Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kale ka mchezo utaacha lini? Kamchezo ka kujinyea.Uzi wa mataga wa kujitekenya na kujichekesha wenyewe.
Amesema ujenzi.
Acha uzwazwa wewe. Umeona wapi gharama za kiwanja kujumuishwa kwenye ujenzi?
Tunaanza kuwamulika majizi wakubwa nyie
Ndugu angalia usijeingia kundi la wanafikiAibu yetu hii.
Tatizo sio tume huru tu mkuu, ishu ni aina ya fikira na mtazamo wa watu ambao tanatamani wawe chama mbadala ,Weka tume huru mpuuzi wewe
Kweli eeeh?Upigaji wabongo ni asili yetu
Ova
Baki CCM huna hojaTatizo sio tume huru tu mkuu, ishu ni aina ya fikira na mtazamo wa watu ambao tanatamani wawe chama mbadala ,
Unavyojibu hoja hututegemei ujibu tofauti utakopewa uongozi
Watanzania wakiamua kuweka chama kingine wanaweza,
na ndo tamanio la wengi kuwa na vyama vyakubadilishana uongozi kwa ushindani bora ili kasi ya maendeleo
Lakini bado kuna wasiwasi kama watapata mbadala au itakua afadhali ya kilichokuwepo
So kuna kazi ya kufanya ili kupata chama mbadala imara na bora zaidi ya kilichopo
Haswa kwenye kujibu hoja, fikra na mitaxamo
Lazima kuonyesha uwezo tofouti
Pumbaf wewe lumumba mchawi wa wapinzani .Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548
Hli nyumba ni kubwa siyo kama mleta mada alivyoileta picha ya mbele tu, naona kuna zaidi ya jengo moja.
Asante sana. Tunaomba mchoro wa jengo hilo tufanye tathmini!
Kumbe mleta mada hajaleta picha za pande zote