CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

safi sana,hilo la wagombea huru tena? Si wewe uliyesema hutarajii kuwa mwanasiasa?
 
Hii issue ya Wangwe inatumaliza vichwa lakini ukweli lazima tujiulize namna hivi vyama vilivyoanzishwa. Sikatai kuwa mabadiliko yanahitajika ndani ya vyama hivyo lakini sio kwa spidi unayotaka Wangwe. Chama kimesimamishwa na hao ambao Wangwe anataka watoke. Vyama vyote vimepitia huko UDP,CUF,ASP,ZPPP,TAA(TANU).
 
Ni kweli Wangwe kama viongozi wengine wasio na sirika ya uongozi hawatakiwi kukaa Chadema maana mpaka hapa mentalism yake imejaa ukabila nadhani Chadema wakimpa yeye uongozi atajaza Wakulya. Akwende. Na asiporidhika basi na aende ccm wanakolumbatia ukabila na udini.
 
"kuongoza billcanas nitofauti sana na kuongoza chama chenye nia ya kushika nchi"Mbowe bado haja qulify kuongoza CHADEMA, we need sensible people like DR SLAA, to do the job.
 
Mimi najifunza, kama hili la Wangwe limesaidia kujua CHADEMA ina viongozi gani.
Kama natafuta chama mwaka 2010, nitajua wapi niende na wapi nisiende kwi kwi kwi!!!

I hope mmeona msimamo wa wetu wengi neutral juu ya hili la Wangwe na wanaotaka kujifunza watafanya hivyo, wasiotaka basi dunia ndio mwalimu na mwamuzi wa mwisho.

Labda wengine tuendelee na profession zetu, sijui kama tunaweza ku survive kwenye hayo mavyama maana ukikosoa unaambiwa sio mwenzetu, uko kwenye payroll ya chama kingine.

Mimi nasubiri waruhusu wagombea huru.

Unaweza kukiita chama cha kidikteta kinachoongozwa na madikteta na wafuasi wake ni vipofu na madikteta.
Wangwe hakusilizwa na wanachama wa Chadema zaidi ya kupitishiwa hukumu ya Mwenye chama (Mbowe) na wafuasi wake kuitia ndiyo mzee. yaani wanashindwa hata kuhoji.
 
"kuongoza billcanas nitofauti sana na kuongoza chama chenye nia ya kushika nchi"Mbowe bado haja qulify kuongoza CHADEMA, we need sensible people like DR SLAA, to do the job.

sasa huyo ndio mwenye chama na mali ya mzee Mtei yeye amerithishwa.
 
Yote yanafanyika. Naambiwa kwenye mkutano mmoja tu wa juzi pale Tanga mjini waliuza kadi 300 papo kwa papo! Mambo yanatokea!

swala la kuleta Zitto Kabwe vipi? au umekimbia mada kiaina,mtu mzima huwezi kukubali hata kama ulitereza hizo ndizo safari za kisiasa, wengine hupita njia ndefu na wengine njia fupi.
 
Mgagagigikoko,
Mkuu sasa hapa umekwenda mbali sana maanake sisi wengine hapa ndio kwanza tunahoji tena kwa uwazi kiasi kwamba hata wewe hapo ulipo unaona madudu yetu.. Leo unatuita sisi vipofu hali wewe na CCM yako huna hata sauti zaidi ya kubwekea chooni!...
Duh, ama kweli Nyani haoni kundule, yaani nyie mnavyoburuzwa na kuendelea kuita watu Waheshimiwa hali ni makunguni ndani ya miili yenu kweli huo ni usafi wa kumcheka mwingine anayepiga pasi nguo zake hapa kijiweni?..
Hapana mkuu makosa ya Chadema ni tone katika bahari ya siasa za Bongo..
Usiyakuze sana haya mambo wakati unafahamu fika kwamba hata hiyo sauti ya malalamiko ya CCM yanatoka upande wapili...Nyie wanachama wa CCM hakika ndio upofu wa kuzaliwa umewalemaza......hakuna medical treatment kabisa!
 
Sijakwambia kuwa mimi ni CCM, sihitaji kubatizwa nimeumia na Wangwe kuonewa.
 
Duh, mkuu useme mara ngapi? yaani sehemu zote ulizokwisha andika bado tunahitaji mtu kutoa tafsiri?..
 
Mgagagigikoko,
Sina chama nasubiri ruzuku tu.

Duh, sasa hiyo ruzuku si ndio madudu ya Barricks mkubwa!... mbona wanitisha zaidi, ruzuku ni pamoja na kuuza nchi kwa ada ya shule ya mwanao.
 
ni ile anayoilalamikia Wangwe kuwa inakwenda KILIMANJARO na haina AUDITING.
 
Yote yanafanyika. Naambiwa kwenye mkutano mmoja tu wa juzi pale Tanga mjini waliuza kadi 300 papo kwa papo! Mambo yanatokea!

Penyezeni SERA mbadala ya hizi za CCM. Ingieni kwenye MIOYO ya Watanzania. Hili la kuuza kadi sawa; eneo hilohilo mlilouza kadi 300 akienda Makamba kesho atauza 400 za CCM kwa watu walewale!
 
Mgagagigikoko,
Mkuu sasa hapa umekwenda mbali sana maanake sisi wengine hapa ndio kwanza tunahoji tena kwa uwazi kiasi kwamba hata wewe hapo ulipo unaona madudu yetu.. Leo unatuita sisi vipofu hali wewe na CCM yako huna hata sauti zaidi ya kubwekea chooni!...
Duh, ama kweli Nyani haoni kundule, yaani nyie mnavyoburuzwa na kuendelea kuita watu Waheshimiwa hali ni makunguni ndani ya miili yenu kweli huo ni usafi wa kumcheka mwingine anayepiga pasi nguo zake hapa kijiweni?..
Hapana mkuu makosa ya Chadema ni tone katika bahari ya siasa za Bongo..
Usiyakuze sana haya mambo wakati unafahamu fika kwamba hata hiyo sauti ya malalamiko ya CCM yanatoka upande wapili...Nyie wanachama wa CCM hakika ndio upofu wa kuzaliwa umewalemaza......hakuna medical treatment kabisa!

Mkuu wangu,

Pokea zako tano.
 
Mkuu Mkandara Big up kwa mistari safi. Bahati mbaya ni kuwa hawa watu hata uwaelezeje wao umezugwa na mfumo wao mbovu wa uongozi.
Kwa vile wao hawataki kuoga wakiona wenzao wanaoga kuondoa uchafu wanashika bango eti wachafu hao! ajabu.
 
Lakini swala la ukasikazini haliepukiki kwani watu wa huko wapo shap sana katika issue yeyote ile mmoja akiingia kwenye system basi atabeba wenzake 10 na hao nao wakiwabeba wenzao tena 10 inakuwa ngapi 100 na hao 100 wakiwabeba wenzao mmoja mmoja tutapata idadi gani>?
Hapo ndo maana watu wa kaskazini wataendelea kuwa na nguvu hata wakiingia tu kwenye CCM yatakuwa yale yale hata kiuundwe chama kingine ni yale yale.
 
naona watanzania tunakosa mwelekeo. badala ya kujadili hoja sasa tunajadili watu na wanakotoka. kwa mtindo huu hatuendi kokote. WANGWE HAFAI
 
Penyezeni SERA mbadala ya hizi za CCM. Ingieni kwenye MIOYO ya Watanzania. Hili la kuuza kadi sawa; eneo hilohilo mlilouza kadi 300 akienda Makamba kesho atauza 400 za CCM kwa watu walewale!
sera za ukabila nani atazikubali Tanga?
 
Back
Top Bottom