CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

kwa hiyo kimsingi amekuja mtu anayejua zaidi na umeshindwa kukiri kauli yako kuhusu TLP na NCCR na sasa umeamua kuhamisha magoli. Well, vitu vingine hubadilika, na vingine havibadiliki. Na binadamu wako hivyo hivyo.

Kaishiwa hoja huyu ameshaamua kuleta vioja. Anajifanya ananijua kuliko ninavyojijua mwenyewe. His intention was to blacken my name and character and he thought I would let it go just like that. Ukweli siku zote hujitenga. Anafikiri ataficha uzushi wake kwa kuibua madai mengine.
 
Kwa hiyo hakufuata sera za CCM bali alimfuata Salim Ahmed Salim alipokosa Salim nae akaondoka, jee alikuwa na maslahi binafsi na bwana Salim, kuliko chama chenyewe?

unasema ni shabiki mkubwa wa MBOWE na si chadema kwa hiyo Mbowe akiwa si mwenyekiti atahama chama na kwenda CUF?

hapendi sera za vyama bali watu, huo nao ni mzigo wa mawazo. mimi nilisema huko nyuma kuwa kafuata helikopta Chadema na yeye hajakanusha na maneno haya ya kusema kamfuata MBOWE inazidi kunipa hamasa ya kujua kuwa KITILA ni mtu wa kufuata mkumbo sio sera za vyama.

ikitokea Salim Ahmed Salim kachaguliwa kuwa mgombea urais atarudi CCM?
watu kama kitila ndio wanaleta ugomvi kwenye vyama kwani wanatizama maslahi ya mtu mmoja badala sera za chama, KWENYE CLUB ZA MIPIRA WATU HAWA HUITWA MAKOMANDOO,akiondolewa mtu wao kwenye uongozi basi vurugu.

mtindo wao wa kufuata mkumbo unaleta makundi ndani ya vyama, ndio maana anamlaani Wangwe kuwa ni mzigo wakati anajua kuwa yeye ni shabiki wa MBOWE SI CHADEMA.
siasa zinataka uvumilivu na subira,sasa Salim mwenyewe hajahama chama,shabiki ndiye kahama chama.
kama ni mhadhiri wa chuo kikuu vipi ataburuzwa na Mbowe asiye na elimu zaidi ya O' LEVEL?

Kama nilihama chama kwa kumfuata Mbowe au la, wewe inakuhusu nini? Una haki gani ya kunichagulia sababu za kuhama chama? Wewe umefanya utafiti au kusoma tafiti za wengine kujua sababu zinazowafanya watu wajiunge na chama A na sio B? Inaonekana ilikuuma, kukukera na kukuudhi sana mimi kuhama CCM na kujiunga na CHADEMA, unaweza kutueleza ni kwa nini hasa unakuwa na uchungu namna hii?
 
Wakumbuka shuka wakati kumekucha

Yalisemwa miezi mingi nyuma kuwa Rostam kumtumia Chacha Wangwe kuibomoa
CHADEMA. Watu wakasema ni udaku. Leo CHADEMA ineshavikwa ukabila na
ubadhirifu wa ruzuku. Ni matokeo ya kikao cha RA na Wangwe Kempinsiki
Hoteli na baadaye kikao kwenye ile nyumba ya Kinondoni mitaa ya jirani
na Balozi Wa Marekani hapa Tanzania .

Rostam alivyomnunua yule aliyejiita kiongozi wa CHADEMA Igunga kutoa
tamko la kumwuunga mkono kugombea Ubunge 2010, lakini nikaweleza kwamba
baada ya hapo mkakati utakaofuata ni wa kuwatumia viongozi wa dini.
Maneno yangu yamedhihirika kwa Rostam kulitumia kan
isa la KKKT
Kinondoni. Sasa habari kutoka duru la wanamkakati wa Rostam ni kwamba
sasa atawatumia Viongozi wa Kislamu hivi karibuni na atahamia kwa watu
mashuhuri Tanzania .

Na katika mkakati wake huo amefanikiwa kuwanunua hata baadhi ya wahariri
na waandishi wa habari waandamizi katika vyombo vya habari ambavyo
vilikuwa vikimuanika zaidi vya Thisday/Kulikoni na Tanzania Daima. Na
vile vilivyokuwa katikati vya Mwananchi na Nipashe. Na ameongeza nguvu
zaidi katika vyombo anavyovitawala vya Majira na Mtanzania.

Kwa upande mwingine, ule mkakati niliousema siku nyingi wa kumtumia
Chacha Wangwe umefanyiwa marekebisho kwa kuwa malengo hayafukiwa kama
ilivyopangwa. Awali ilipangwa Chacha Wangwe atumie kikao kilichofanyika
Dodoma 28 Juni, 2008 kutoa hoja ya kutaka Kamati Kuu ipige kura ya
kutokuwa na imani na Dr Wilbroad Slaa kama Katibu Mkuu, ili akiondolewa
Slaa aondoke na Sekteratiati yake yote wakina Zitto
, Tundu Lissu,
Mnyika, Tumbo na wengineo; Mbowe abaki mwenyewe na iwe rahisi
kummalizia. Katika Mkakati huo ilipangwa kama kura za kutokuwa na imani
hazitatosha ilikuwa Chacha Wangwe atoke nje na kusema kuwa Mbowe
ametumia udikteta kuzuia hoja hiyo, na ajitokeze mbele ya umma na hoja
hizi hizi ambazo ameumua kuzitoa sasa. Angefanya kama anavyofanya sasa
lakini ujumbe wake ungekuwa ni kuwa Mbowe anamlinda Dr Slaa ambaye
ameshindwa kazi na anaruhusu ubadhirifu. Lengo la Mkakati mzima likiwa
ni Dr Slaa kupoteza imani kwa wananchi na hatimaye mjadala wa ufisadi
kuonekana hauwahusu watu 11 wa CCM aliowataja kwenye list of shame bali
hata yeye mwenyewe. Kwa bahati mbaya au nzuri, mtu mmoja wa Rostam
ambaye ni mpenzi wa Dr Slaa akatoa siri nyingi kwa Kurugenzi ya Ulinzi
na Usalama ya CHADEMA. Suala hili likaingizwa kwa Kamati ya Wazee wakina
Mtei, Profesa Baregu, Balozi Ngaiza, Makani na Ndesamburo, hata hivyo
wazee wakaamua yote yawekwe ka
ma kumbukumbu na kuamua kupatanisha hasa
baada ya Chacha kuonyesha urafiki na kujirudi.

Nyuma ya pazia Chacha akaendelea na mpango wake kwa kwenda kumng'oa Dr
Slaa Dodoma, na tayari Ballile alitumwa Dodoma na Rostam kuratibu habari
hiyo. Lakini mambo yakabadilika Dodoma pale ripoti ya Kamati ya Wazee
ilipowasilishwa Dodoma , Chacha akawageuka Wazee kuwa hakukubaliana nao
yaishe, akatoa hoja ya kumshambulia Dr Slaa; kikao kikamgeuka yeye.
Akachukia na kumtukana Baregu. Akamtukana pia Mama Chiku Abwao matusi ya
nguoni kwa kutangaza kuwa pamoja na kuwa alimuunga mkono na kumpigia
debe kuwa Makamu katika hilo hakubaliana nao. Matusi yake yakamuudhi
Tundu Lissu aliyetaka achukuliwe hatua za kinidhamu, Chacha akainuka na
kumvamia Tundu Lissu kutaka kumpiga- Board Guard wa Mwenyekiti
akapambana nae na kumzuia. Ndio maana mtakumbuka kuwa habari ya
Mtanzania iliyoandikwa kabla ya Chacha kusimamishwa, huku Ballile akijua
kuwa m
atarajio ni Slaa kusimamishwa, wakati kikao kinaendelea mpaka
usiku wa manane Ballile akaandika Habari ya Mambo ambayo alitarajia
yangetokea kikaoni lakini hayakutokea. Alitarajia pangekuwa na mjadala
mkali kuhusu hoja ya Ruzuku lakini kwa bahati mbaya suala hilo
halikujadiliwa kama ilivyotarajiwa.

Baaada ya Mkakati huo kushindwa, Rostam na Ballile wakaamua kutumia
mkakati wa "CHADEMA yamwaga Mboga, Chacha Amwage Ugali". Pamoja na
Mkakati huo kufanikiwa kuichafua CHADEMA, bado haujaweza kutimiza
malengo ya awali. Hivyo, wakabadili Mkakati na kukubaliana kwa Chacha
Atangaze Wazi kuwa lengo lake ni Kugombea Uenyekiti na Kumwondoa Mbowe
na Dr Slaa. Mkakati huo umeanza ku-back fire' kwa kuanza kuwaunganisha
waCHADEMA wote makini na hata wapenzi kwa kuanika rangi halisi za Chacha
Wangwe.

Jana kimefanyika kikao kingine, tathmini imefanyika ya jinsi Mkakati wa
kuwatumia KKKT Kinondoni ulivyofanikiwa. Kwa ujum
la imeonekana Mkakati
umefanikiwa lakini kuna hofu viongozi wa juu wa kanisa la KKKT hususani
Askofu Malasusa wanaweza kuchukia na kutoa onyo kali kwa wenzao wa
Kinondoni. Suala hili linajengwa uzito zaidi kwa jinsi ambayo Spika
Sitta amechukizwa na habari za kanisa hilo kutumika. Ili kuzuia hali
hiyo, imekubaliwa Rostam afanye kwa haraka tukio na Waislamu ili
Wakristu waone dini zote zinakubaliana nae na kumuona ni mtu msafi.

Kwa upande mwingine, sasa Rostam Aziz ameamua kubadili mkakati wa jinsi
ya kuwabomoa CHADEMA na sasa pamoja na Chacha Wangwe kukusudia kwenda
mahakamani na kukata rufaa kwenye baraza kuu, Rostam Aziz amepanga
mkakati mwingine unaoitwa "GAWA, TAWALA", chini ya mkakati huu
'mashujaa' kadhaa watalipwa kujitokeza kuwa mstari wa mbele kuungana na
Chacha, tayari Wangwe na Ballile wamepewa fungu la fedha kuingiza watu
kuunda kundi lao. Mpaka sasa katika Orodha wako Mziray, Shilembi. Lyimo,
Shilungushel
a. Chini ya azma hiyo, kikwazo kikubwa ni kukosa home base
baada ya Tarime kutoa msimamo wa wazi wa kumpinga na kueleza wazi kuwa
wao wanapokea ruzuku ya Laki Nne kila mwezi kutokana na moja ya wilaya
iliyofanya vizuri zaidi katika matokeo ya uchaguzi 2005. Baada ya Habari
hiyo ya Nipashe, Chacha Wangwe alipiga simu kuwatisha viongozi hao
lakini viongozi hao wakamweleza kuwa msimamo wao ni msimamo pia wa
madiwani wengi wa CHADEMA na Mwenyekiti wa Halmashauri(Kama Meya) wa
Tarime ikikumbukwa kuwa CHADEMA ni chama tawala huko.

Baada ya Kadhia hiyo, Rostam alimwelekeza Chacha Kufanya mapinduzi
Tarime kwa kuwaondoa viongozi hao. Bila kuchelewa Chacha Wangwe
akampigia simu Chacha Okong, yule aliyekuwa kampeni manager wake kwenye
uchaguzi mkuu 2005 ambaye pia alikuwa katibu wa wilaya aliyehama toka
CHADEMA kwenda CCM baada ya Chacha Wangwe kushindwa kuendeleza kazi za
chama na pia kuwatelekeza kabisa wapiganaji wenzake na
kukaa Dar es
salaam. Chacha Wangwe amemuahidi milioni 10 kama atarejea chama chake
cha awali cha CHADEMA na atahakikisha kuwa anarudi kwenye nafasi yake ya
Katibu wa Wilaya na kutoa kauli ya kuumuunga mkono. Fedha hizo ni chini
ya kiwango ambacho Rostam aliahidi kitolewe kwa ajili ya zoezi hilo .

Kuna mengi yanaendelea hivi sasa, na tutarajie mengine zaidi wiki hii.
Mkakati huu ni sehemu ndogo tu ya mpango kabambe wa Rostam wa
kujisafisha na kuwaita watu wengine zaidi mafisadi ili kugeuza mjadala
wa ufisadi nchini Tanzania .

...Jamaa wanakumbuka Shuka wakati Kumekucha!
 
Chacha Wangwe si Makamu Mwenyekiti-Katiba ya CHADEMA

Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA inayotumika hivi sasa toleo la mwaka 2004, Chacha Wangwe si Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kuanzia Julai 2008. Kwa mujibu wa Katiba hiyo, kifungu 6.3.5:

(a) Inasema kuwa nafasi ya kiongozi wa kuchaguliwa na mkutano mkuu taifa inaweza kuzibwa na baraza kuu. (Kwa maana ya kukaimu). ITAKUMBUKWA KWAMBA CHACHA WANGWE HAKUCHAGULIWA NA MKUTANO MKUU, ALICHAGULIWA NA BARAZA KUU KUKAIMU UMAKAMU MWENYEKITI.
(b) Inasema kwamba muda wa kukaimu nafasi hautazidi miezi sita. TOKA ALIPOCHAGULIWA MWISHONI MWA DISEMBA 2007 INAONYESHA WAZI KUANZIA MWEZI JULAI 2008 SIO KIONGOZI HALALI TENA.
(c) Kifungu hicho kinaendelea kusema kwamba kama kumebakia miezi sita au chini ya hapo kabla ya uchaguzi mkuu wa chama basi hakutafanyika uchaguzi wa kuziba pengo hilo mpaka pale uchaguzi mkuu wa kawaida utakapofanyika. KWA VILE MKUTANO MKUU WA KAWAIDA WA UCHAGUZI WA CHAMA UTAKUWA 12 DISEMBA 2008 AMBAYO NI CHINI YA MIEZI SITA.

Ni wazi Chacha alishajitangazia kuwa yeye atakuwa Makamu Mwenyekiti mpaka 2009 Mara baada ya kuchaguliwa, inaelekea alikuwa hafamu?

Mosi, Kaimu kiongozi anakaa madarakani kwa miezi sita tu kabla ya uchaguzi wa kuziba nafasi yake kufanyika.

Pili, Tayari Mkutano Mkuu wa CHADEMA mwaka 2005 ulishaazimia kwamba uchaguzi mkuu wa ndani ya chama wa kawaida ungefanyika mwaka 2008.

Uchambuzi wangu huu unamaanisha nini kwa wanasheria wa CHADEMA bwana Tundu Lissu, Mzee Makani, Mbogoro, Mustapha Akunay, Halima Mdee na Dr Slaa? Je, mimi nauona utata usioonekana kwa macho ya kawaida?

Asha
 
Dr Slaa ni mwanachama hapa Jambo.... hivyo natumaini atakuwa amekupata...... tunamsubiri.....
 
Bi Asha Abdala,
a) Inasema kuwa nafasi ya kiongozi wa kuchaguliwa na mkutano mkuu taifa inaweza kuzibwa na baraza kuu. (Kwa maana ya kukaimu). ITAKUMBUKWA KWAMBA CHACHA WANGWE HAKUCHAGULIWA NA MKUTANO MKUU, ALICHAGULIWA NA BARAZA KUU KUKAIMU UMAKAMU MWENYEKITI.

Samahani ningependa ufafanue kitu kimoja hapa kwa faida ya wasomaji...

Wangwe hakuchaguliwa na Mkutano Mkuu bali Baraza kuu, Kukaimu nafasi ya makamu mwenyekiti.. Ni nani aliyeondoka nafasi hiyo kabla ya wakati wake kwisha!
 
Aliondoka Bwana Amani Walidi Kaborou, yule jamaa aliyenunuliwa na CCM na kupewa kiti cha ubunge wa afrika mashariki kupitia chama hicho.

Mkutano Mkuu wa kumchagua ulifanyika mwaka 2003/04. Mwaka 2006 CHADEMA ilifanya mkutano mkuu lakini wakati huo kaborou alikuwepo. Aliondoka baadaye na hapakuwa na mkutano mkuu wakati huo. Mkutano mkuu mwingine utakuwa mwaka 2008 mwezi Disemba. Chacha alichaguliwa na Baraza Kuu kuwa kaimu Makamu Mwenyekiti, kikatiba kukaimu ni miezi sita tu unless kama umechaguliwa kamili na chombo chenye mamlaka ya kukuchagua.

Asha

Asha
 
Chacha Wangwe si Makamu Mwenyekiti-Katiba ya CHADEMA

Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA inayotumika hivi sasa toleo la mwaka 2004, Chacha Wangwe si Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kuanzia Julai 2008. Kwa mujibu wa Katiba hiyo, kifungu 6.3.5:

(a) Inasema kuwa nafasi ya kiongozi wa kuchaguliwa na mkutano mkuu taifa inaweza kuzibwa na baraza kuu. (Kwa maana ya kukaimu). ITAKUMBUKWA KWAMBA CHACHA WANGWE HAKUCHAGULIWA NA MKUTANO MKUU, ALICHAGULIWA NA BARAZA KUU KUKAIMU UMAKAMU MWENYEKITI.
(b) Inasema kwamba muda wa kukaimu nafasi hautazidi miezi sita. TOKA ALIPOCHAGULIWA MWISHONI MWA DISEMBA 2007 INAONYESHA WAZI KUANZIA MWEZI JULAI 2008 SIO KIONGOZI HALALI TENA.
(c) Kifungu hicho kinaendelea kusema kwamba kama kumebakia miezi sita au chini ya hapo kabla ya uchaguzi mkuu wa chama basi hakutafanyika uchaguzi wa kuziba pengo hilo mpaka pale uchaguzi mkuu wa kawaida utakapofanyika. KWA VILE MKUTANO MKUU WA KAWAIDA WA UCHAGUZI WA CHAMA UTAKUWA 12 DISEMBA 2008 AMBAYO NI CHINI YA MIEZI SITA.

Ni wazi Chacha alishajitangazia kuwa yeye atakuwa Makamu Mwenyekiti mpaka 2009 Mara baada ya kuchaguliwa, inaelekea alikuwa hafamu?

Mosi, Kaimu kiongozi anakaa madarakani kwa miezi sita tu kabla ya uchaguzi wa kuziba nafasi yake kufanyika.

Pili, Tayari Mkutano Mkuu wa CHADEMA mwaka 2005 ulishaazimia kwamba uchaguzi mkuu wa ndani ya chama wa kawaida ungefanyika mwaka 2008.

Uchambuzi wangu huu unamaanisha nini kwa wanasheria wa CHADEMA bwana Tundu Lissu, Mzee Makani, Mbogoro, Mustapha Akunay, Halima Mdee na Dr Slaa? Je, mimi nauona utata usioonekana kwa macho ya kawaida?

Asha

Naona viongozi wa CHADEMA wako kimya kuhusu hili. Leo nitawafuta kwenye simu zao kuwauliza. Kuna mwanasheria yoyote hapa au mtu yoyote atuchambulie kama mtizamo wangu uko sawa sawa?

Asha
 
asha macho yako yana makengeza labda! lakini ngoja tusubiri wakuu watavyo kutibia
 
Chacha Wangwe si Makamu Mwenyekiti-Katiba ya CHADEMA

Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA inayotumika hivi sasa toleo la mwaka 2004, Chacha Wangwe si Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kuanzia Julai 2008. Kwa mujibu wa Katiba hiyo, kifungu 6.3.5:

(a) Inasema kuwa nafasi ya kiongozi wa kuchaguliwa na mkutano mkuu taifa inaweza kuzibwa na baraza kuu. (Kwa maana ya kukaimu). ITAKUMBUKWA KWAMBA CHACHA WANGWE HAKUCHAGULIWA NA MKUTANO MKUU, ALICHAGULIWA NA BARAZA KUU KUKAIMU UMAKAMU MWENYEKITI.
(b) Inasema kwamba muda wa kukaimu nafasi hautazidi miezi sita. TOKA ALIPOCHAGULIWA MWISHONI MWA DISEMBA 2007 INAONYESHA WAZI KUANZIA MWEZI JULAI 2008 SIO KIONGOZI HALALI TENA.
(c) Kifungu hicho kinaendelea kusema kwamba kama kumebakia miezi sita au chini ya hapo kabla ya uchaguzi mkuu wa chama basi hakutafanyika uchaguzi wa kuziba pengo hilo mpaka pale uchaguzi mkuu wa kawaida utakapofanyika. KWA VILE MKUTANO MKUU WA KAWAIDA WA UCHAGUZI WA CHAMA UTAKUWA 12 DISEMBA 2008 AMBAYO NI CHINI YA MIEZI SITA.

Ni wazi Chacha alishajitangazia kuwa yeye atakuwa Makamu Mwenyekiti mpaka 2009 Mara baada ya kuchaguliwa, inaelekea alikuwa hafamu?

Mosi, Kaimu kiongozi anakaa madarakani kwa miezi sita tu kabla ya uchaguzi wa kuziba nafasi yake kufanyika.

Pili, Tayari Mkutano Mkuu wa CHADEMA mwaka 2005 ulishaazimia kwamba uchaguzi mkuu wa ndani ya chama wa kawaida ungefanyika mwaka 2008.

Uchambuzi wangu huu unamaanisha nini kwa wanasheria wa CHADEMA bwana Tundu Lissu, Mzee Makani, Mbogoro, Mustapha Akunay, Halima Mdee na Dr Slaa? Je, mimi nauona utata usioonekana kwa macho ya kawaida?

Asha

Asha,
Sasa nakubaliana na hoja ya Wangwe kuwa kuna wanaotaka tu asiwepo madarakani. Kwa hiyo zile sababu zilizotolewa na Mbowe ina maana ni za uongo kama alivyosema Wangwe maana kila kukicha mnamtafutia sababu mpya.

Sikiliza utetezi wa Lissu na wa Wangwe hapo chini uone ipi sasa inaleta picha nzuri.

Hivi Mbowe kwanini mnamuabudu kiasi hiki na kumtetea hata anapofanya madudu? Naona wewe Asha ni hilo hilo, Mwanakijiji ni hivyo hivyo n.k., n.k.

http://www.klhnews.com/index.php/podcasts/sakata-la-chadema-mahojiano-na-lissu-na-wangwe.php
 
Ushaanza kubwa Jinga

Hatumtetei Mbowe, tunatetea UKWELI, iwe umesemwa na Mbowe, Zitto, Dr Slaa, Dr Mwakyembe au Anna Killango.

Tatizo lako wewe, Chinga nk mna tatizo na Mbowe as a person. Ndio maana mnaona tuna m-treat Godly kwa kuwa tunaukataa tu uzandiki wenu

Mnataka tuhamishe mjadala toka kwa mafisadi Rostam, Chenge, Mramba nk tuanze kumchambua Mbowe.

Sasa mimi kusema katiba inasema mwisho wa Chacha Wangwe kukaimu umakamu Mwenyekiti ni Julai ishakuwa kauli ya Mbowe tena? Au unalako jambo naye?

Yani Kamati Kuu ya CHADEMA kutokuwa na imani ya Wangwe ndio imekuwa nongwa kila Mbowe, Mbowe, Mbowe!

Asha
 
Nadhani kuwa Asha anasema ukweli ambao huenda hata Chacha na Freeman nao hawakuwa wameutambua mapema; binafsi sijaisoma katiba ya CHADEMA. Kama Freeman angetambua, then asingetitisha mkutano wa kumfukuza Chacha na kumpa mwanya wa kutoa maneno yote yale, badala yake wangemwabia tu kuwa kwa mujibu wa Katiba, muda wako wa kukaimu umekwisha, asante sana kwa utumishi wako. Vile vile kama Chacha naye angejua kuwa muda wake kwenye kiti kile unahesabika, huenda angeutumia vizuri zaidi ili aweze kupata nafasi ile permanent.

Kwa vyovyote vile, yote hiyo si nzuri kwa chama chao.
 
Sikubaliani na wewe kuwa nia sio kumtetea Mbowe. Aliposema tu kuwa hamtaki Wangwe, sasa sababu lukuki tunazisikia za kwa nini Wangwe hafai. Wengine kikatiba, wengine kimatusi ili mradi tu kila mtu awe na sababu. Mbowe is trully godly worshiped by some CHADEMAs.

Mnataka tuhamishe mjadala toka kwa mafisadi Rostam, Chenge, Mramba nk tuanze kumchambua Mbowe.

Kama Mbowe ana vitimbwi vya kujadili, kwa nini visijadiliwe?? Humu tuna uwezo wa kujadili topic zaidi ya 30 kwa ziku. Leta Mbowe na EPA na zote tutajadili.

Sasa mimi kusema katiba inasema mwisho wa Chacha Wangwe kukaimu umakamu Mwenyekiti ni Julai ishakuwa kauli ya Mbowe tena? Au unalako jambo naye?

Yani Kamati Kuu ya CHADEMA kutokuwa na imani ya Wangwe ndio imekuwa nongwa kila Mbowe, Mbowe, Mbowe!

Asha

Sikiliza mahojiano ya MMJJ na Wangwe na utajua vema malamiko ya Wangwe ambayo ni genuine. Ushahidi wa ukabila ulishajadiliwa na kuonekana wazi kuwa upo ukabila, lakini Mbowe akisema NO, basi nyie wengine wote mnasema NO. Mimi ningependa kujua majina ya hao wajumbe 7 waliokataa kuachishwa kwa Wangwe. Hao watatuambia ukweli.
 
Are we loosing the track? sasa naanza kufunguka macho kuwa baada ya mkakati A kufeli upo mkakati B , nami ngoja nijiandae kutengeneza Kombora C kwa ajili ya kulipua Mkakati B.
 
Nadhani kuwa Asha anasema ukweli ambao huenda hata Chacha na Freeman nao hawakuwa wameutambua mapema; binafsi sijaisoma katiba ya CHADEMA. Kama Freeman angetambua, then asingetitisha mkutano wa kumfukuza Chacha na kumpa mwanya wa kutoa maneno yote yale, badala yake wangemwabia tu kuwa kwa mujibu wa Katiba, muda wako wa kukaimu umekwisha, asante sana kwa utumishi wako. Vile vile kama Chacha naye angejua kuwa muda wake kwenye kiti kile unahesabika, huenda angeutumia vizuri zaidi ili aweze kupata nafasi ile permanent.

Kwa vyovyote vile, yote hiyo si nzuri kwa chama chao.

Unajua Kichunguu ile kamati kuu haikuitwa kumsimamisha Wangwe. Ilikuwa na ajenda zaidi ya kumi, suala la wangwe halikuwepo kabisa. Kamati Kuu ilijadili taarifa ya fedha, mipango, taarifa ya katibu mkuu na kila kurugenzi za chama, taarifa ya halmashauri zinazoongozwa na CHADEMA, Taarifa ya wabunge wa CHADEMA, Taarifa ya hali ya nchi, Taarifa ya Wazee nk. Huyu Wangwe alisababisha mwenyewe asimamishwe kwa mawenge yake, kama asingesimamishwa angetaka aendelee hata baada ya mwezi Julai, au angetaka mkutano wa Baraza Kuu uitishwe lakini haukuwepo kwenye ratiba. Nadhani afadhali CHADEMA haijafunika matatizo ya nidhamu ya chacha kwa kusema tu muda wake wa kukaimu umekwisha, imemchukulia hatua za kimaadili, imeonyesha mfano katika kuchukua hatua kuliko CCM wanaolindana.

Asha
 
Are we loosing the track? sasa naanza kufunguka macho kuwa baada ya mkakati A kufeli upo mkakati B , nami ngoja nijiandae kutengeneza Kombora C kwa ajili ya kulipua Mkakati B.

kumbe hii mambo yote ni ya kutengeneza!!!!!!!!!!!!!!Yesu na Maria, Muogopeni Mungu mtupe ukweli sio kutengeneza makombora kukomoana wenyewe kwa wenyewe.
 
Are we loosing the track? sasa naanza kufunguka macho kuwa baada ya mkakati A kufeli upo mkakati B , nami ngoja nijiandae kutengeneza Kombora C kwa ajili ya kulipua Mkakati B.

Unamaanisha nini jamani?

Hivi nani alikuwepo kwenye kikao cha Baraza Kuu kilichomchagua Wangwe? Labda kulipitishwa Azimio kwamba pamoja na kuwa kukaimu ni miezi sita kwa kuwa uchaguzi ulipangwa mwezi Disemba 2008 basi Chacha Wangwe iliamuliwa akaimu kwa mwaka mmoja. Sijui kwa kweli, labda viongozi wa CHADEMA watatueleza kilichojiri lakini mimi nikiisioma katiba naona kisichoonekanana na wengine.

Mpaka Kieleweke, naona maneno yangu yamekukuroga akili kabisa; kwani wewe ulikuwa hujaiona hiyo kwenye KATIBA? Ndio siasa na uongozi. Hebu waulize viongozi wa CHADEMA maana mimi nimemtafuta Slaa simuni simpati na Zitto simu yake haipatikani pia

Asha
 
Are we loosing the track? sasa naanza kufunguka macho kuwa baada ya mkakati A kufeli upo mkakati B , nami ngoja nijiandae kutengeneza Kombora C kwa ajili ya kulipua Mkakati B.

Unamaanisha kwamba Rostam na Wangwe wana mkakati A,B? Sasa hilo kombora C ndio nini jamani? Hebu kieleweke jamani

Asha
 
Nadhani kuwa Asha anasema ukweli ambao huenda hata Chacha na Freeman nao hawakuwa wameutambua mapema; binafsi sijaisoma katiba ya CHADEMA. Kama Freeman angetambua, then asingetitisha mkutano wa kumfukuza Chacha na kumpa mwanya wa kutoa maneno yote yale, badala yake wangemwabia tu kuwa kwa mujibu wa Katiba, muda wako wa kukaimu umekwisha, asante sana kwa utumishi wako. Vile vile kama Chacha naye angejua kuwa muda wake kwenye kiti kile unahesabika, huenda angeutumia vizuri zaidi ili aweze kupata nafasi ile permanent.

Kwa vyovyote vile, yote hiyo si nzuri kwa chama chao.

Huu ni ushahidi tosha kuwa hakukuwa na mkakati wowote wa viongozi wa CHADEMA wa kumuundoa Wangwe, kama ungekuwepo ni wazi ingetumika njia hii ya kutangaza muda wake wa kukaimu umekwisha. Naamini watu mahiri wa Katiba kama Dr Slaa na Tundu Lissu waliyajua yote haya. Inaonekana kwamba kila mmoja alitaka Chacha Wangwe aendelee, sasa yeye mwenyewe akavunja maadili ya Chama na ikabidi achukuliwe hatua za kinidhamu kabla ya muda wake kuisha mwezi Julai. Kikao cha Kamati Kuu kilikuwa ni kikao cha Kawaida cha Mwezi Juni kwa mujibu wa ratiba

Asha
 
Back
Top Bottom