Pre GE2025 CHADEMA kuweni macho na Wenje Ezekiel, huyu ni pandikizi la CCM, deal naye perpendicularly!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sijamwelewa wenje labda ni CHADEMA wenyewe wanapanga

Lakini waliobeba mpunga na hawajahama na ccm inahaha

Wafuatao
Msigwa-kashahama
Wenje-anatafuta pakutokea angalia bodyLangauage yake

HECHE- aliwajibu ccm baada ya kupokea mlinguLa kwamba wakome kumfuata fuata lasivyo patawaka---ccm wamefyata na tayari wanajua wameliwa

LISU --baada ya abduL kumwomba wenje afanikishe kufika kwa LISU tegeta home ,ABDUL alifika alivyojieleza tu TUNDULISU alimfyatukia na kumfukuza ABDUL kama mbwa

NinaList kwaleo iishie hapo
 
CCM ni chama dhaifu sana ni vile tuu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimejinasibu kuisaidia na kuilinda CCM dhidi ya anguko lao la kisiasa.
Ndio maana wanasiasa malaya na wajanja wajanja wanaona unapitia upinzani unaonyesha uwezo wako na unajengwa vizuri kuwa imara kisha CCM inakutamani kwa jinsi ulivyo bora halafu unakimbilia huko na kupokelewa na Mwenyekiti wao kwa bashasha unaanza kula kuku!
 
Siyo kosa hata kidogo. Lakini kuna muda na mazingira ya kufanya hivyo kama Kiongozi mkuu wa Kanda. Mnaona mnavyosakamwa na CCM/serikali, kiongozi mzima unaleta shobo la madaraka! at this vry critical moment!
Mkuu hiyo ndio demokrasia na huu ni wakati wa hizo chaguzi za ndani. Hapo kosa ni la chama kuweka ratiba ya chaguzi za ndani zinazokaribiana na za nchi.
 
Wenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea madaraka.

Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa. Yeye mawazo yake, nia na nguvu na mawazo yake ni kupata madaraka !

ACTUALLY NIA OVU KUBWA YAKE NI KUIVURUGA CHADEMA.

Fukuza jitu, liwalo na liwe! Aungane na Msigwa CCM!

Erythrocyte na wote wanaoipenda Chadema na Tanzania iliyo bora.

Pia soma > Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Huyo wenje akikuwa anatafta sababu ya kutokea
 
Chawa wa Lisu hao wanaweweseka.

Nakumbuka wakati Msigwa anachuana na Sugu mlisema Sugu amechukua pesa Kwa Abdul,Msigwa alivyowakimbia mnasema alitumwa na CCM.

Kimsingi mnatapatapa,kama ni hivyo Kwa nini alishinda kule Kanda ya Ziwa?

Chadema mna wenge na kutapatapa sana hasa Wafuasi wa Lisu hamjiamini na pesa hamna.
 
Mkuu hiyo ndio demokrasia na huu ni wakati wa hizo chaguzi za ndani. Hapo kosa ni la chama kuweka ratiba ya chaguzi za ndani zinazokaribiana na za nchi.
Wabadilishe ratiba ya uchaguzi wa Taifa iwe baada ya uchaguzi mkuu wa Taifa.
 
Wenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea madaraka.

Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa. Yeye mawazo yake, nia na nguvu na mawazo yake ni kupata madaraka !

ACTUALLY NIA OVU KUBWA YAKE NI KUIVURUGA CHADEMA.

Fukuza jitu, liwalo na liwe! Aungane na Msigwa CCM!

Erythrocyte na wote wanaoipenda Chadema na Tanzania iliyo bora.

Pia soma > Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Sihawahi kuwaamini watu wa msoma, watani zangu, huwa ni masnitch Sana,
Miaka hiyo chuo, principal alikuwa mtu wa msoma, tukianzisha mgomo, anachagua vijana wa kabila lake, kwenye kila intake anawapa pesa wawe ma snitch,
 
Wenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea madaraka.

Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa. Yeye mawazo yake, nia na nguvu na mawazo yake ni kupata madaraka !

ACTUALLY NIA OVU KUBWA YAKE NI KUIVURUGA CHADEMA.

Fukuza jitu, liwalo na liwe! Aungane na Msigwa CCM!

Erythrocyte na wote wanaoipenda Chadema na Tanzania iliyo bora.

Pia soma > Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Uzuri Chadema ni Taasis ,anaeona yupo kuivuruga Chadema bora kimbilia vyama vingine ,CHADEMA ni zahidi ya mtu yoyote kama chama , bila kujali umaarufu wake ,au chochote kile.

Kuna wanachama wengi wamemwaga dam ,kupoteza mpaka ndugu zao kisa chama ichi , so hakuna wa kuzuia chama ichi nje ya wanachama wenyewe fikia malengo yake .

Mungu ataenda leta dholuba kuu kwa kila alie/ atake hujum chama ichi. Huu sio mda kwa chadema kutafuta vyeo bali ni Mda wa kuelekea kanani .

Wenje hutoweza kuwa M/ mwenyekiti katika kipindi hichi cha matumaini watz wanataka mabadiliko ila ni haki yako kikatiba kugombea nafasi yoyote .

Thanks
 
Wenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea madaraka.

Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa. Yeye mawazo yake, nia na nguvu na mawazo yake ni kupata madaraka !

ACTUALLY NIA OVU KUBWA YAKE NI KUIVURUGA CHADEMA.

Fukuza jitu, liwalo na liwe! Aungane na Msigwa CCM!

Erythrocyte na wote wanaoipenda Chadema na Tanzania iliyo bora.

Pia soma > Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Good observation
 
1. Mapandikizi mnayaona vipi wandugu?

2. Kwanini mapandikizi msiwe ninyi?

3. Hii dhana ya kuipenda chadema tanzania iliyo bora wanaweza kuwa nayo kina Msigwa na wote unaowatuhumu kuliko wewe ndugu.

4. Kwanini awaye yote kugombea post yoyote inawafanya mioyo yenu kudunda hivyo?

5. Hii mambo ya kuchapisha fomu moja unayoonekana kuipigia upatu ni sera ya CCM na madikteta fedhuli wote wa dunia.

6. Kwanini ni waoga hivyo wa demokrasia?

7. Wacheni demokrasia ishamiri, si wanaofaa watashinda?

8. Kumbe hofu kama ya ma CCM na chaguzi ya nini?

imhotep kuna afya ya demokrasia hapa?
 
Aondoke tumpe hiyo nafasi Pambalu. Awe kiongozi kule Kanda ya Victoria.
 
Sijamwelewa wenje labda ni CHADEMA wenyewe wanapanga

Lakini waliobeba mpunga na hawajahama na ccm inahaha

Wafuatao
Msigwa-kashahama
Wenje-anatafuta pakutokea angalia bodyLangauage yake

HECHE- aliwajibu ccm baada ya kupokea mlinguLa kwamba wakome kumfuata fuata lasivyo patawaka---ccm wamefyata na tayari wanajua wameliwa

LISU --baada ya abduL kumwomba wenje afanikishe kufika kwa LISU tegeta home ,ABDUL alifika alivyojieleza tu TUNDULISU alimfyatukia na kumfukuza ABDUL kama mbwa

NinaList kwaleo iishie hapo

Sawa mkuu. Naamini katika demokrasia, anayetaka kwenda aende na wa kubaki abaki ila mtu ajue chama chochote chenye nguvu na umakini ni mfumo aka system na si mtu hata kidogo. Leo hata Mbowe akihama bado CDM itakuwepo.
 
Tuwe makini na kutuhumu Makamanda wenzetu.

Ajabu na kweli kuna watu wanadhani wao ni chadema au watanzania zaidi kuliko wanachadema au watanzania wenzao.

Ajabu na kweli kama ma CCM tu yanavyojishasha na Tanzania.

Tunawasikia badala ya kuwakemea, tunakenua?

Kwamba wanampenda Yesu kristo kuliko wengine?

Kwani wao viboko wa wachawi?
 
Aondoke tumpe hiyo nafasi Pambalu. Awe kiongozi kule Kanda ya Victoria.

Kwani nafasi hizi siyo kutokea kwenye masanduku ya kura?

Kwamba ni ya wale wa kuwa hata mkiwapigia ule upande mwingine ushindi hawatapewa?
 
Back
Top Bottom