nimekuuliza swali kutokana na kile ulichoandika hapa:
Tanzania njema katoa maoni yake kisha wewe unasema kuwa amekuja kumkashifu Wangwe huku ukisema kuwa yeye ni memba wa kamati kuu ya Chadema. Swali hilo hilo linakuja kwako, je wewe ni msemaji wa Wangwe au ni memba wa kamati kuu ya chama kipi? .... I guess ni ccm.
Nimesoma ukidai kuwa Kitila aliwahi kuwa mwanachama wa NCCR na TLP kitu ambacho umekosa ushahidi hapa. Je utaleta ushahidi ulioombwa na Kitila?
Wewe Wasema!kama Wewe Unaona Kuwa Huu Ni Ukweli Na Ni Lazima Uuseme Basi Nakuachia Ukumbi Kwenye Issue Ya Ukabila Na Kukupa Kombe Kubwa La Ushindi. Ukisoma Hii Thread Utagundua Makanusho Mengi Sana Kwenye Hili Toka Kwa Watu Kibao Hapa.
Katika Hili, Endelea Tu Na Rants Mkulu Yangu Macho Na Masikio Na Huruma Kidogo Juu Yako. Ninajua Kuna Mengi Sana Wana Ccm Mnaweza Kuargue Na Chadema Kuhusu Sera. Sidhani Kama La Ukabila (ambalo Si Kweli) Ni Moja Of Them.
Kuna Mtu Alianzisha Thread Hapa Kuwa Ccm Ni Chama Cha Kiislam Na Kusema Kuwa 75% Ya Viongozi Wake Ni Waislam (na Hoja Hiyo Ikapingwa Maana Haina Nguvu). ukienda Huko Yatakushinda Mkuu.
Na ndugu yangu Hollo...Wewe ni John Cheyo.
Nenda kamwambie aje hapa atoe maoni yake kama hayatafanana na ya kwako.
Acha hizo za kuwagawa wapinzani wenzako!
Soma maneno ya Tanzania njema tena na tena, ukishindwa vaa miwani itakusaidia.sijasema kuwa Tanzania Njema au Kitila wako kamati kuu ya Chadema najua ninachoongea.
Samahani sana mie siishi kwa kuGuess kama wewe, ushahidi gani unaotaka kuhusu Kitila, nimekupa kila kitu kama umeshindwa kujua ni uzito wa akili yako sio kosa langu, hasira hizi unazoleta kwangu na wengine tulioamua kumsemea Chacha Wangwe ni uthibitisho kuwa kuna kundi liliundwa kumuua kisiasa Wangwe,Mmeshamfukuza kwenye madaraka sasa hasira za nini? mission imefanikiwa usiwe na hasira ndugu, huu ni muda wa sherehe acha hasira.
Kama wewe unaona kuwa huu ni ukweli na ni lazima uuseme basi nakuachia ukumbi kwenye issue ya ukabila na kukupa kombe kubwa la ushindi. Ukisoma hii thread utagundua makanusho mengi sana kwenye hili toka kwa watu kibao hapa.
Katika hili, endelea tu na rants mkulu yangu macho na masikio na huruma kidogo juu yako. Ninajua kuna mengi sana wana ccm mnaweza kuargue na chadema kuhusu sera. Sidhani kama la ukabila (ambalo si kweli) ni moja of them.
Kuna mtu alianzisha thread hapa kuwa ccm ni chama cha kiislam na kusema kuwa 75% ya viongozi wake ni waislam (na hoja hiyo ikapingwa maana haina nguvu). Ukienda huko yatakushinda mkuu.
Hollo ni Chenge.
Mimi siyo cheyo kabisa na wala haitatokea niwe yeye!Na ndugu yangu Hollo...Wewe ni John Cheyo.
Nenda kamwambie aje hapa atoe maoni yake kama hayatafanana na ya kwako.
Acha hizo za kuwagawa wapinzani wenzako!
Nyie mwasema mimi ni chenge ni Cheyo Whatever u can call me it is ok!Kwani CHEYO NA CHENGE tofauti yao wapi na walipiga kura za NDIYO kwenye bajeti ya kifisadi?
Mimi siyo cheyo kabisa na wala haitatokea niwe yeye!
Mimi sio mpinzani mimi ni MUAFRICA MTANZANIA!ambaye ni Mwana CCM!Wapinzani wanajimaliza wenyewe tu!wewe mfanya biashara anakuwa mwenyekiti wa chama si maajabu haya?
Kwanini unamhukumu mtu bila ya kumpa nafsai ajitete,Inawezekana ana Vithibitisho vya Kitila kuwa NCCR kwani kama alishawahi kuw aNCCCR ni dhambi kw asas kuwa CHADEMA ambavyo uonavyo wewe ni chama kitakatifuBaada ya hapa, imeonekana kuwa huna uthibitisho kuwa Kitila aliwahi kuwa NCCR au TLP. Kwa kuleta uzushi na udaku hapa huku ukimwita mmojawapo wa members makini hapa JF - Kitila kuwa ni mwongo, maandishi yako mwenyewe yamekuonesha kuwa wewe ni muongo na Kitila kasema ukweli.
Huo si ukweli!Makamu mwenyekiti ni mkristo,katibu mwenezi ni mkristo,mweka hazina ni mkristo,mambo ya nchi za nje ni mkristo!MWK,
Mimi ndiye nilianzisha hiyo thread kuwa ccm ni chama cha kiislam na ingawa hiyo thread ilihamishwa toka jukwaa la siasa, bado nasema kuwa ccm ni chama cha kiislam kwa kuwa viongozi wake wote wa juu asilimia 75 yao ni waislam
Kwanini unamhukumu mtu bila ya kumpa nafsai ajitete,Inawezekana ana Vithibitisho vya Kitila kuwa NCCR kwani kama alishawahi kuw aNCCCR ni dhambi kw asas kuwa CHADEMA ambavyo uonavyo wewe ni chama kitakatifu
Huo si ukweli!Makamu mwenyekiti ni mkristo,katibu mwenezi ni mkristo,mweka hazina ni mkristo,mambo ya nchi za nje ni mkristo!
Baada ya hapa, imeonekana kuwa huna uthibitisho kuwa Kitila aliwahi kuwa NCCR au TLP. Kwa kuleta uzushi na udaku hapa huku ukimwita mmojawapo wa members makini hapa JF - Kitila kuwa ni mwongo, maandishi yako mwenyewe yamekuonesha kuwa wewe ni muongo na Kitila kasema ukweli.
Inajulikana wazi kuwa pesa za makao makuu ya Chadema zinatumiwa vibaya kuwanufaisha kina Mnyika na group lao kuliko kutumika majimboni, Hilo group yuko Kitila na timu yao kwa michango yako humu, wewe ni sehemu ya timu hiyo,mtu ambaye uko kwenye mission moja utaacha kusema kuwa ni mkweli?
Jana nilieleza kuwa Wangwe asingeweza kupata haki yake mbele ya wale wajumbe watano Ngaiza,Baregu,Ndesamburo, Makani na Mtei na akipeleka kw suala hilo mahakamani kwenye kipengele cha Judicial Review anatashinda kesi kuwa walimuondoa walikuwa na maslahi au ukaribuni na Mbowe hiyo ni point kubwa.
Wewe kumsema kuwa mimi muongo na Kitila ni kweli sio sahihi, angekuja mtu ambaye ni Independent angesema kuwa mimi muongo ingeleta nguvu,lakini inajulikana wazi kuwa pesa za makao makuu ya Chadema zinatumiwa vibaya kuwanufaisha kina Mnyika na group lao kuliko kutumika majimboni, Hilo group yuko Kitila na timu yao kwa michango yako humu, wewe ni sehemu ya timu hiyo,mtu ambaye uko kwenye mission moja utaacha kusema kuwa ni mkweli?
Unajua ukienda mahakamani ushahidi wa mke wako, au ndugu yangu hautakiwi sababu utakuwa wa upendeleo, ukiomba kazi huwezi kusema kuwa ndugu yako au rafiki yao ndio refarii wako, hawezi kutoa maelezo ya ukweli.
Kitila hawezi kuwa mkweli kwa kauli yako wewe mwenzake kwenye mission ya kumtoa Wangwe.
WAKATABAHU!!!