CHADEMA kwawaka Moto! Mbowe arudi Dar!

CHADEMA kwawaka Moto! Mbowe arudi Dar!

Status
Not open for further replies.
Kama alivyosema Mnyika!Licha ya kwamba tunamsapoti Zitto,bado tunahaja ya kuhoji nia na madhumuni!Machoni pa wengi, ni kama heshima flani kwa Zitto kuteuliwa kwenye kamati,binafsi mimi sioni hivyo moja kwa moja!Machoni pa wengi pia ni suala la Utaifa..hilo tusubiri tulione.Zitto amejijengea credibility ya hali ya juu sana kwa kipindi kifupi ndani ya upinzani,awe makini isije ikapotea!Mrema aliukataa uwaziri na kujitoa humo,wananchi walikuwa na imani naye,alikuwa upande wao,kwanini imani ya wananchi kwa Mrema hivi sasa sio kama ya wakati ule alipojitoa?tutumie mifano hio kujifunza!Warioba aliipigia kelele rushwa kama anavyofanya Zitto na ufisadi,babu wa watu akaambiwa aunde tume,yako wapi sasa?Sijui yaliyoendelea kipindi kille ndani ya hiyo tume lakini ni wazi hakuna kilichofanyika,warioba yuko kimya na Mkapa hayupo madarakani tena!Hatutaki kuona ukurasa wa Zitto kwenye kitabu cha siasa ukifungwa mapema mapema kiasi hiki.Ile chachu aliyoileta upinzani isije ikapotea,asije akawa neutralized,tunajua madhara ya kuwa neutralized,mvuto unapotea,imani inapotea,watu hawakusikilizi tena wakiwa hawana imani na wewe.Hii ni very defined moment kwa Zitto,imani yake kwa wananchi sasa inaanza kupimwa,watu wana tumashaka flani kwa yeye kukubali uteuzi,lakini umaarufu wake utaongezeka,mashaka ya wananchi yatakwisha na maslahi ya taifa yatakuwa served kama hiyo kamati itayafanya yale aliyokuwa akiyazungumzia kule bungeni.Kamati teule ya bunge ingekuwa nzuri zaidi kwani huku bungeni amepelekwa na wananchi,huko kwnye kamati ni rais amempeleka,ok Zitto alisema Ris ni amiri jeshi mkuu,lakini asisahau kauli mbiu ya CHADEMA ya "NGUVU YA UMMA"Mrema yalimkumba kama hayo,watu wakadhani lugha yake ya walalahoi haikuwa ya kweli!Inawezekana alikuwa na nia nzuri,lakini maamuzi yake ndio yaliyopelekea pale alipo hivi sasa,ni muhimu Zitto akasikiliza ushauri wa mzee wa kiraracha!Mh rais hawezi kutuambia moja kwa moja ni vigezo gani alivyoviyumia kumchagua Zitto,hivyo basi tunabaki ku speculate tu kwamba ni kwasababu Zitto aliwakalia kooni ili wajibu tuhuma ndio maana rais akaunda tume ambayo itaisaidia serikali,sio tu kwamba isipate tuhuma nyingine,bali pia kuisafisha dhidi ya tuhuma za ufisadi kwasababu makosa hayakuwa ya kina Karamagi,bali hizo sheria ambazo Zitto na wenzake wanakwenda kuzibadilisha!Kwa upande mwingine,UAMUZI WA KIKWETE NAWEZA KUUFANANISHA KWA UPANDE MMOJA NA ULE USEMI WA "MTOTO AKILILIA WEMBE..."TATIZO NI KWAMBA ALICHOPEWA ZITTO SI KILE ALICHOKUWA AKIKILILIA, BADO YEYE KUUPATA WEMBE ALIOKUWA AKIULILIA!,SO NI WAZI HAUTAMKATA!SI YEYE TU,BALI NOBODY!HIYO IKO WAZI!KAMATI TEULE YA BUNGE INGEKUWA NDO INGEKUWA WEMBE,WEMBE HUO USINGEWEZA KUMKATA TENA KWANI YEYE SASA NI MATURED!,ANGEWEZA KUUTUMIA POSITIVELY KWA SABABU SASA YEYE SI MTOTO TENA!NA ZITTO AELEWE KUWA KAMA KWA BAHATI MBAYA TUME HIYO IKAWA KAMA TUME NYINGINE ZOTE ZILIZOPITA AMBAZO NI WAZI KUWA NI VIINIMACHO,THEN HAKUNA ATAKEYELAUMIWA,SI BOMANI,SI KIKWETE,WALA MJUMBE MWINGINE YOYOTE WA BODI,WATU WATAMKODOLEA YEYE MIMACHO KWASABABU KIKWETE NI VERY SMART KUMCHAGUA KIJANA HUYU MACHACHARI KWENYE KAMATI HII ILI KUJIONDOLEA MZIGO WA LAWAMA NA KUJIPUMZIKIA KUTOKANA NA MILAWAMA KIBAO ALOYOKUWA AKIIBUA MBUNGE HUYO!GOOD LUCK CHADEMA,GOOD LUCK ZITTO,AND MAY GOD BLESS OUR COUNTRY!
 
Bravo Mnyika!!!

Nimekupata, nimekuelewa ila kaswali ka nyongeza, hivi unakubaliana na wangwe kuhoji kwanini JK hakumteua Tundu Lissu (obviously badala ya Zitto?). Au nini maoni yako kuhusu hilo, wangwe ni kiongozi Chadema kauli yake si ya kubezwa! Pleaze toa hoja kwani kuanzia kesho huwezi sema tena!!!!!
 
Bravo Mnyika!!!

Nimekupata, nimekuelewa ila kaswali ka nyongeza, hivi unakubaliana na wangwe kuhoji kwanini JK hakumteua Tundu Lissu (obviously badala ya Zitto?). Au nini maoni yako kuhusu hilo, wangwe ni kiongozi Chadema kauli yake si ya kubezwa! Pleaze toa hoja kwani kuanzia kesho huwezi sema tena!!!!!
Binafsi nafikiri wote Chacha Wangwe na Zitto wananstahili kuwemo,sio hilo tu,nafikiri upinzani kwa ujumla unatakiwa pia ushirikishwe kwenye masuala yote ambayo huwa tunaondoa tofauti za kiitikadi,issue zenye maslahi ya taifa,sio tu haya mambo ya hii kamati,thats nothing..too cheAP..GOOD BUT CHEAP,Ningekuwa Zitto ningemuomba rais kuweza kufanya mjadala wa jinsi tume hiyo itakavyoweza kufanya kazi badala ya kukubali tuuu,kiulaini laini...wananchi wanashangazwa ghafla imekuwa kiulaiiini!kila kitu yeees ah..no kibriti kidogo kwa manufaa ya wote?!I guess no..Zitto atawa convince vipi hao wajumbe wengine ambao inawezekana wakawa wana mawazo ya tofauti ya namna ya kudeal na hiyo issue,je wasipokubaliana ataitema kamati na kukomaa nao kama alivyofanya bungeni?sidhani kama ana nia ya kukomaa nao kwasababu kamati yenyewe ni yamapendekezo tu,si ya kumuhoji mtu!Je kwasababu Zitto anahisi amepewa rungu,nafasi ya kuchangia process ya serikali ya kuadapt baadhi ya idea kutoka upinzani,atauliza tena mazingira ya utiaji sign kweli?Rais apewe changamoto kwanza ili approve kama kweli alimteua Zitto kwa nia nzuri,na si za kisiasa ambazo zinaweza kutafsiriwa kama kukomoana,kugawanyana,ama kunyamazishana,aweke wazi kwamba sasa hii ndio sera mpya ambayo imekuwa adapted..kwamba sio kwasababu Zitto aliwatoa nishai bali ni kwa sababu ya change of heart,kwa moyo mmoja,kwa upendo kwamba sio kwa kubezana,bali kwa kweli tupu kwamba sasa ni sera ya kuwashirikisha wadau wote wa nchi hii bila kujali itikadi as long as wamequalify kwenye majukumu watakayopewa,hatutaki singleoutwala viini macho!masuala nyeti ya taifa sio madini pekee!lazima atuhakikishie kwmba sasa hiyo ndiyo sera afanye hivyo kwa vitendo,sio kuwapa wapinzani huto tunafasi tuwili tu(Mh Zitto na Mh Cheyo)ndani ya kamati hiyo..ambato sasa tunaleta vuguvugu ambalo ni wazi linahitaji kufanyiwa kikao!Kuna watakaosema huu ndio mwanzo,sawa ila rais atoe hotuba ambayo itaonyesha kuwa hiyo ndiyo intention yake,na sio tu kwasababu kulikuwa na kashfa ya ufisadi?!ambayo mpaka sasa hivi haina msingi tena unless kikao cha kesho kiamue vinginevyo..we're watching closely..Wasijidai kuwa wanaharaka sana..kama walikuwa na haraka ya kihivyo ya kubadili hizo sheria,what happen then since miaka ya 70 zilipotungwa?Yaani zitungwe kabla Zitto hajazaliwa,zikaliwe wee,zitumike wee,Zitto azaliwe apige kelele kiduchu,avutwe chemba,aambiwe atoe ushauri wa kuzibadilisha..akishirikiana na waliokuwa wamezikalia na kuzifurahia kwa sababu ya udhaifu wake,,awe carefull kabla ya kwenda kuyakhoga maji hayo,otherwise atueleze kama there's something we dont know...?well"good luck to him"wananchi ni budi nao watoe maoni yao kuhusu huu mlundikano wa "tume viinimacho ambazo bado hawajaweza kuona matokeo yake yakilinufaisha taifa. LUGHA YA NGUVU YA UMMA ISISAHAULIKE!or may be now ni sera mpya"NGUVU YA RAIS"
 
Ni dalili za udhaifu pale unapoambiwa 1 + 1 = 2 halafu ukajaribu kupinga kwa kigezo cha kuwa huru kutoa mawazo yako. Kumbuka mawazo yanaweza kuwa pia hayana maana isipokuwa utaheshimiwa kwa vile tu umekuwa huru kutoa hayo mawazo.

Ni ya Rais imewekwa wazi, pamoja na mambo mengine alisema atawashirikisha wanasiasa kutoka katika vyama vingine kupitia mikataba hii ya madini na hili ni jambo lenye maslahi ya kitaifa. Hapa tunaangalia nani ataweza kulisaidia taifa katika hili.
Mh Zitto Kabwe ameonyesha kulifuatilia kwa karibu suala hili la madini kwahiyo uteuzi wake kwenye kamati hiyo inaonyesha wazi kuwa Mh Rais ana imani naye na zaidi anajua kuwa Kabwe na wajumbe wengine wataifanya kazi hiyo kwa maslahi ya Taifa.
Hii kamati si ya CCM wala CHADEMA. Ni vema basi pale tunaona kuwa maamuzi ya wengi yanatekelezwa hatuna budi kutoa ushirikiano ili suala hili la madini lipatiwe ufumbuzi tuendelee na mambo mengine.
Mimi binafsi ninampongeza Mh. Rais kwa kuunda kamati hiyo na ameonyesha kuwa tanzania ni yetu sote kila mtu ana nafasi ya kuitetea na kuijenga nchi hii.

Pundamilia07:
Ufahamu wangu wa hisabati unanifanya nisiamini kwamba 1+1 sio sawa na 2. Hizo ni hesabu za chekechea. Na hio sio dalili ya udhaifu, bali ni dalili za kupiga hatua moja mbele ya darasa la chekechea.

Dalili zinazidi kujionyesha wazi kwamba Kuundwa kwa kamati hii ya Bomani ni juhudi za kupoteza lengo zaidi na kupoza hisia, kuliko kutafuta ufumbuzi halisi wa tatizo lililopo.
 
Hizi fikra fupifupi na nyembamba kama hizi ndizo zinazotufanya tuwe nchi maskini duniani hadi sasa.

duh ! maskini weee, kumbe kada ndio sababu ya kuifanya tanzania kuwa maskini hadi sasa ! 'afu hayo mawazo yako marefu ndo yanayotufanya tuendelee !
 
YAFUATAYO NI MAONI YANGU KUTOKANA NA MADA ILIYOPO HAPO KWENYE HEADING;
Ni kweli kwamba Zitto ana kila haki ya kuheshimiwa maamuzi yake,kumbuka tayari yeye ni muheshimiwa,ila kwenye siasa kuna mijadala.Ni wazi kwamba Mwanakijiji aliposema kuwa kuna hoja ambazo Zitto amezionyesha kuwa ni dhaifu alikuwa anamaanisha kuwa "Zitto ameweza kuzijibu baadhi ya hoja vyema hivyo kuzifanya zionekane kuwa ni dhaifu hivyo kutokuweza kutumika kuwa ni kielelezo cha kupinga yeye kufanya kazi kwenye kamati hiyo.

Mojawapo ni ile ya watu kuuliza kwanini yeye?Zitto amejibu kwamba si mara yake ya kwanza kuteuliwa na rais kwenye kamati na akatolea mfano tume ya kujiunga na jumuiya ya East Africa.Hivyo ile hoja ya kuuliza kwanini iwe yeye ndiye aliyeteuliwa na rais,na ile hoja kuwa uteuzi wake una mashaka kwa namna moja ama nyingine,hoja hio imedhoofu!.Ila ngoma haiishii hapo tu!Sasa turudi kwenye kipengele cha pili kinachohusu kupinga kwa sababu nzito zaidi.Licha ya kwamba mwanakijiji hakuzitaja lakini ni wazi kwamba zipo!Wadau ni lazima watataka kujua kazi halisi ya kamati hiyo!kumbuka kuwa Zitto anakwenda huko binafsi lajini bado anawawakilisha wananchadema na wapenda demokrasia na maendeleo popote pale walipo!

"JE SIASA ZA KAMATI HIYO ZITAFIFISHA SAKATA LA MADAI YA UFISADI?"JE NI SAWA NA KUKUBALI KWAMBA MADAI YALE YA UFISADI HAYAKUWA YA MSINGI?CHADEMA WAJADILI HILO KIKAONI KWA MASLAHI YA CHAMA ILI KUEPUKA "LOOPHOLES"loop holes zinaweza ku create conditions necessary to foster divisions!Nadhani mnanielewa hapo..Kusije kukawa na communication nyingine ya tofauti kati ya rais na Zitto ambayo hatuifahamu!Tunajua uamuzi wa kamati kwa serikali ni wa kujisafisha,kwamba tatizo halikuwa watendaji,bali sheria za kusimamia miaktaba,kwa upande mwingine Mh rais ametumia ile karata ambayo effect zake zinaweza kufananishwa na kitendo cha kunawa mikono kwa pilato,ila kama Zitto atashiriki unawaji huo then unawaji wake hautakuwa wa maji bali wa damu!

Nina maana gani basi ninaposema kunawa kwa damu?Serikali imekubali kuwa sheria za miaktaba ni mbovu,hivyo imenawa mikono,imeanzisha kamati ili ambayo lengo lake ni kufanya marekebisho ya sheria hizo ili ziwanufaishe wananchi,hii haina maana kwamba kuna ufisadi wowote uliotokea kwa sababu kuna ukiri wa "Ubovu wa sheria za mikataba"Na kama hiyo kamati si ya kuchunguza utata wa jinsi mikataba ilivyotiwa saini na mazingira yake then ni wazi Zitto naye ameshiriki unawaji huo,ila wake ni mbaya zaidi kwasababu isije ikawa amewageuka wananchi!,na ukiwageuka wananchi ni sawa na kunawa mikono kwa damu!Kikwete kama Pilato amenawa mikono na kuipeleka kesi hiyo kwa Zitto..na wenzake(wanakamati)ambaye kama Kaisari,ndiye atakayetoa maamuzi ya mwisho ambayo ni wazi kwamba mwelekeo wake(hata kama sio kwa makusudi)unalenga kuwasafisha baadhi ya viongozi waliokuwa wakihusishwa na ufisadi!CHADEMA wasije wakajuta kuanzisha hilo neno la ufisadi,maana linaanza kuonekana kuwa na sura ya msumeno?!Nyakati zote nilizopata fursa na wasaa wa kuchangia mada hii nimekuwa nikisisitiza tena na tena kuwa uamuzi wa Zitto utaheshimiwa, isipokuwa kujadiliwa hakuwezi kupingwa katika mfumo huu wa kidemokrasia tulioamua kuufuata,utaratibu ambao matunda yake ya awali ni uwezekano wa kuwa na vyma vya upinzani,utaratibu wa uhuru wa mawazo!.

Nilishangazwa na maneno ya Zitto pale aliposema kuwa kwanini watu hawakumake big deal before pale alipoteuliwa kwenye tume zilizopita lakini wana mind yeye kuwa kwenye tume hii!!!??Hivi Mh Zitto haelewi kwamba kashfa za ufisadi walizokuwa wanazitoa zina uzito wa hali ya juu?na kama anakubaliana na hilo,je haoni kwamba uteuzi wake ulitokana na hoja walizoibua za "UFISADI"?Akizungumzia ufisadi anataka watu wajadili,lakini anapopewa nafasi ya kuushughulikia tusijadili?Alipozungumzia ufisadi ni big deal kwa sababu ni issue inayoligusa taifa,mijadala imekuwa ikiendelea,bado tunafuatilia na kuona ni big deal,from the time akitaka kamati teule ya bunge kuundwa ili kufanya uchunguzi,bado ni big deal,to the time akiwashutumu kina Karamagi,bado ni bigdeal...,to the time wanakamti walioteuliwa na rais wanajadiliwa.

Still its a big deal..to the time kamati hiyo iatakapoanza kazi ufanisi wenu wa kazi..oops i am afraid its still gonna be a heck of a big deal!,kwamba madhumuni ya kamati hiyo ni nini hasa,matokeo yake yatakapotoka,utendaji wake,uchangiaji wenu,kupatana kwenu humo kamatini,kukutana kwenu,

"EVERYTHING ITAKUWA BIG DEAL MH ZITTO!USISAHAU HILO!UNAFIKIRI KIKWETE SIO SMART?MSIJE MKAMUUNDERESTIMATE MH RAIS HATA SIKU MOJA!NI KWELI ANATAKA HIZI SHERIA ZIREKEBISHWE,ILA KWENYE PROCESS ZITAKWENDA NA MTU/WATU.BINAFSI NAFIKIRI CHADEMA NA UPINZANI KWA UJUMLA WANASTAHILI NAFASI ZAIDI KATIKA UCHANGIAJI HUO ZAIDI TU YA ZITTO NA CHEYO,KWASABABU ISSUE NI NYETI.KAM HAO HAO WALIOKUWA WANASAINI HIYO MIKATABA NDIO HAO HAO WANAOTAKA KUREKEBISHA SHERIA ZAKE..KWANINI HAWAKUFANYA HIVYO MUDA WOTE HUO,OK ZITTO SASA KAWAKOMALIA KICHWA THEN WANAMWAMBIA OK COME ON IN LETS TALKS,TELL US HOW WE CAN FIX IT?!GOOD LUCK!NASISITIZA ZITTO UAMUZI WOWOTE UTAKAOUCHUKUA MAKE SURE UNAKEEP "IMANI YA WANANCHI KWAKO,KWA CHAMA CHAKO,KWA UPINZANI,KWA WAPENDA MAENDELEO WOTE"NASISITIZA IMANI..IMANI..

The only thing watu wanaweza kudhani ni kuwa umeshaomba msamaha kwa siri hivyo mmeshakubaliana kwamba tatizo lilikuwa sheria na sio kina karamagi,hilo muweke wazi ili msije mkatulete kizunguzungu!kwa mheshmiwa rais yeye kwake mambo mdundo tu kwani huelewi ulitaka kuwatoa nishai mawaziri wakeKIKWETE VERY SMART,LAKINI NI MAJUKUMU YENU NYIE WOTE KAMA VIONGOZI HAPA NIKIMAANAISHA MH ZITTO NA MH RAIS;"BETTER NOT OUTSMART YOUR OWN PEOPLE"Tuassume kwamba everything that was done ni for the better of our countryso kwa kifupi yaliyopita sindwele tugange yajayo ila tuwekeane wazi...

CHADEMA MJADILI HILO,La sivyo wananchi wataona kwamba mmewatumia kama ngazi ya kuippresure sIrkali ili kuweza kuyafikia malengo yenu binafsi,naamini thats not the case lakini nasisitiza kuwa maamuzi unayoyachukua kwenye ulingo wa siasa hayana budi kupimwa kwa makini SANA,thats my personal opinion which ofcourse i am entitled to"SITAKI KUJUDGE ANACHOKWENDA KUFANYA,RATHER KUJUA ATAKACHOKWENDA KUFANYA"

Sintatumia integrity kama mjj bali malengo yake na madhumuni yake yakiwekwa wazi then tutajua namna ya kuipima hiyo integrity yake na pia kumpima Zitto,kwa sababu ni lazima apimwe hapa kama akichukua uamuzi wa kuingia kamatini,kelele zote alizopiga kuhusu ufisadi zitafunikwa ama kuwa rewarded na performance yake wakati wa utekelezaji wa hayo majukumu ya hiyo kamati ambayo hadi sasa sifahamu ni yapi!Akumbuke kuwa kamati imepewa miezi michache tu na wanakamati wengine wanataka ianze kazi mara moja kabla hata ya itakachokifanya hakijajulikana ama hata kupewa nafasi ya kujulikana na wananchi so that ijadiliwe!is there anything to hide?na kwanini rushrush ya kuanza hiyo kazi kabla hata hatujajua hata job description?!lakini uamuzi wa kikao cha jumamosi utawasaidia kwa kiasi kikubwa sana.

Kwa sababu tulikuwa na imani na Zitto uko bungeni then ni vyema tukawa na imani naye kamatini,ila ajue wazi kuwa kama ilivyokuwa kule bungeni,ndivyo hivyo inaweza kuwa huko kamatini!Walimdirespect uko bungeni bila kujali kuwa ni wananchi walimpeleka huko,ni matumaini yetu hawatafanya hivyo this time,je watamheshimu zaidi kwa sababu sasa ni rais amempeleka huko kamatini?Najua hoja yake ya kamati teule ilipingwa kwasababu ingepandisha chati ya chadema na Zitto, wazo lake likapigwa stop huko bungeni ambako alipelekwa na wananchi,lakini linasapotiwa huko kamatini ambako amepelekwa na rais,je nani ataibuka shujaa hapo?ni kanini Mh Rais hakusema kwamba lile wazo la Zitto kule bungeni ni zuri na ameamua kutumia nafasi yake kama rais kulifanyia kazi?ok,labda badala ya kusema ndio ameamua kumuita Zitto kuonyesha ishara ya kukubaliana naye?!Zitto amekuwa overwhelmed,bila kujua ni sawa na kukiri kuwa madai yao ya ufisadi yalikuwa nai kuwapotosha wananchi!Mzee Mtei anasema policy ya CHADEMA itakuwa adopted,does he think so?sijui ni kivipi,ila najua hii nikamati ya mapendekezo tu!

Na tu hope kwamba mapendekezo hayo yatafanyiwa kazi,ILA INABIDI NI WA WARN KWAMBA MAPENDEKEZO HAYO YANAWEZA YASIFANYIWE KAZI WAKATI HUO KWANI ISSUE HAITAKUWA HOT TENA KAMA ILIVYOSASA,NA PIA RAIS ANAWEZA AKASEMA ANATAKA PIA AYAJUMUISHE MAPENDEKEZO YA TUME ILIYOPITA..IKWANI MATOKEO A TUME ZILIZOPITA HAAFAHAMIKI.

MANI YA WANANCHI INAWEZA IKAWA IMEPUNGUA KWA WAKATI HUO, HIVYO KUTOSIKILIZA MADAI YOYOTE YALE YATAKAYOKUWA YANAELEKEZWA SERIKALINI,HATUWEZI KUGURENTEE KUWA UMAARUFU WAKE BADO UTAENDELEA KUWEPO KWANI HATUJUI HIYO KAMATI KAMA ITAMTEGA AMA LA,NA TUNAOMBA ASIJE KUFIKIA KWENYE HIYO SITUATION AMBAYO NI LAZIMA ACHUKUE UAMUZI MMOJA WA AMA KUWASALITI WANANCHI AMA KUPOROMOKA KISIASA,"NI WAZI KWAMBA NIA YAKO WEWE PAMOJA NA MH RAIS NI NZURI NA MAOKEO YA UUNDAJI WA KAMATI HIYO PAMOJA NA UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO HAYO UKAWA NA MATOKEO MAZURI KWA UJUMLA,MAPENDEKEZO MTAKAYOYAPELEKA MNAWEZA KUAMBIWA OK,GOOD JOB TUASHUKURU,ILA KULISHAWAHI KUWA NA MAPENDEKEZO KAMA HAYO..

NOBODY KNOWS CAUSE NOBODY WAS HAS SEEN THE REPORTS!MAPENDEKEZO YENU YANAWEZA YASIWE BRANDED"MAPYA"KWANI YANAWEZA YAKAWEMO KWENYE HIZO TUME NYINGINE ZILIZOPITA UNLESS UNA TAARIFA ZAKE!HIVYO BASI, KISIASA..MACHONI MWA WANANCHI..BAADA YA MECHI OFCOURSE UNASOMA UBAO WA MATOKEA;UPINZANI_VS CCM_SIWEZI KUJAZA MATOKEO HIVI SASA ILA NITAKUMBUKA BAADAE MKISHAWAKILISHA RIPOTI YENU KWA MH RAIS,NITAJAZA NA HOPEFULLY MATOKEO YATAKUWA FAVORABLY!NI WAZI USHINDI UTAKUWA NI WA TAIFA,ILA KLABU ZETU MBILI ZA CHAMA TAWALA NA UPINZANI ZINA UBAO WAO!JE KUNA POSSIBILTY YA SULUHU?SULUHU YA BILA KUFUNGANA AMA YA KUFUNGANA?MH,WAKATI MBAYA HUO..!

Wakati huo ni mgumu sana kwani kuwasaliti wananchi ni kutokUKEEP THE SAME ISSUES YOU RAISED BUNGENI.. issue nyeti za taifa letu,na kuporomoka kisiasa bado kuna uhusiano na kuwasaliti wananchi isipokuwa tofauti ni kwamba imani ya wananchi inapotea ila maslahi binafsi yanaweza kuwa accomplished!so we hope that will work the way Zitto and Mzee Mtei think !

Akumbuke kuwa huko kwenye kamati waki mdispise watu watamwambia "Tulikwambia!"Swali lingine tunalotaka lijibiwe ni je kama asipokubaliana na wenzake huko kamatini,bado ana uwezo wa kwaeleza watanzania utofauti wao bila ya kuvunja taratibu za kamati hiyo?Wadau wanataka mambo kama hayo yawe wazi!Ni lazima tujue hiyo kamati ina masharti gani kwa sababu Zitto atasaini na kama atasaini ina maana amekubali kufuata taratibu zote zilizowekwa na kamati hiyo!Zitto kwa niaba ya chama chake na wananchi kwa ujumla atasign hayo mapepa yenye kulay down mission statement.Najua kuna wale wanaolalamika kuwa hakuna uwezo wa kuwaapisha kwasababu haijateuliwa na bunge,

haya hapo sasa kazi kwako kuwaelewesha kuwa hii kamati haina haja ya kumwapisha mtu yoyote kwasababu sijui kama ina nia ya kumuhoji mtu yoyote yule,hii ni kamati ya marekebisho ya sheria za mikataba,wawekee wananchi hilo wazi waelewe ili wasiendelee kuhoji mambo ya kamati teule ya bunge!je anaweza kutuambia taratibu hizo ni zipi na zina mpa uhuru kiasi gani?na uhuru ninanozungumzia ni uhuru wa kuwapasha wadau yale yote yaliyomo na yanayojiri ndani ya kamati hiyo bila kusuasua!
 
jmushi, nilitaka kukutumia PM lakini naona haupokei. Tafadhali tengeneza paragraph kama kila baada ya mistari nane hivi au kumi.. otherwise ni vigumu kusoma mtiririko wa mawazo. Wazo moja kwenye paragraph moja. Kwa sababu umeandika mambo muhimu lakini mara nyingi inakuwa ni vigumu kufuatilia.
 
Kweli bana...mi nimeiona nika-scroll weee..hadi nikachoka nikaanza kuona kizunguzungu
 
heheeee, basi jamani eeh nendeni www.bongo5.com bonyeza kwenye miziki, then bongo flavar then also scroll all the way down and clik wagosi, halafu bonyeza HOTUBA sikiliza hiyo mwanzo hadi mwisho !
 
YAFUATAYO NI MAONI YANGU KUTOKANA NA MADA ILIYOPO HAPO KWENYE HEADING;
Ni kweli kwamba Zitto ana kila haki ya kuheshimiwa maamuzi yake,kumbuka tayari yeye ni muheshimiwa,ila kwenye siasa kuna mijadala.Ni wazi kwamba Mwanakijiji aliposema kuwa kuna hoja ambazo Zitto amezionyesha kuwa ni dhaifu alikuwa anamaanisha kuwa "Zitto ameweza kuzijibu baadhi ya hoja vyema hivyo kuzifanya zionekane kuwa ni dhaifu hivyo kutokuweza kutumika kuwa ni kielelezo cha kupinga yeye kufanya kazi kwenye kamati hiyo.


Mojawapo ni ile ya watu kuuliza kwanini yeye?Zitto amejibu kwamba si mara yake ya kwanza kuteuliwa na rais kwenye kamati na akatolea mfano tume ya kujiunga na jumuiya ya East Africa.Hivyo ile hoja ya kuuliza kwanini iwe yeye ndiye aliyeteuliwa na rais,na ile hoja kuwa uteuzi wake una mashaka kwa namna moja ama nyingine,hoja hio imedhoofu!.

Ila ngoma haiishii hapo tu!Sasa turudi kwenye kipengele cha pili kinachohusu kupinga kwa sababu nzito zaidi.Licha ya kwamba mwanakijiji hakuzitaja lakini ni wazi kwamba zipo!Wadau ni lazima watataka kujua kazi halisi ya kamati hiyo!kumbuka kuwa Zitto anakwenda huko binafsi lakini bado anawawakilisha wanachadema na wapenda demokrasia na maendeleo popote pale walipo!"JE SIASA ZA KAMATI HIYO ZITAFIFISHA SAKATA LA MADAI YA UFISADI?"JE NI SAWA NA KUKUBALI KWAMBA MADAI YALE YA UFISADI HAYAKUWA YA MSINGI?CHADEMA WAJADILI HILO KIKAONI KWA MASLAHI YA CHAMA ILI KUEPUKA "LOOPHOLES"loop holes zinaweza ku create conditions necessary to foster divisions!Nadhani mnanielewa hapo..Kusije kukawa na communication nyingine ya tofauti kati ya rais na Zitto ambayo hatuifahamu!

Tunajua uamuzi wa kamati kwa serikali ni wa kujisafisha,kwamba tatizo halikuwa watendaji,bali sheria za kusimamia miaktaba,kwa upande mwingine Mh rais ametumia ile karata ambayo effect zake zinaweza kufananishwa na kitendo cha kunawa mikono kwa pilato,ila kama Zitto atashiriki unawaji huo then unawaji wake hautakuwa wa maji bali wa damu!

Nina maana gani basi ninaposema kunawa kwa damu?Serikali imekubali kuwa sheria za miaktaba ni mbovu,hivyo imenawa mikono,imeanzisha kamati ili ambayo lengo lake ni kufanya marekebisho ya sheria hizo ili ziwanufaishe wananchi,hii haina maana kwamba kuna ufisadi wowote uliotokea kwa sababu kuna ukiri wa "Ubovu wa sheria za mikataba"Na kama hiyo kamati si ya kuchunguza utata wa jinsi mikataba ilivyotiwa saini na mazingira yake then ni wazi Zitto naye ameshiriki unawaji huo,ila wake ni mbaya zaidi kwasababu isije ikawa amewageuka wananchi!,na ukiwageuka wananchi ni sawa na kunawa mikono kwa damu!Kikwete kama Pilato amenawa mikono na kuipeleka kesi hiyo kwa Zitto..na wenzake(wanakamati)ambaye kama Kaisari,ndiye atakayetoa maamuzi ya mwisho ambayo ni wazi kwamba mwelekeo wake(hata kama sio kwa makusudi)unalenga kuwasafisha baadhi ya viongozi waliokuwa wakihusishwa na ufisadi!

CHADEMA wasije wakajuta kuanzisha hilo neno la ufisadi,maana linaanza kuonekana kuwa na sura ya msumeno?!Nyakati zote nilizopata fursa na wasaa wa kuchangia mada hii nimekuwa nikisisitiza tena na tena kuwa uamuzi wa Zitto utaheshimiwa, isipokuwa kujadiliwa hakuwezi kupingwa katika mfumo huu wa kidemokrasia tulioamua kuufuata,utaratibu ambao matunda yake ya awali ni uwezekano wa kuwa na vyma vya upinzani,utaratibu wa uhuru wa mawazo!.Nilishangazwa na maneno ya Zitto pale aliposema kuwa kwanini watu hawakumake big deal before pale alipoteuliwa kwenye tume zilizopita lakini wana mind yeye kuwa kwenye tume hii!!!??

Hivi Mh Zitto haelewi kwamba kashfa za ufisadi walizokuwa wanazitoa zina uzito wa hali ya juu?na kama anakubaliana na hilo,je haoni kwamba uteuzi wake ulitokana na hoja walizoibua za "UFISADI"?Akizungumzia ufisadi anataka watu wajadili,lakini anapopewa nafasi ya kuushughulikia tusijadili?Alipozungumzia ufisadi ni big deal kwa sababu ni issue inayoligusa taifa,mijadala imekuwa ikiendelea,bado tunafuatilia na kuona ni big deal,from the time akitaka kamati teule ya bunge kuundwa ili kufanya uchunguzi,bado ni big deal,to the time akiwashutumu kina Karamagi,bado ni bigdeal...,to the time wanakamti walioteuliwa na rais wanajadiliwa..still its a big deal..to the time kamati hiyo iatakapoanza kazi ufanisi wenu wa kazi..oops i am afraid its still gonna be a heck of a big deal!,kwamba madhumuni ya kamati hiyo ni nini hasa,matokeo yake yatakapotoka,utendaji wake,uchangiaji wenu,kupatana kwenu humo kamatini,kukutana kwenu,"EVERYTHING ITAKUWA BIG DEAL MH ZITTO!USISAHAU HILO!UNAFIKIRI KIKWETE SIO SMART?MSIJE MKAMUUNDERESTIMATE MH RAIS HATA SIKU MOJA!NI KWELI ANATAKA HIZI SHERIA ZIREKEBISHWE,ILA KWENYE PROCESS ZITAKWENDA NA MTU/WATU.

BINAFSI NAFIKIRI CHADEMA NA UPINZANI KWA UJUMLA WANASTAHILI NAFASI ZAIDI KATIKA UCHANGIAJI HUO ZAIDI TU YA ZITTO NA CHEYO,KWASABABU ISSUE NI NYETI.KAM HAO HAO WALIOKUWA WANASAINI HIYO MIKATABA NDIO HAO HAO WANAOTAKA KUREKEBISHA SHERIA ZAKE..KWANINI HAWAKUFANYA HIVYO MUDA WOTE HUO,OK ZITTO SASA KAWAKOMALIA KICHWA THEN WANAMWAMBIA OK COME ON IN LETS TALKS,TELL US HOW WE CAN FIX IT?!GOOD LUCK!NASISITIZA ZITTO UAMUZI WOWOTE UTAKAOUCHUKUA MAKE SURE UNAKEEP "IMANI YA WANANCHI KWAKO,KWA CHAMA CHAKO,KWA UPINZANI,KWA WAPENDA MAENDELEO WOTE"NASISITIZA IMANI..IMANI..The only thing watu wanaweza kudhani ni kuwa umeshaomba msamaha kwa siri hivyo mmeshakubaliana kwamba tatizo lilikuwa sheria na sio kina karamagi,hilo muweke wazi ili msije mkatulete kizunguzungu!kwa mheshmiwa rais yeye kwake mambo mdundo tu kwani huelewi ulitaka kuwatoa nishai mawaziri wakeKIKWETE VERY SMART,LAKINI NI MAJUKUMU YENU NYIE WOTE KAMA VIONGOZI HAPA NIKIMAANAISHA MH ZITTO NA MH RAIS;"BETTER NOT OUTSMART YOUR OWN PEOPLE"

Tuassume kwamba everything that was done ni for the better of our countryso kwa kifupi yaliyopita sindwele tugange yajayo ila tuwekeane wazi...CHADEMA MJADILI HILO,La sivyo wananchi wataona kwamba mmewatumia kama ngazi ya kuippresure sIrkali ili kuweza kuyafikia malengo yenu binafsi,naamini thats not the case lakini nasisitiza kuwa maamuzi unayoyachukua kwenye ulingo wa siasa hayana budi kupimwa kwa makini SANA,thats my personal opinion which ofcourse i am entitled to"SITAKI KUJUDGE ANACHOKWENDA KUFANYA,RATHER KUJUA ATAKACHOKWENDA KUFANYA"Sintatumia integrity kama mjj bali malengo yake na madhumuni yake yakiwekwa wazi then tutajua namna ya kuipima hiyo integrity yake na pia kumpima Zitto,kwa sababu ni lazima apimwe hapa kama akichukua uamuzi wa kuingia kamatini,kelele zote alizopiga kuhusu ufisadi zitafunikwa ama kuwa rewarded na performance yake wakati wa utekelezaji wa hayo majukumu ya hiyo kamati ambayo hadi sasa sifahamu ni yapi!Akumbuke kuwa kamati imepewa miezi michache tu na wanakamati wengine wanataka ianze kazi mara moja kabla hata ya itakachokifanya hakijajulikana ama hata kupewa nafasi ya kujulikana na wananchi so that ijadiliwe!is there anything to hide?na kwanini rushrush ya kuanza hiyo kazi kabla hata hatujajua hata job description?!lakini uamuzi wa kikao cha jumamosi utawasaidia kwa kiasi kikubwa sana.

Kwa sababu tulikuwa na imani na Zitto uko bungeni then ni vyema tukawa na imani naye kamatini,ila ajue wazi kuwa kama ilivyokuwa kule bungeni,ndivyo hivyo inaweza kuwa huko kamatini!Walimdirespect uko bungeni bila kujali kuwa ni wananchi walimpeleka huko,ni matumaini yetu hawatafanya hivyo this time,je watamheshimu zaidi kwa sababu sasa ni rais amempeleka huko kamatini?Najua hoja yake ya kamati teule ilipingwa kwasababu ingepandisha chati ya chadema na Zitto,l wazo lake likapigwa stop huko bungeni ambako alipelekwa na wananchi,lakini linasapotiwa huko kamatini ambako amepelekwa na rais,je nani ataibuka shujaa hapo?ni kanini Mh Rais hakusema kwamba lile wazo la Zitto kule bungeni ni zuri na ameamua kutumia nafasi yake kama rais kulifanyia kazi?ok,labda badala ya kusema ndio ameamua kumuita Zitto kuonyesha ishara ya kukubaliana naye?!Zitto amekuwa overwhelmed,bila kujua ni sawa na kukiri kuwa madai yao ya ufisadi yalikuwa nai kuwapotosha wananchi!Mzee Mtei anasema policy ya CHADEMA itakuwa adopted,does he think so?sijui ni kivipi,ila najua hii nikamati ya mapendekezo tu!na tu hope kwamba mapendekezo hayo yatafanyiwa kazi,ILA INABIDI NI WA WARN KWAMBA MAPENDEKEZO HAYO YANAWEZA YASIFANYIWE KAZI WAKATI HUO KWANI ISSUE HAITAKUWA HOT TENA KAMA ILIVYOSASA,NA PIA RAIS ANAWEZA AKASEMA ANATAKA PIA AYAJUMUISHE MAPENDEKEZO YA TUME ILIYOPITA..IKWANI MATOKEO A TUME ZILIZOPITA HAAFAHAMIKI.MANI YA WANANCHI INAWEZA IKAWA IMEPUNGUA KWA WAKATI HUO, HIVYO KUTOSIKILIZA MADAI YOYOTE YALE YATAKAYOKUWA YANAELEKEZWA SERIKALINI,HATUWEZI KUGURENTEE KUWA UMAARUFU WAKE BADO UTAENDELEA KUWEPO KWANI HATUJUI HIYO KAMATI KAMA ITAMTEGA AMA LA,NA TUNAOMBA ASIJE KUFIKIA KWENYE HIYO SITUATION AMBAYO NI LAZIMA ACHUKUE UAMUZI MMOJA WA AMA KUWASALITI WANANCHI AMA KUPOROMOKA KISIASA,"NI WAZI KWAMBA NIA YAKO WEWE PAMOJA NA MH RAIS NI NZURI NA MAOKEO YA UUNDAJI WA KAMATI HIYO PAMOJA NA UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO HAYO UKAWA NA MATOKEO MAZURI KWA UJUMLA,MAPENDEKEZO MTAKAYOYAPELEKA MNAWEZA KUAMBIWA OK,GOOD JOB TUASHUKURU,ILA KULISHAWAHI KUWA NA MAPENDEKEZO KAMA HAYO..NOBODY KNOWS CAUSE NOBODY WAS HAS SEEN THE REPORTS!MAPENDEKEZO YENU YANAWEZA YASIWE BRANDED"MAPYA"KWANI YANAWEZA YAKAWEMO KWENYE HIZO TUME NYINGINE ZILIZOPITA UNLESS UNA TAARIFA ZAKE!HIVYO BASI, KISIASA..MACHONI MWA WANANCHI..BAADA YA MECHI OFCOURSE UNASOMA UBAO WA MATOKEA;UPINZANI_VS CCM_SIWEZI KUJAZA MATOKEO HIVI SASA ILA NITAKUMBUKA BAADAE MKISHAWAKILISHA RIPOTI YENU KWA MH RAIS,NITAJAZA NA HOPEFULLY MATOKEO YATAKUWA FAVORABLY!NI WAZI USHINDI UTAKUWA NI WA TAIFA,ILA KLABU ZETU MBILI ZA CHAMA TAWALA NA UPINZANI ZINA UBAO WAO!JE KUNA POSSIBILTY YA SULUHU?SULUHU YA BILA KUFUNGANA AMA YA KUFUNGANA?MH,WAKATI MBAYA HUO..!

wakati huo ni mgumu sana kwani kuwasaliti wananchi ni kutokUKEEP THE SAME ISSUES YOU RAISED BUNGENI.. issue nyeti za taifa letu,na kuporomoka kisiasa bado kuna uhusiano na kuwasaliti wananchi isipokuwa tofauti ni kwamba imani ya wananchi inapotea ila maslahi binafsi yanaweza kuwa accomplished!so we hope that will work the way Zitto and Mzee Mtei think !Akumbuke kuwa huko kwenye kamati waki mdispise watu watamwambia "Tulikwambia!"Swali lingine tunalotaka lijibiwe ni je kama asipokubaliana na wenzake huko kamatini,bado ana uwezo wa kwaeleza watanzania utofauti wao bila ya kuvunja taratibu za kamati hiyo?Wadau wanataka mambo kama hayo yawe wazi!

Ni lazima tujue hiyo kamati ina masharti gani kwa sababu Zitto atasaini na kama atasaini ina maana amekubali kufuata taratibu zote zilizowekwa na kamati hiyo!Zitto kwa niaba ya chama chake na wananchi kwa ujumla atasign hayo mapepa yenye kulay down mission statement.Najua kuna wale wanaolalamika kuwa hakuna uwezo wa kuwaapisha kwasababu haijateuliwa na bunge,haya hapo sasa kazi kwako kuwaelewesha kuwa hii kamati haina haja ya kumwapisha mtu yoyote kwasababu sijui kama ina nia ya kumuhoji mtu yoyote yule,hii ni kamati ya marekebisho ya sheria za mikataba,wawekee wananchi hilo wazi waelewe ili wasiendelee kuhoji mambo ya kamati teule ya bunge!je anaweza kutuambia taratibu hizo ni zipi na zina mpa uhuru kiasi gani?na uhuru ninanozungumzia ni uhuru wa kuwapasha wadau yale yote yaliyomo na yanayojiri ndani ya kamati hiyo bila kusuasua!

Haya nimejirahisishia kusoma..
 
CHADEMA leo wana nafasi muhimu ya kuonyesha ukomavu wao wa kidemokrasia.Maamuzi watakayochukua leo ndiyo yatakayowajengea imani wananchi kwamba kweli CHADEMA ni chama chenye uchungu na nchi yao.Mimi nawatakia kila la heri katika mkutano wao wa leo.

Cha msingi ni kwamba Zitto apewe fursa ya kwenda kupambana na kile amabacho amekua akisimamia muda mrefu.Jamani tuungane nae maanake ndani ya hiyo kamati kwenyewe kuna mambo mengi magumu atakayokumbana nayo.

Kuna mtu hapo juu anasema akina Tundu Lisu walistahili kuwepo,mimi nilishawahi kusema hapo awali si lazima akina Lisu wawaepo kwani kama ni ushauri hawawatu wangeweza kumshauri zitto atakapokua anafanya kazi ndani ya hiyo kamati,kwa kufanya hivyo mawazo yake yatakua yamefanyiwa kazi.Ikumbukwe kuwa huyu jamaa ndiye aliyetoa kasoro nyingi kwenye sheria za madini ila narudia tena,SI LAZIMA AWEPO NDANI YA HIYO KAMATI

Prof.Issa Shivji nakumbuka kuna mahali niliskia alikua ni mwalimu wa nje wa Zitto kisiasa,sasa huyu jamaa ni kichwa.Tukisema nilazima yeye awepo ndani ya kamati kama watu walivyodai hapo mwanzo badoo tutakua tunafikiria pafupi,huyu nae anaweza akaendelea kumshauri zitto na kumpa nondo za uhakika halafu zitto akafanya mambo.

By,the way CHADEMA wameonyesha ukomavu mkubwa wa kidemokrasia kuruhusu mijadala iendelee kabla hawajahitimisha kama timu,though spinners kama opportunists wameitumia na kusema CHADEMA KUNA MGOGORO,CHADEMA KWAWAKA MOTO! Hii ni misamiati kwa CCM kwani hawana utamaduni wa kuruhusu demokrasia ya aina hiyo kwani hata wabunge wao wanakalishwa chini na Lowasa wasiiseme kuhusu Richmond,IPTL,RADA nk. Damn!
 
Ngoja tuone mjadala ndani ya chama utakavyohitimishwa leo.Then tutaona spinners watafanya kazi gani kesho
 
this is nothing, NADA but a publicity stunt ! zitto yupo hapa na anaview hii thread labda atumegee kidogo na yatakayojiri !
 
this is nothing, NADA but a publicity stunt ! zitto yupo hapa na anaview hii thread labda atumegee kidogo na yatakayojiri !


Kama ni publicity si ni wewe ulikuwa wa kwanza kuiweka hii topic hapa?

Na kama wewe ndio hao CCM wamekuamini kuwa un aweza kuwatetea hapa halafu huoni madhara ya mijadala yako unayoweka ,hapo yafaa ujiondoe kama Machunde.

Hii ndio jf bwana, kama huoni mbele utajikuta unawapa wengine matangazo ya burew kama unavyokiri kwenye maoni yako.
 
Kama ni publicity si ni wewe ulikuwa wa kwanza kuiweka hii topic hapa?

Na kama wewe ndio hao CCM wamekuamini kuwa un aweza kuwatetea hapa halafu huoni madhara ya mijadala yako unayoweka ,hapo yafaa ujiondoe kama Machunde.


Hii ndio jf bwana, kama huoni mbele utajikuta unawapa wengine matangazo ya burew kama unavyokiri kwenye maoni yako.

NONSENSE ! HUO NDO UPUUZI NINAOPINGA SANA HAPA FORUMS. sasa endeleeni tu kunijenga na msipoacha hii tabia, you'll see the new phase in me !
 
jmushi, nilitaka kukutumia PM lakini naona haupokei. Tafadhali tengeneza paragraph kama kila baada ya mistari nane hivi au kumi.. otherwise ni vigumu kusoma mtiririko wa mawazo. Wazo moja kwenye paragraph moja. Kwa sababu umeandika mambo muhimu lakini mara nyingi inakuwa ni vigumu kufuatilia.
Shukran kwa ushauri wako,nitajitahidi nifanye hivyo next time.Reason kubwa ni kwasababu huwa natype tu ideas,nakuwa sijaiandaa kihivyo..nikiingia hapa na quote ama na reply then nasubmitt,next time itabidi ni edit before sija submitt.Once again thanks,thanks also for understanding the fact that there is a point in my unorganized text i submitted
 
Mbona all of a sudden "hapa" pamefikwa na ukimya!!?? au ndio mgogoro hakuna tena chadema??? au?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom