Chadema kutumia watu wasiojulikana kutukana viongozi sio ustaarabu wa kisiasa

Ukimuita mtu mpumbavu hali ya kuwa huyo mtu sio mpumbavu hilo linakua kosa kwa kweli!

Kinachoshangaza ni watu wazima kuwakingia kifua maiti wasiuawe.

Cha kuangali ni je matusi wanayotukanwa ni sehemu ya majina yao😁😁

E.g mwenye wazimu kuitwa mwendawazimu sio tusi.

Apuuzaye kuitwa mpuuzi hajatukanwa.

Muuaji hali kadhalika.

Au wewe unaonaje!!
 
USIPITWE TAZAMA KIPINDI AGENDA 2020 | MADA : FAIDA NA ATHARI ZA PROPAGANDA KWA TAIFA

Source : Star TV Habari
 
Ajenda 2020 : Comprehensive and Critical analysis mjadala kuhusu Falsafa na Maendeleo ya vitu dhidi ya Maendeleo ya Watu na Dr Godwin Gunewe
  1. Tanzania haiwezi kuendelea kwa kuigiza China kwa kukopi na kupesti maendeleo ya vitu
  2. Tanzania haiwezi kuendelea kwa kuigiza Maendeleo ya nchi ya Marekani kwa kukopi kila kitu
  3. Tanzania itaendelea kwa kukumbatia falsafa ya Demokrasia na Maendeleo inayochagizwa na wapinzani waKitanzania na siyo Ujamaa wa CCM uliochukuliwa toka nchi 'Rafiki' ya China
  4. Ph.D za waTanzania hazina manufaa kwani wenye nazo wako informed na siyo formed kuweza kuwa na falsafa zinazowafanya kuweza kujitegemea kufikiria kutatua matatizo yetu na siyo kusimulia yale yaliyo ktk vyeti vyao ambayo hayana mguso na mazingira halisi na changamoto za Tanzania.


Source: Star TV Habari
 
We mi mpumbavu mmojawapo.
Maana huoni matusi ya wenzako hata wakiwa huko mjengoni
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja ni kutukana viongozi sio kukosoa. Na ushahidi wa kimazingira unaonyesha ni Chadema inawatumia.
 
Peleka ushahidi polisi vinginevyo ni kuwashwawashwa.
 
Hoja ni kutukana viongozi sio kukosoa. Na ushahidi wa kimazingira unaonyesha ni Chadema inawatumia.

Umejuaje wakati mtu anaweza kusema lolote mtandaoni. Au Chadema ndiyo inawatanzania tofauti sana na wengine na wao tu ndiyo wenye uwezo wa kutukana!!!! huu ni ujinga mtupu
 
Anaweza kusema lolote acha upuuzi unaijua sharia ya mitandao wewe
Umejuaje wakati mtu anaweza kusema lolote mtandaoni. Au Chadema ndiyo inawatanzania tofauti sana na wengine na wao tu ndiyo wenye uwezo wa kutukana!!!! huu ni ujinga mtupu
 
Chadema wanahangaika masikini hawaamini km ruzuku mwisho july

Ila Mbowe mjanja sana baada ya kujua October hatapata mbunge hata mmoja ameamua alambe Bilion nane
Cdm kila siku daily? Kuna watu wameajiliwa kudil na cdm hata wasio na interest wanalazimishwa kuipenda cdm bila watawala kujua
 

Nilichogundua kwako unapenda uanzishe uzi upate wachangiaji wengi, lakini umegundua ukianzisha uzi wa kumsifu Magufuli au ccm haupati wachangiaji wengi. Hata ukianzisha uzi kuhusu NCCR hauna mvuto. Lakini umejua ukianzisha uzi kuhusu cdm, ni lazima utapata wachangiaji wengi kisha kujipatia umaarufu bandia. Hapa ulipo unajitafutia umaarufu wa bei rahisi kwa kuichafua cdm. Hizi ni siasa za kitoto.
 
Hiyo ni haki yako ya kikatiba kutoa maoni yako. Lakini je hakuna wasiojulikana wanaotukana viongozi na wanatumiwa na Chadema?Umaarufu ili iweje acha hisia za kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…