mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
💯 exactlyMifumo iliyotulea na kutukuza ni ile ile. Jamii ni ile ile. Elimu na falsafa zetu ni zile zile. Upigaji ni ule ule. Zingine zote ni mbwembwe tu za kisiasa zinazochochewa na matakwa binafsi, ego na ulaji.
#KamweUsimwaminiMwanasiasa
Ova
