Chadema kuwaburuza Mahakamani OCD wa Kigoma na Dodoma kwa tuhuma za Wizi

Huko Kigoma ikiwezekana wazee wafanye yao kwa huyo aliyeamuru mlingoti na bendara yake kuondolewa.
Maana hizi mahakama si za kuziamini sana,tumieni njia mbadala.!
 
CHADEMA WANASHINDWA KUFUNGA HATA CCTV ZA Elfu 60. Mfano siku wale wahuni wamempiga Mbowe getini kwake Dodoma hata CCTV hamna?

CCTV zitatumika hadi mahakama ya the Hague. Ni muhimu sana. Tena fungeni zile HD.
CCTV kwa Lissu na Clouds Makonda hazikuwepo?
 
Hii imefungua WANANCHI Sana, kuanzia IGP kuburuzwa mahakamani


Sasa NAFIKILI ndo twende hivi mwananchi ukionewa na police, ni kumburuza mahakamani KWa jina lake , ili tueshimiane
 
Polisi kabla hajakukamata asaini kwa uongozi wa mtaa,ili akifunguliwa mashitaka amtaje huyo aliye juu kuthibitisha tuhuma.
Kodi nyingi zinatumika kuwalisha mahabusu wakisiasa bila sababu zamsingi
 
cdm mmeshitaki kila mtu bado aliyewaumba tu kweli mfamaji haishi kutapatapa.
 
Tanzania almost hakuna private prosecution? Any case with criminal nature ni mali ya Dpp anaweza kui fyekelea mbali with or without reason wether is private or public prosecuted
 
Hiki ndicho kinachotakiwa kufanywa Mara zote...

Tunajua wanategemea kubebwa na mahakimu (baadhi)...

Lakini mimi naamini ipo siku watakuja kuamka wanakuta mahakimu wanaowategemea wote hawapo ama akili zimegeuzwa na dunia kushangaa ndani ya Tanzania RPC au OCD anahukumiwa mvua kadhaa au kulipia fidia/faini walichokiharibu....!!!
 
Hiki ndicho kinachotakiwa kufanywa Mara zote...

Tunajua wanategemea kubebwa na mahakimu (baadhi)...

Lakini watakuja kuamka wanakuta mahakimu wanaowategemea wote hawapo na dunia kushangaa RPC au OCD anahukumiwa mvua kadhaa na kulipa faini....!!!
Ni njia njema.Binge laweza itishwa haraka kupitisha sheria ya kings kwa Policccm
 
CHADEMA WANASHINDWA KUFUNGA HATA CCTV ZA Elfu 60. Mfano siku wale wahuni wamempiga Mbowe getini kwake Dodoma hata CCTV hamna?

CCTV zitatumika hadi mahakama ya the Hague. Ni muhimu sana. Tena fungeni zile HD.
Yaaah ni kweli ni muhimu wazifunge ili ziwasaidie kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuwaona viongozi wao wakiwa wamelewa chakari na kuangua kwenye ngazi ILI WAWAHI KUWASAIDIA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…