Chadema kutumia watu wasiojulikana kutukana viongozi sio ustaarabu wa kisiasa

Mimi kuwa Nccr mageuzi sio kwamba natakiwa niseseme ukweli Ccm ikifanya mazuri. Kesi huwa inamalizwa na ushahidi kama unabambikiwa kesi thibitisha. Mahakama ni chombo huru.
 
Lisu mlimpigia risasi kwa kutumia ibara ipi ya katika ya Jmt?
 
Uzi wa vibwengo wa lumumba huu umejaa utopolo mtupu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ccm inakubalika kwako na familia yako.Chama cha Wafu.
 
Chadema ipo mioyoni mwa watu hta mfanyeje hamuwezi badili chochote
 
Pumbavu kabisa,kwahiyo wewe ccm ikiwafanyia rafu chadema unafurahi unacheka mpaka unajijambia ila chadema wakiwatenda ccm unahuzunika mpaka unashindwa hata kula
 
Mimi kuwa Nccr mageuzi sio kwamba natakiwa niseseme ukweli Ccm ikifanya mazuri. Kesi huwa inamalizwa na ushahidi kama unabambikiwa kesi thibitisha. Mahakama ni chombo huru.

Hakuna mahakama huru linapokuja suala la kubambikiwa kesi na watawala. Toka umejiunga na NCCR hujawahi kuweka sera zao zaidi ya kuitaja cdm ili uzi wako uwe na post nyingi. Yaani uko Nccr, lakini kwa ajili ya nongwa dhidi ya cdm, umejikuta unaitaja zaidi cdm kuliko hiyo Nccr unayojifanya uko. Vuta post zako toka uliposema uko Nccr, kisha search nyuzi zako umeitaja mara ngapi cdm, na umeitaja mara ngapi Nccr. Kwa maneno marahisi ulidhani Nccr itapata mvuto, lakini umeona haina mvuto, na hiyo ccm haina mvuto bali imebaki kushurutisha kukubalika, wakati huohuo cdm ikibaki kuwa na mvuto. Jambo hili naona linakutesa kupita kiasi.

Ni hivi, cdm haitakaa iisifie ccm kwa lolote, na wala haitokaa iisujudie ccm wala mwenyekiti wake. Kuna vyama vinaweza kuisifia ccm na kumsujudia mwenyekiti wake, na vyama hivyo ni vile visivyokuwa na mvuto kama Nccr, Cuf, Tlp nk. Hivi ndiyo vinahitaji hisani ya ccm ili kupata uwakilishi.
 
Ndiyo maana mnaambiwa msiabudu watu lakini hamsikii.sasa kila wanachoongea mnaowabudu hamtafakali.kwa ujinga unasema Molel anao ushahidi jinga kama lile mpaka unajiuliza lilipataje u dk
Yule mtu ana siri nyingi za Chadema. Alafu ni MD usimuite mjinga. Alichosema ni kweli kabisa.
 
Ukweli utajulikana pale bunge litapovunjwa.Utabaki wewe na mmiliki wa Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…