Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 46
haya mama chadema.....but ushauri wa bure fanyeni suluhu ya migogoro ndani ya chadema ....usitumie nguvu nyingi kufunika moto utaungua buree..
Kama nilihama chama kwa kumfuata Mbowe au la, wewe inakuhusu nini? Una haki gani ya kunichagulia sababu za kuhama chama? Wewe umefanya utafiti au kusoma tafiti za wengine kujua sababu zinazowafanya watu wajiunge na chama A na sio B? Inaonekana ilikuuma, kukukera na kukuudhi sana mimi kuhama CCM na kujiunga na CHADEMA, unaweza kutueleza ni kwa nini hasa unakuwa na uchungu namna hii?
Watu gani hao? amesema Zito Kabwe, au sheikh Mtopea ambaye walikuwa wakizuunguka wote NCCR kumfagilia Mrema, amesema Ngawaiya ambaye alimuweka Kitila kama karani wake walipokuwa NCCR.Jamani mbona mnamuonea Kitila wangu? Watu hapa wameeleza kuwa hajawahi kuwa TLP na yeye mwenyewe amethibitisha hilo jamani? Mmeshindwa kujibu hoja sasa mnaanza kumshambulia Kitila?
Asha
Atarudi kwa nguvu ya wanachama sio kikundi cha wazee wa KILIMANJARO na mkwe wao.Great! Maana wengine hapa wanadhani Chacha amefukuzwa bila kufuata taratibu kumbe ukweli ni kuwa amesimamishwa tu kwa kufuata katiba ya CHADEMA kifungu 6.3.6(f)
Asha
Anna Komu watoto wake wachagga na mume wake.JE CHADEMA ITASALIMIKA......! KAMA KUNA WAO......(wachaga) NA SISI ....(makabila mengine)....! DHAMBI HII IKISHAKUWALA BADO ITAENDELEA NA KWA.....!
tik...tak....tik...tak...!
nani atakuwa na uchungu na debe tupu? ulililia sana uongozi CCM, wakakujua kuwa huna uvumilivu wa kisiasa ukatupwa nje, CCM walijua wewe ni .... wa kisiasa ndio maana wakaona wasikupe uenyekiti wa mkoa wa Dar-es-salaam.
kama unajiona mahiri ingia 2010 uone kama utapata kura hata mia 500, na ikitokea 2010 hakuna helikopta basi utahama chama na kwenda NLD kwani vyama vyote umemaliza.
Chacha amepiga hesabu mbaya sana safari hii na huu ndio nadhani ndio mwisho ambao hakuutarajia. Ndio maana ushauri wangu ni kuwa yeye na Mbowe wakutane kwa faragha wapigane, watukanane, wazodoane na wakimaliza watoke na tamko la pamoja na msimamo mmoja Vinginevyo watengane.
Kama mafahari wawili hawawezi kukaa zizi moja, wote wanahamishwa au mmoja anaondolewa.
Mwanakijiji,
Nimesoma hizo tuhuma za Wangwe, pia nilisoma tuhuma zilizokuwa zimesainiwa na Mbowe.
Dawa pekee hapa ni kwa hawa wakubwa wawili kurudi kwenye mkutano mkuu wa CHADEMA na kuomba kura tena.
Mbali ya tuhuma mbalimbali, lakini pia Wangwe anaongelea kukiukwa kwa katiba. Sijaona mahali popote ambapo CHADEMA wamelijibu hilo.
Binafsi labda niko too critical kwasababu toka nianze kusoma mambo ya CHADEMA sijawahi kumwona Mbowe kama credible leader kwenye masuala ya maslahi ya Mtanzania wa kawaida. Anaweza kuwa mpiganaji mzuri lakini mimi siamini Mbowe ni clean.
I hope CHADEMA watagundua mapema kwamba chama kinahitaji kiongozi imara ambaye ataonekana machoni mwa watanzania wengi kwamba ni credible na sio anasema anachokisema kwasababu tu yuko upinzani.
Bahati mbaya viongozi wengi wa CHADEMA ambao wangeweza kumvaa Mbowe kwenye uchaguzi wa chama wanaogopa kwasababu ya resources alizo nazo.
Itakuwa ngumu sana kwa Mbowe kuiongoza CHADEMA kwenye ushindi wa majimbo mengi na kura nyingi za urais. CCM watafurahi mara kumi kupambana na Mbowe kwenye urais kuliko kama wangepambana na mtu kama Dr. Slaa.

Mtanzania
Unaweza kusema ni vipengele vipi vya katiba ya CHADEMA vimekiukwa na kwa hoja zipi?
Kumbe ndugu yangu uko critical kwenye hii ishu ya Wangwe kwa sababu ya preconceived position yako kuhusu Mbowe?
Sasa mvue Mbowe pembeni, kumbuka Dr Slaa ndiye SG wa CHADEMA na alibariki Wangwe kusimamishwa.
Hebu fanya uchambuzi mpya wa Wangwe Vs CHADEMA maana baada ya kusimamishwa kwake wewe ni moja kati ya waliokuwa mstari wa mbele kupindukia upande wa kumtetea Wangwe hapa na kuiponda CHADEMA.
Je, bado unadhani hoja zako zote ulizotoa toka tarehe 29 Juni mpaka leo kuhusu Chacha Wangwe hapa ziko kama ulivyozisema ama kuna hoja ungependa uzitolee hoja mbadala?
Maanake some arguments are usually built under certain premises, when such underlying facts change, we are free to change the arguments
Asha
Mgagagigikoko,
Mbona ulichoandika hapo juu ni kama personal attacks kwa bwana Kitila? Ingefaa ukajadili hoja zake badala ya kumshambulia yeye binafsi.
Namfahamu Kitila kiasi na ni muungwana sana, naona hastahili kabisa mashambulizi ya namna hii.
Ombi tu, kama inawezekana tujadili hoja iliyopo mbele yetu bila kukashifiana.
CHADEMA wampe uenyekiti na mgombea Urais Mwl Kitila Mkumbo
Ila kwa vile siku ya mbwa kufa pua zote huziba ama sikio la kufa halisikii dawa watamuacha mdhamini wao mkuu.
Asha,
Katiba kuna hilo la kumpa mtu siku 21 ili aandae utetezi kabla ya kumtimua. Sijasoma popote CHADEMA wakielezea.
sa.
Asha,
.....Mimi si muumini wa kufukuzana, in fact nimeshaandika mara nyingi kwamba viongozi imara huwa hawafukuzi watu, ni viongozi weak ambao wanaona positions zao ziko matatani ndio huwa wanakimbilia hizo hatua za ajabu ajabu za kufukuzana...
Kama muongozo(katiba) unasema mwanachama atafukuzwa kwa kosa la ngazi hii, sidhani kama kuna uhusiano wa kiongozi imara au dhaifu. Sana sana kiongozo atakayekiuka katiba ataonekana ni mbabe.
Kama muongozo(katiba) unasema mwanachama atafukuzwa kwa kosa la ngazi hii, sidhani kama kuna uhusiano wa kiongozi imara au dhaifu. Sana sana kiongozo atakayekiuka katiba ataonekana ni mbabe.