Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 46
This is the biggest misstep the comrade has made.Unortunately its irreparable.
Mgagagikikoko=zemarcopolo=Kada Mpinzani=...endelea! Sasa wewe ulitaka abaki Chama Cha Mafisadi(CCM)?
Asha

Hakuna chama cha mafisadi, hiyo ni propaganda.
Kama Mbowe Ana Msaada Mbona Hajalipa Deni Lake La Nssf?
Kama Wewe Ccm Yana Kuhusu Nini Ya Chadema?

Malengo yapi? fafanua.
Sasa kama Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete ni FISADI, Kama Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Bwana Chenge ni FISADI Kama wajumbe wa Kamati Kuu Bwana Mkapa, Rostam Nk ni MAFISADI. Chama chenye wanachama waandamizi MAFISADI kwanini kisiitwe Chama Cha Mafisadi(CCM). Au umesahau makada waliomo kwenye Orodha ya Mafisadi? Hebu bonyeza hapa:http://www.chadema.net/habari/2007/orodha1.php
Bado unakataa?
kama Ni Kitila A.k Mkumbo Yule Aliyekuwa Rais Wa Daruso Akafanya Kazi Igu Pale Udsm Akawa Mhadhiri Nk Huyu Bwana Hajawahi Kuwa Tlp Wala Nccr. Alitoka Nyf Akiwa Na Wenzake Wakina Mwakagenda, Ilunde, Zitto Na Mnyika Akajiunga Na Ccm Kabla Hata Ya Wenzake Kuwa Active Kwenye Siasa. Akagombea Uenyekiti Wa Vijana Dsm Akafanyiwa Zengwe, Akamuunga Mkono Salim Ahmed Salim Badala Ya Kikwete Akafanyiwa Tena Zengwe. Akaamua Kujiunga Na Chadema Na Kuwa Shabiki Wa Mbowe. Huko Akakutana Na Wenzake Wakina Zitto, Dogo Mnyika Na Mwakagenda. Mnyonge Mnyongeni Lakini Haki Yake Mpeni.
Pm

Wao Wanazoa Tu Mtu Kapita Vyama Kumi Wanamchukua.nategemea Chadema Kujifunza Kwenye Hili......kuwe Na Mfumo Unaoeleweka . Mwanachama Lazima Awe Na Kipindi Fulani (not Less Than Five Years) Ili Apewe Uongozi Wa Juu. Tumeona Mengi Katika Hili Mfano Nccr Na Mrema Etc. Kwa Njia Hii Itakuwa Si Rahisi Kuwa Na Mapandikizi( I Am Not Saying Chacha Ni Pandikizi). Lakini Wangwe Alikaa Muda Gani Uanachama Hadi Umakamu Wa Mwenyekiti? Sina Hakika Lakini Najua Ni Muda Mfupi.
Sasa kama Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete ni FISADI, Kama Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Bwana Chenge ni FISADI Kama wajumbe wa Kamati Kuu Bwana Mkapa, Rostam Nk ni MAFISADI. Chama chenye wanachama waandamizi MAFISADI kwanini kisiitwe Chama Cha Mafisadi(CCM). Au umesahau makada waliomo kwenye Orodha ya Mafisadi? Hebu bonyeza hapa:http://www.chadema.net/habari/2007/orodha1.php
Bado unakataa?
Mgagagikikoko=zemarcopolo=Kada Mpinzani=...endelea! Sasa wewe ulitaka abaki Chama Cha Mafisadi(CCM)?
Asha
Kama ni Kitila A.K Mkumbo yule aliyekuwa Rais wa DARUSO akafanya kazi IGU pale UDSM akawa mhadhiri nk huyu Bwana hajawahi kuwa TLP wala NCCR. Alitoka NYF akiwa na wenzake wakina Mwakagenda, Ilunde, Zitto na Mnyika akajiunga na CCM kabla hata ya wenzake kuwa active kwenye siasa. Akagombea uenyekiti wa vijana DSM akafanyiwa zengwe, akamuunga mkono Salim Ahmed Salim badala ya Kikwete akafanyiwa tena zengwe. Akaamua kujiunga na CHADEMA na kuwa shabiki wa Mbowe. Huko akakutana na wenzake wakina Zitto, dogo Mnyika na Mwakagenda. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
PM
Una Ushahidi Gani Kama Anajua Zaidi? Kwanini Asije Mheshimiwa Zitto Ambaye Nilisema Toka Mwanzo?kwa Hiyo Kimsingi Amekuja Mtu Anayejua Zaidi Na Umeshindwa Kukiri Kauli Yako Kuhusu Tlp Na Nccr Na Sasa Umeamua Kuhamisha Magoli. Well, Vitu Vingine Hubadilika, Na Vingine Havibadiliki. Na Binadamu Wako Hivyo Hivyo.
I beg to disagree with you that Mkumbo made "the biggest misstep" as you claim! He made his democratic choice in pursuit of what he stands for. What makes you think his decision was wrong? If I were you I wouldn't come forward with such biased statement! However, I stand to be corrected.