana chuki na Tanganyika
 

..Mnyika ameuliza swali ambalo serikali ilipaswa kulijibu.

..kwanini bandari za Zanzibar haziko ktk mkataba huu?

..Je, Zanzibar kuunda mamlaka yake ya bandari ni uvunjifu wa katiba?

..Je, kumjibu Mnyika kunaweza kuibua malalamiko zaidi kuhusu muungano wetu?

..Suala hili la bandari limebainisha kasoro kubwa ktk muungano wetu, na limedhihirisha umuhimu wa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…