Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena https://t.co/mjjqVrp94RView attachment 2112548
Mimi inanihusu?Hii ilikuchafua au haikukuchafua?🐒🐒🐒
View attachment 2112570
wanaibiana wenyewe kwa wenyeweNyumba hiyo iwe na gharama ya TZS 80Mn!? Sidhani, labda sababu iwe ni kutaka kuonyesha majigambo kwa mtani.
da yaani chadema sijui wataacha lini wizi hapo milioni 120 zinatumika kufanya nini? lakini ni kawaidayao mbowe alikula milioni mia moja alipewa na sabodo kujenga ofisi ya chama matokeo yake mpaka sasa hawana ofisi nzuri makao makuu
Wewe umechangia kiasi ganiMwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548
Ndio mil 80?
Wamechanga wao wamefyatua wao wamejenga wao wewe unakuja kulaumu mtandaoni, hata wangesema mil 150 sawa tu hawadaiwi na mtu.Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548
Sahihi, kiwanja wamepata bure au wamenunua?Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548
Rais wa nchi anapotangazia viongozi wenzake kuwa fedha za walipa kodi zitafunwe,wewe kama mlipa kodi haikuhusu?Mimi inanihusu?
Umesahau nilivyopiga kelele kumpinga huyu chairman wa Ccm?Rais wa nchi anapotangazia viongozi wenzake kuwa fedha za walipa kodi zitafunwe,wewe kama mlipa kodi haikuhusu?
Mifumo iliyotulea na kutukuza ni ile ile. Jamii ni ile ile. Elimu na falsafa zetu ni zile zile. Upigaji ni ule ule. Zingine zote ni mbwembwe tu za kisiasa zinazochochewa na matakwa binafsi, ego na ulaji.Upigaji wabongo ni asili yetu
Ova
Kwa hapa picha yake inaonekana vizuri, kwa ukubwa huu nakubaliana kabisa na gharama yake [emoji123][emoji123][emoji3577][emoji3577]
Ulishusha uzi kama ulivyoshusha uzi hapa?Umesahau nilivyopiga kelele kumpinga huyu chairman wa Ccm?