CHADEMA kwa sasa ikishiriki chaguzi yoyote hapa nchini inaweza kupata ushindi mkubwa tofauti na Mwaka 2020 ilipokuwa imepuuzwa na wananchi



Akili za kuvukia barabara hizi
 
@Pascal Mayalla . Wewe ni msomi japo si sana. Kushabikia upumbavu kunanikosesha imani na aina ya wasomi wa nchi hii. Hivi kazi wanayofanya Cdm kwenye mazingira haya Tanzania ni ya kubeza na katiba hii mbovu ya chama kimoja ?!. Na mnaobeza mmefanya nini kukwamua mkwamo huu wa makusudi. ?!

Ccm inayotamba wangekuwa wanajiamini hivyo. Basi mazingira ya ushindani yangekuwa sawa na vyama vingine. Lakini sasa tunachokiona ni kung'ang'ania kuendelea kubebwa na vyombo vya dola na vya maamuzi.
 
Mkuu Odhiambo cairo , hakuna kitu kizuri kama kuwa a realist, na hakuna kitu kibaya kama kuwa na matumaini hewa!. Chadema peke yao hawawezi!. Tumejitolea kuwasaidia lakini hawasaidiki!. Ile 2015 Ikulu ilikuwa yao kabisa kama wangefuata ushauri huu Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...

P
 
Chadema haijawahi kupuuzwa na wananchi tena kipindi kile ndo ilishinda viti vyote ila jpm akatangaza watu ambao hawakushinda kinguvu mfano gwajima, mkumbo nk. Na ukumbuke kipindi kile chadema ilizuiwa kufanya siasa. Ccm ndo iliruhusiwa kufanya siasa tu. Kwa Sasa chadema imeruhusiwa kufanya siasa ndo mana unaiona hivyo. Viva Samia umeweka fair completion tofauti na yule shetani aliyetaka aonekane peke yake na kuaminisha uma eti anapendwa wakati yeye ndo Yuko uwanjani peke yake
 
Jifunze kuongelea uhalisia
 
Chochote watakachopata ni sababu Samia karuhusu wapate, ama anaweza kuwafanyia uhuni kama wa Magufuli na hakuwa watakachofanya
 
Wewe unao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…