Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.