Pre GE2025 CHADEMA kuweni macho na Wenje Ezekiel, huyu ni pandikizi la CCM, deal naye perpendicularly!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
My concern ni hiyo. Huu ni wakati wa vita, mko kwenye mapambano wewe unazua jambo ambalo litawagawanya. HAPANA huyu hafai katu!
Naungana nawe kwani ,kama kugombea ni haki yake , wapiga kura kwa nafasi yake anayotaka bado ni wanachama wa chadema kupitia mkutano mkuu, je hii speed kwake ya nini? Wenje hata kama angetangaza nia yake ndani ya masaa 12 kabla ya uchaguzi nani asiemjua ndani ya chama na kumpa kura yake pale ambapo ameridhika na sera zake wakati wa kujinadi?

Hata kesho kama yupo na nia ya kuondoka chadema haondoke , kipindi ichi ujinga hatutaki
 
Hivi vyama vya upinzani huwa vina vitengo vya intelijensia?
 
Ukisema Lissu ni mfia Chadema ,napinga ,Lissu ni Mfia haki, zipo harakati nyingi na nyingine pia zimempa misukosuko kutoka kwa watawa hata kabla ya kua chadema.

Sema Chadema na lissu kinaumana zahidi kwanza kama mwanachama na pili kwenye haki .
 
Mtaani pagumu ,Njaa mbaya ,SISIEMU wana mipunga ,kukupuliza na 500m hawaoni TABU.
 
Ukisema Lissu ni mfia Chadema ,napinga ,Lissu ni Mfia haki, zipo harakati nyingi na nyingine pia zimempa misukosuko kutoka kwa watawa hata kabla ya kua chadema.

Sema Chadema na lissu kinaumana zahidi kwanza kama mwanachama na pili kwenye haki .
AGREED
 
Character assassination
 
Wenje, Sugu, Mbowe hao wote ni mkono wa CCM ndani ya Chadema
MH! UNAJIDHALILISGA JF. NDIO WAFUNGWE MIEZI 9/WAPIGWE RISASI WAKATI NI CCM. NITAKUWA NA SKIP POSTS ZAKO POPOTE NITAKAO ZIKUTA MAANA HAZINA CHA KUJIFUNZA/KUELIMISHA/KUPASHANA HABARI
 
Kweli tupu
 
Wenje namfahamu tokea yuko baclays bank...akaingia kimzamzaa kwenye siasa gafla akagombea ubunge,na wakati ule upepo wa cdm+slaa 🔥 akapita
Ule upepo ulikuwa si mchezo na sijui kama utakuja kurudi

Ova
 
MH! UNAJIDHALILISGA JF. NDIO WAFUNGWE MIEZI 9/WAPIGWE RISASI WAKATI NI CCM. NITAKUWA NA SKIP POSTS ZAKO POPOTE NITAKAO ZIKUTA MAANA HAZINA CHA KUJIFUNZA/KUELIMISHA/KUPASHANA HABARI
Sasa kwani Msigwa hakufungwa Jela?. Akatolewa kwa michango ya wananchi?.
 
Pesa itawamaliza wapinzani. wamewasaliti wananchi kwa vipande vya Rupia
 
Lissu alishasema mara mia hataki uenyekiti wa chadema. yeye analenga kugombea uraisi tu
 
Viongozi wa Chadema na karibia wapinzani wote hapa Tanzania ni mapandikizi tu ya CCM kudanganya dunia kuwa Tanzania nayo ina demokrasia kumbe ni danganya toto tu, watu wanakula ruzuku bila kuulizwa kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…