CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

mleta uzi utakuwa mpangaji wewe, kwa taarifa yako chini ya serikali ya SSH milioni 80 ni pesa kiduchu sana kwa ujenzi wa jengo kwa kama hilo, unajua bei ya nondo, cement, mchanga, fundi kwa rates za sasa hivi??
 
Umechangia kiasi gani kwenye ujenzi huo we kima mpaka ulalamike.
Amesema ujenzi.
Acha uzwazwa wewe. Umeona wapi gharama za kiwanja kujumuishwa kwenye ujenzi?

Tunaanza kuwamulika majizi wakubwa nyie
 
Kwani mleta Uzi Bado yupo au ameomba kwenda uani baada ushahidi kuwekwa hapa?
 
Weka tume huru mpuuzi wewe
Tatizo sio tume huru tu mkuu, ishu ni aina ya fikira na mtazamo wa watu ambao tanatamani wawe chama mbadala ,
Unavyojibu hoja hututegemei ujibu tofauti utakopewa uongozi

Watanzania wakiamua kuweka chama kingine wanaweza,
na ndo tamanio la wengi kuwa na vyama vyakubadilishana uongozi kwa ushindani bora ili kasi ya maendeleo

Lakini bado kuna wasiwasi kama watapata mbadala au itakua afadhali ya kilichokuwepo
So kuna kazi ya kufanya ili kupata chama mbadala imara na bora zaidi ya kilichopo
Haswa kwenye kujibu hoja, fikra na mitaxamo
Lazima kuonyesha uwezo tofouti
 
Wachaga ni wezi sana, wameiba Hela wamepeleka Moshi
 
Baki CCM huna hoja
 
Hata wangesema milion Mia tano, pesa wametafuta wao, ujenzi wamefanya wao, nguvu kazi wameweka wao, hujachangishwa, si ruzuku, wao ndiyo wanajua hela wametoa wapi. Wao ndiyo wanajua wanataka jengo lionekane vp.

Pengine hayo ni makadirio pamoja na samani za ofisi, huko. Nk Pamoja na mazingira ya nje.
 
Pumbaf wewe lumumba mchawi wa wapinzani .
 
Kwani ukisema huelewi lolote utapungukiwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…