CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

Mifumo iliyotulea na kutukuza ni ile ile. Jamii ni ile ile. Elimu na falsafa zetu ni zile zile. Upigaji ni ule ule. Zingine zote ni mbwembwe tu za kisiasa zinazochochewa na matakwa binafsi, ego na ulaji.

#KamweUsimwaminiMwanasiasa
💯 exactly

Ova
 
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.

View attachment 2112548
Hawa ndio wanataka wakabidhiwe Nchi 😄😄😄😄
 
Mifumo iliyotulea na kutukuza ni ile ile. Jamii ni ile ile. Elimu na falsafa zetu ni zile zile. Upigaji ni ule ule. Zingine zote ni mbwembwe tu za kisiasa zinazochochewa na matakwa binafsi, ego na ulaji.

#KamweUsimwaminiMwanasiasa
Ndio maana unawaona wakipata ulaji Wana defect kwenda CCM 😁😁
 
Watu ni wapinzani kwa sababu za njaa,wakipata wanafanya Yale Yale.

Kwa mantiki hiyo ni mjinga pekee ndio anaweza amini eti kuitoa ccm na kuweka chadomo ndio maisha yake yatabadilika.

Huyu hapa Rais wa Malawi aliyekuwa mpinzani sasa anapendelea ndugu na watoto wake kwenye madaraka.👇

Screenshot_20220208-103920.png
 
Kwa Makambako wamedanganya.. Hio hela ni kubwa sana..
 
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.

View attachment 2112548
Rev. Msigwa anasemaje
 
Weka na hizo ofisi nyingine basii?
Au ndiyo taarifa za kimichongo?
Huoni Neno ofisi zao?maana yake ni ofisi nyingi
 
Sasa ndani ya Chadema watu wanajipigia Hela, hii nyumba ya milioni 80, hapa bado hawajakamata nchiScreenshot_20220208-175956.jpg
Screenshot_20220208-175956.jpg
 
CDM kwa Sasa haina uongozi,inaenda kama popo
 
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.

View attachment 2112548
Wewe inakuhusu Nini? Ni jengo letu na tumechangia sisi, wewe shida Yako Nini? Mnafiki wewe
 
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.

View attachment 2112548
Hata mia hujachangia we Lumumba kamsaidie kwanza Bashite mkono wa chuma unamtafuta
 
Mimi Chadema, lakini napinga wizi, nashauri tubadilo katiba yetu, Ina mapungufu maana tumekomaa na katiba ya nchi tunaacha mambo mazito
Kuna muda huwa nachukia sana mambo ya kipumbavu haya unayofanya hapa hilo jengo linajengwa kwa michango ya watu wa makambako ww upo shinynga unasema ni wizi umeshafika hapo ukaomba mchanganuo wa matumizi ili ujiridhishe?
 
Back
Top Bottom