Bhaghosha
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 234
- 183
Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA ya hivi karibuni na hata huko nyuma na kuona kuwa imekuwa ni ya kelimisha zaidi na siyo kuhamasisha. Tatizo lake huishia hapo kwenye mikutano kwa kiasi kikubwa kwa sababu wanainchi wengi wanajua hakuna ambacho kinaweza kuitoa madarakani CCM. Kwani wapige kura kuipinga au la itabakia tuu.
Nini kifanyike, achaneni na hizi slogans za +255 au sijue M4C nakadhalika, kwani kwa akili ya kawaida tu, hizi zinawafurahisha wanaoziunda zaidi lakini hazi -make sense kwa mwanakijiji kabisa. Anzeni na kampeni za kulenga kutia mori wasikilzaji wenu, ili muunde jeshi lakuitikisa CCM. mikutano yenu haiachi mori badala yake inawafanya wasikilizaji wafarijike na maelezo yenu mareeefu. Lakini hazijengi militancy. Mnakumbuka SAA YA UKOMBOZI NI SASA ya Mtikila na Magabacholi. Watu walitoka jangwani wakapiga magari ya wahindi, bila kuamriwa wawapige. Mikutano yake ilikuwa inawajaza watu hasira kutokana na hoja zake.
Mbona, mifano ya kuwafanya wanainchi wapande mori ni mingi tu? Magari ya kifahari - wanainchi na Boda Boda. wanatibiwa nje wanainchi hakuna hospitali, raisi mstaafu, mke ni mbunge, mtoto ni waziri; Dhahabu na mashimo yanayobaki nk nk nk. Kwanini hamtumii hii kuwafanya wanainchi wakereke na wewe tayari, wajikute wanaenda mtaani bila hata ya kuambiwa na mtu?
Si mlimsikia Mchengerwa juzi? hakuwa anamung'unya maneno. Kwa nini nyinyi mnakuja na slogans laini laini zisizo na mantiki yoyote kwa mwananchi wa kawaida. Jipangeni upya.