YAFUATAYO NI MAONI YANGU KUTOKANA NA MADA ILIYOPO HAPO KWENYE HEADING;
Ni kweli kwamba Zitto ana kila haki ya kuheshimiwa maamuzi yake,kumbuka tayari yeye ni muheshimiwa,ila kwenye siasa kuna mijadala.Ni wazi kwamba Mwanakijiji aliposema kuwa kuna hoja ambazo Zitto amezionyesha kuwa ni dhaifu alikuwa anamaanisha kuwa "Zitto ameweza kuzijibu baadhi ya hoja vyema hivyo kuzifanya zionekane kuwa ni dhaifu hivyo kutokuweza kutumika kuwa ni kielelezo cha kupinga yeye kufanya kazi kwenye kamati hiyo.
Mojawapo ni ile ya watu kuuliza kwanini yeye?Zitto amejibu kwamba si mara yake ya kwanza kuteuliwa na rais kwenye kamati na akatolea mfano tume ya kujiunga na jumuiya ya East Africa.Hivyo ile hoja ya kuuliza kwanini iwe yeye ndiye aliyeteuliwa na rais,na ile hoja kuwa uteuzi wake una mashaka kwa namna moja ama nyingine,hoja hio imedhoofu!.
Ila ngoma haiishii hapo tu!Sasa turudi kwenye kipengele cha pili kinachohusu kupinga kwa sababu nzito zaidi.Licha ya kwamba mwanakijiji hakuzitaja lakini ni wazi kwamba zipo!Wadau ni lazima watataka kujua kazi halisi ya kamati hiyo!kumbuka kuwa Zitto anakwenda huko binafsi lakini bado anawawakilisha wanachadema na wapenda demokrasia na maendeleo popote pale walipo!"JE SIASA ZA KAMATI HIYO ZITAFIFISHA SAKATA LA MADAI YA UFISADI?"JE NI SAWA NA KUKUBALI KWAMBA MADAI YALE YA UFISADI HAYAKUWA YA MSINGI?CHADEMA WAJADILI HILO KIKAONI KWA MASLAHI YA CHAMA ILI KUEPUKA "LOOPHOLES"loop holes zinaweza ku create conditions necessary to foster divisions!Nadhani mnanielewa hapo..Kusije kukawa na communication nyingine ya tofauti kati ya rais na Zitto ambayo hatuifahamu!
Tunajua uamuzi wa kamati kwa serikali ni wa kujisafisha,kwamba tatizo halikuwa watendaji,bali sheria za kusimamia miaktaba,kwa upande mwingine Mh rais ametumia ile karata ambayo effect zake zinaweza kufananishwa na kitendo cha kunawa mikono kwa pilato,ila kama Zitto atashiriki unawaji huo then unawaji wake hautakuwa wa maji bali wa damu!
Nina maana gani basi ninaposema kunawa kwa damu?Serikali imekubali kuwa sheria za miaktaba ni mbovu,hivyo imenawa mikono,imeanzisha kamati ili ambayo lengo lake ni kufanya marekebisho ya sheria hizo ili ziwanufaishe wananchi,hii haina maana kwamba kuna ufisadi wowote uliotokea kwa sababu kuna ukiri wa "Ubovu wa sheria za mikataba"Na kama hiyo kamati si ya kuchunguza utata wa jinsi mikataba ilivyotiwa saini na mazingira yake then ni wazi Zitto naye ameshiriki unawaji huo,ila wake ni mbaya zaidi kwasababu isije ikawa amewageuka wananchi!,na ukiwageuka wananchi ni sawa na kunawa mikono kwa damu!Kikwete kama Pilato amenawa mikono na kuipeleka kesi hiyo kwa Zitto..na wenzake(wanakamati)ambaye kama Kaisari,ndiye atakayetoa maamuzi ya mwisho ambayo ni wazi kwamba mwelekeo wake(hata kama sio kwa makusudi)unalenga kuwasafisha baadhi ya viongozi waliokuwa wakihusishwa na ufisadi!
CHADEMA wasije wakajuta kuanzisha hilo neno la ufisadi,maana linaanza kuonekana kuwa na sura ya msumeno?!Nyakati zote nilizopata fursa na wasaa wa kuchangia mada hii nimekuwa nikisisitiza tena na tena kuwa uamuzi wa Zitto utaheshimiwa, isipokuwa kujadiliwa hakuwezi kupingwa katika mfumo huu wa kidemokrasia tulioamua kuufuata,utaratibu ambao matunda yake ya awali ni uwezekano wa kuwa na vyma vya upinzani,utaratibu wa uhuru wa mawazo!.Nilishangazwa na maneno ya Zitto pale aliposema kuwa kwanini watu hawakumake big deal before pale alipoteuliwa kwenye tume zilizopita lakini wana mind yeye kuwa kwenye tume hii!!!??
Hivi Mh Zitto haelewi kwamba kashfa za ufisadi walizokuwa wanazitoa zina uzito wa hali ya juu?na kama anakubaliana na hilo,je haoni kwamba uteuzi wake ulitokana na hoja walizoibua za "UFISADI"?Akizungumzia ufisadi anataka watu wajadili,lakini anapopewa nafasi ya kuushughulikia tusijadili?Alipozungumzia ufisadi ni big deal kwa sababu ni issue inayoligusa taifa,mijadala imekuwa ikiendelea,bado tunafuatilia na kuona ni big deal,from the time akitaka kamati teule ya bunge kuundwa ili kufanya uchunguzi,bado ni big deal,to the time akiwashutumu kina Karamagi,bado ni bigdeal...,to the time wanakamti walioteuliwa na rais wanajadiliwa..still its a big deal..to the time kamati hiyo iatakapoanza kazi ufanisi wenu wa kazi..oops i am afraid its still gonna be a heck of a big deal!,kwamba madhumuni ya kamati hiyo ni nini hasa,matokeo yake yatakapotoka,utendaji wake,uchangiaji wenu,kupatana kwenu humo kamatini,kukutana kwenu,"EVERYTHING ITAKUWA BIG DEAL MH ZITTO!USISAHAU HILO!UNAFIKIRI KIKWETE SIO SMART?MSIJE MKAMUUNDERESTIMATE MH RAIS HATA SIKU MOJA!NI KWELI ANATAKA HIZI SHERIA ZIREKEBISHWE,ILA KWENYE PROCESS ZITAKWENDA NA MTU/WATU.
BINAFSI NAFIKIRI CHADEMA NA UPINZANI KWA UJUMLA WANASTAHILI NAFASI ZAIDI KATIKA UCHANGIAJI HUO ZAIDI TU YA ZITTO NA CHEYO,KWASABABU ISSUE NI NYETI.KAM HAO HAO WALIOKUWA WANASAINI HIYO MIKATABA NDIO HAO HAO WANAOTAKA KUREKEBISHA SHERIA ZAKE..KWANINI HAWAKUFANYA HIVYO MUDA WOTE HUO,OK ZITTO SASA KAWAKOMALIA KICHWA THEN WANAMWAMBIA OK COME ON IN LETS TALKS,TELL US HOW WE CAN FIX IT?!GOOD LUCK!NASISITIZA ZITTO UAMUZI WOWOTE UTAKAOUCHUKUA MAKE SURE UNAKEEP "IMANI YA WANANCHI KWAKO,KWA CHAMA CHAKO,KWA UPINZANI,KWA WAPENDA MAENDELEO WOTE"NASISITIZA IMANI..IMANI..The only thing watu wanaweza kudhani ni kuwa umeshaomba msamaha kwa siri hivyo mmeshakubaliana kwamba tatizo lilikuwa sheria na sio kina karamagi,hilo muweke wazi ili msije mkatulete kizunguzungu!kwa mheshmiwa rais yeye kwake mambo mdundo tu kwani huelewi ulitaka kuwatoa nishai mawaziri wakeKIKWETE VERY SMART,LAKINI NI MAJUKUMU YENU NYIE WOTE KAMA VIONGOZI HAPA NIKIMAANAISHA MH ZITTO NA MH RAIS;"BETTER NOT OUTSMART YOUR OWN PEOPLE"
Tuassume kwamba everything that was done ni for the better of our countryso kwa kifupi yaliyopita sindwele tugange yajayo ila tuwekeane wazi...CHADEMA MJADILI HILO,La sivyo wananchi wataona kwamba mmewatumia kama ngazi ya kuippresure sIrkali ili kuweza kuyafikia malengo yenu binafsi,naamini thats not the case lakini nasisitiza kuwa maamuzi unayoyachukua kwenye ulingo wa siasa hayana budi kupimwa kwa makini SANA,thats my personal opinion which ofcourse i am entitled to"SITAKI KUJUDGE ANACHOKWENDA KUFANYA,RATHER KUJUA ATAKACHOKWENDA KUFANYA"Sintatumia integrity kama mjj bali malengo yake na madhumuni yake yakiwekwa wazi then tutajua namna ya kuipima hiyo integrity yake na pia kumpima Zitto,kwa sababu ni lazima apimwe hapa kama akichukua uamuzi wa kuingia kamatini,kelele zote alizopiga kuhusu ufisadi zitafunikwa ama kuwa rewarded na performance yake wakati wa utekelezaji wa hayo majukumu ya hiyo kamati ambayo hadi sasa sifahamu ni yapi!Akumbuke kuwa kamati imepewa miezi michache tu na wanakamati wengine wanataka ianze kazi mara moja kabla hata ya itakachokifanya hakijajulikana ama hata kupewa nafasi ya kujulikana na wananchi so that ijadiliwe!is there anything to hide?na kwanini rushrush ya kuanza hiyo kazi kabla hata hatujajua hata job description?!lakini uamuzi wa kikao cha jumamosi utawasaidia kwa kiasi kikubwa sana.
Kwa sababu tulikuwa na imani na Zitto uko bungeni then ni vyema tukawa na imani naye kamatini,ila ajue wazi kuwa kama ilivyokuwa kule bungeni,ndivyo hivyo inaweza kuwa huko kamatini!Walimdirespect uko bungeni bila kujali kuwa ni wananchi walimpeleka huko,ni matumaini yetu hawatafanya hivyo this time,je watamheshimu zaidi kwa sababu sasa ni rais amempeleka huko kamatini?Najua hoja yake ya kamati teule ilipingwa kwasababu ingepandisha chati ya chadema na Zitto,l wazo lake likapigwa stop huko bungeni ambako alipelekwa na wananchi,lakini linasapotiwa huko kamatini ambako amepelekwa na rais,je nani ataibuka shujaa hapo?ni kanini Mh Rais hakusema kwamba lile wazo la Zitto kule bungeni ni zuri na ameamua kutumia nafasi yake kama rais kulifanyia kazi?ok,labda badala ya kusema ndio ameamua kumuita Zitto kuonyesha ishara ya kukubaliana naye?!Zitto amekuwa overwhelmed,bila kujua ni sawa na kukiri kuwa madai yao ya ufisadi yalikuwa nai kuwapotosha wananchi!Mzee Mtei anasema policy ya CHADEMA itakuwa adopted,does he think so?sijui ni kivipi,ila najua hii nikamati ya mapendekezo tu!na tu hope kwamba mapendekezo hayo yatafanyiwa kazi,ILA INABIDI NI WA WARN KWAMBA MAPENDEKEZO HAYO YANAWEZA YASIFANYIWE KAZI WAKATI HUO KWANI ISSUE HAITAKUWA HOT TENA KAMA ILIVYOSASA,NA PIA RAIS ANAWEZA AKASEMA ANATAKA PIA AYAJUMUISHE MAPENDEKEZO YA TUME ILIYOPITA..IKWANI MATOKEO A TUME ZILIZOPITA HAAFAHAMIKI.MANI YA WANANCHI INAWEZA IKAWA IMEPUNGUA KWA WAKATI HUO, HIVYO KUTOSIKILIZA MADAI YOYOTE YALE YATAKAYOKUWA YANAELEKEZWA SERIKALINI,HATUWEZI KUGURENTEE KUWA UMAARUFU WAKE BADO UTAENDELEA KUWEPO KWANI HATUJUI HIYO KAMATI KAMA ITAMTEGA AMA LA,NA TUNAOMBA ASIJE KUFIKIA KWENYE HIYO SITUATION AMBAYO NI LAZIMA ACHUKUE UAMUZI MMOJA WA AMA KUWASALITI WANANCHI AMA KUPOROMOKA KISIASA,"NI WAZI KWAMBA NIA YAKO WEWE PAMOJA NA MH RAIS NI NZURI NA MAOKEO YA UUNDAJI WA KAMATI HIYO PAMOJA NA UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO HAYO UKAWA NA MATOKEO MAZURI KWA UJUMLA,MAPENDEKEZO MTAKAYOYAPELEKA MNAWEZA KUAMBIWA OK,GOOD JOB TUASHUKURU,ILA KULISHAWAHI KUWA NA MAPENDEKEZO KAMA HAYO..NOBODY KNOWS CAUSE NOBODY WAS HAS SEEN THE REPORTS!MAPENDEKEZO YENU YANAWEZA YASIWE BRANDED"MAPYA"KWANI YANAWEZA YAKAWEMO KWENYE HIZO TUME NYINGINE ZILIZOPITA UNLESS UNA TAARIFA ZAKE!HIVYO BASI, KISIASA..MACHONI MWA WANANCHI..BAADA YA MECHI OFCOURSE UNASOMA UBAO WA MATOKEA;UPINZANI_VS CCM_SIWEZI KUJAZA MATOKEO HIVI SASA ILA NITAKUMBUKA BAADAE MKISHAWAKILISHA RIPOTI YENU KWA MH RAIS,NITAJAZA NA HOPEFULLY MATOKEO YATAKUWA FAVORABLY!NI WAZI USHINDI UTAKUWA NI WA TAIFA,ILA KLABU ZETU MBILI ZA CHAMA TAWALA NA UPINZANI ZINA UBAO WAO!JE KUNA POSSIBILTY YA SULUHU?SULUHU YA BILA KUFUNGANA AMA YA KUFUNGANA?MH,WAKATI MBAYA HUO..!
wakati huo ni mgumu sana kwani kuwasaliti wananchi ni kutokUKEEP THE SAME ISSUES YOU RAISED BUNGENI.. issue nyeti za taifa letu,na kuporomoka kisiasa bado kuna uhusiano na kuwasaliti wananchi isipokuwa tofauti ni kwamba imani ya wananchi inapotea ila maslahi binafsi yanaweza kuwa accomplished!so we hope that will work the way Zitto and Mzee Mtei think !Akumbuke kuwa huko kwenye kamati waki mdispise watu watamwambia "Tulikwambia!"Swali lingine tunalotaka lijibiwe ni je kama asipokubaliana na wenzake huko kamatini,bado ana uwezo wa kwaeleza watanzania utofauti wao bila ya kuvunja taratibu za kamati hiyo?Wadau wanataka mambo kama hayo yawe wazi!
Ni lazima tujue hiyo kamati ina masharti gani kwa sababu Zitto atasaini na kama atasaini ina maana amekubali kufuata taratibu zote zilizowekwa na kamati hiyo!Zitto kwa niaba ya chama chake na wananchi kwa ujumla atasign hayo mapepa yenye kulay down mission statement.Najua kuna wale wanaolalamika kuwa hakuna uwezo wa kuwaapisha kwasababu haijateuliwa na bunge,haya hapo sasa kazi kwako kuwaelewesha kuwa hii kamati haina haja ya kumwapisha mtu yoyote kwasababu sijui kama ina nia ya kumuhoji mtu yoyote yule,hii ni kamati ya marekebisho ya sheria za mikataba,wawekee wananchi hilo wazi waelewe ili wasiendelee kuhoji mambo ya kamati teule ya bunge!je anaweza kutuambia taratibu hizo ni zipi na zina mpa uhuru kiasi gani?na uhuru ninanozungumzia ni uhuru wa kuwapasha wadau yale yote yaliyomo na yanayojiri ndani ya kamati hiyo bila kusuasua!