nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa. Yeye mawazo yake, nia na nguvu na mawazo yake ni kupata madaraka !🙏🏾👌🏿Wenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea madaraka.
Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa. Yeye mawazo yake, nia na nguvu na mawazo yake ni kupata madaraka !
ACTUALLY NIA OVU KUBWA YAKE NI KUIVURUGA CHADEMA.
Fukuza jitu, liwalo na liwe! Aungane na Msigwa CCM!
Erythrocyte na wote wanaoipenda Chadema na Tanzania iliyo bora.
Pia soma > Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Sawa,ikiwa imepoteza MUDA na MALISawa mkuu. Naamini katika demokrasia, anayetaka kwenda aende na wa kubaki abaki ila mtu ajue chama chochote chenye nguvu na umakini ni mfumo aka system na si mtu hata kidogo. Leo hata Mbowe akihama bado CDM itakuwepo.
Naunga mkono hoja , wenje anayo haki ya kwenda chama chochote , ila kwa chama ichi na kwa speed yake hii , naanza kuwa na mashaka nae.Wenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea madaraka.
Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa. Yeye mawazo yake, nia na nguvu na mawazo yake ni kupata madaraka !
ACTUALLY NIA OVU KUBWA YAKE NI KUIVURUGA CHADEMA.
Fukuza jitu, liwalo na liwe! Aungane na Msigwa CCM!
Erythrocyte na wote wanaoipenda Chadema na Tanzania iliyo bora.
Pia soma > Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Naunga mkono hoja , wenje anayo haki ya kwenda chama chochote , ila kwa chama ichi na kwa speed yake hii , naanza kuwa na mashaka nae.
Anasema anaona anastahili kuwa msaidizi wa mwenyekiti , kwa sababu moja ya majukum ya M/ mwenyekiti kumsaidia mwenyekiti.
OK swali wapi mwenyekiti wa sasa amekiri kwamba viongozi wenzio na wasaidizi wake hawajawahi msaidia ?
Na kama mwenyekiti wa kanda mikakati yake ni ipi elekea chaguzi za serikali za mtaa, au kaisha dalali mitaa.
Wenje elewa ,Chadema ni Taasis na bland pia ukipigwa chini au ukajipiga jini ,kwisha , angalia mwenzako Msigwa analalamika et Mbowe hapokei sim zake, so Msigwa anampangia mtu matumizi ya sim yake ambayo amenunua mwenyewe?
Mwisho chama ichi ni kikubwa kuliko mtu mmoja mmoja ata kesho hamia chama kingine period
Mkuu, nadhani tungesubiri agombee kwanza, hii ni kwa sababu Kutangaza nia au hata kugombea haijawahi kuwa kosa kwa mujibu wa Katiba ya Chadema.Wenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea madaraka.
Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa. Yeye mawazo yake, nia na nguvu na mawazo yake ni kupata madaraka !
ACTUALLY NIA OVU KUBWA YAKE NI KUIVURUGA CHADEMA.
Fukuza jitu, liwalo na liwe! Aungane na Msigwa CCM!
Erythrocyte na wote wanaoipenda Chadema na Tanzania iliyo bora.
Pia soma > Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Kwa mara ya kwanza umekuwa na busaraMkuu, nadhani tungesubiri agombee kwanza, hii ni kwa sababu Kutangaza nia au hata kugombea haijawahi kuwa kosa kwa mujibu wa Katiba ya Chadema.
Tusizuie wengine kuomba ridhaa, sasa ikitokea ameshindwa sasa tumuangalie atafanyaje.
Kwa namna Chadema ilivyojengwa si rahisi kwa mtu kama Wenje kuivuruga, na wala hatuna haja ya kumzuia, Mbona Lissu ametangaza kugombea Urais na hakuna aliyesema anavuruga chama?
Siyo kosa hata kidogo. Lakini kuna muda na mazingira ya kufanya hivyo kama Kiongozi mkuu wa Kanda. Mnaona mnavyosakamwa na CCM/serikali, kiongozi mzima unaleta shobo la madaraka! at this vry critical moment!
Mbona mara zote nina busara!Kwa mara ya kwanza umekuwa na busara
Aondoke tu ata leo, kwenye kanda yake wapo wanachama wangapi? Na je kila mmoja akitaka gombea vyeo patakalika , wengine wapo pigania haki ili kuiona kanani wengine ndo wanafikilia vyeo.Nadhani
Aondoke tu ata leo, kwenye kanda yake wapo wanachama wangapi? Na je kila mmoja akitaka gombea vyeo patakalika , wengine wapo pigania haki ili kuiona kanani wengine ndo wanafikilia vyeo.
Tunataka anaetaka ondoka Chadema mda ni sasa , sio kesho kuja kufikia bei kama mafungu ya nyanya na kulitia taifa kwenye hasara z a chaguzi za kijinga .
Na wito kwa viongonzi wa chama Chadema Taifa kuhakikisha kuanzia serikari za mitaa mpaka uchaguzi mkuu mwakani ,plus uchaguzi wa ndani chama , hakikisha kila Mgombea anapewa makubaliano makali na chama ili pale ikitokea kuunga juhudi ,saliti chama twendako ukilipe chama kwa gharama yoyote ile imekubalika katika makubaliano period
Wewe au mwingine! Ni kama mizezeta hapo juu iliyokuwa inatamka maneno ya hovyo kwa vile Wenje anataka kugombea kiti cha Mungu wao Lissu. Wewe kama angalisemwa Mbowe nawe yangekuwa yale yale kama ya akina Retired au brazaj au Benjamini Netanyahu au Salary Slip etcMbona mara zote nina busara!
DemocracyWenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea madaraka.
Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa. Yeye mawazo yake, nia na nguvu na mawazo yake ni kupata madaraka !
ACTUALLY NIA OVU KUBWA YAKE NI KUIVURUGA CHADEMA.
Fukuza jitu, liwalo na liwe! Aungane na Msigwa CCM!
Erythrocyte na wote wanaoipenda Chadema na Tanzania iliyo bora.
Pia soma > Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Ndio ni mitihani midogo, ila Binadam ameumbwa kwa hulka ya tamaa, kuna vitu mtu anaweza fanya ukafikiri uyu karogwa , hata kwenye vita msaliti ,mlafi utaachwa pembeni wengine watasonga mbele.CHADEMA kama mnashindwa mitihani midogo ya kidemokrasia mtaweza kuongoza nchi? Si mtakuwa mnafunga watu jela hovyo hovyo? Hakika hiki chama bado kina laana ya hawara wa Dr Slaa. Mkamwombe radhi.
Uko saihi kabisa, lakini za ndani kutoka wanaoipenda chadema wanasema kuna Rupia imepenyezwa aiyumbishe chadem.Mkuu, nadhani tungesubiri agombee kwanza, hii ni kwa sababu Kutangaza nia au hata kugombea haijawahi kuwa kosa kwa mujibu wa Katiba ya Chadema.
Tusizuie wengine kuomba ridhaa, sasa ikitokea ameshindwa hapo ndio tumuangalie atafanyaje.
Kwa namna Chadema ilivyojengwa si rahisi kwa mtu kama Wenje kuivuruga, na wala hatuna haja ya kumzuia, Mbona Lissu ametangaza kugombea Urais na hakuna aliyesema anavuruga chama?
Itakuwa pesa za Abdul zimemfikia anataka kumfuata Msigwa wakaimbishwe pambio za mamabdulWenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea madaraka.
Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa. Yeye mawazo yake, nia na nguvu na mawazo yake ni kupata madaraka !
ACTUALLY NIA OVU KUBWA YAKE NI KUIVURUGA CHADEMA.
Fukuza jitu, liwalo na liwe! Aungane na Msigwa CCM!
Erythrocyte na wote wanaoipenda Chadema na Tanzania iliyo bora.
Pia soma > Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Where is evidence for this about MBOWEHata mbowe ni pandikizi la CCM !panda Lisu ndie mpinzani wa kweli!
Sawa demokrasia ni nguzo ya msimamo wa chadema, lakini uaangalia maadui wenu wamekaaje.. CCM wanawategea kwenye chaguzi kama hizi wawavuruge! Mnaangalia hali zenu zikoje na wenye MADARAKA/nchi. Kwa busara ya kawaida, mnaachana na lolote linalowea kuleta mgawamyiko na kuwapa faida maasimu wenu! CHAGUZI ALWAYS ZINAVIANGUSHA/KUVITWANYA VYAMA VYA UPINZANI MAANA MAASIMU WENU WANATUMI HELA KUWAGAWA KWEYE CHAGUZI.Democracy
Hawa sio wa kusubiri bari waondoke period, unatangaze vita katikati ya vita wakati wewe ni moja ya ngome kuu ya upande wa vita , hivi kweli kwa sasa malengo ya chadema ni vyeo kuliko makuu yaliyo mbele yetu kama wananchi, chama ,na wana chama?Uko saihi kabisa, lakini za ndani kutoka wanaoipenda chadema wanasema kuna Rupia imepenyezwa aiyumbishe chadem.
Najua siyo kosa kugombea/kutia nia, LAKINI kwa hali ya siasa za nchi yetu zilivyo na wahasimu wa chadema CCM, kiongozi mkubwa kama huyo angeliangalia maslahi mapana ya chama kuliko kutafuta nafasi za madaraka.
Chaguzi za vyama zinavivuruga vyama vya upinzani sana. Mtu mwenye busara angeliachana na hiyo nia kaanglalia kuimarisha chama..