instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Kwani waliomba kushiriki? Au wazungu ndio waliopendekeza?Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.
Licha ya chadema kushinda kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli
Hata Mimi nilijua tu Ile tuzo hamuwezi kushinda mmezidi mno UTAPELI.
Mmechangisha watu hela kwaajili ya mkutano mkuu ... matokeo yake Hela zimeliwa na mkutano mkuu haujafanyika anyway ngoja niache.
Waliomba kushirikiKwani waliomba kushiriki? Au wazungu ndio waliopendekeza?
Waliomba kushirikiKwani waliomba kushiriki? Au wazungu ndio waliopendekeza?
Kinachoniuma mama yetu mpendwa Sami nguli wa demokrasia nchini hakuingia hata kwenye kumi boraHii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.
Licha ya chadema kushinda kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli.
Sababu iliyowanyima tuzo chadema ni kuendekeza dysfunctional politics Africa.
Hata Mimi nilijua tu Ile tuzo hamuwezi kushinda mmezidi mno UTAPELI.
Mmechangisha watu hela kwaajili ya mkutano mkuu ... matokeo yake Hela zimeliwa na mkutano mkuu haujafanyika anyway ngoja niache.
Alijipendekeza tu Wala hawakumtaka agombeeLissu ni mshindi,kufikia hatua kuwania tuzo na taasisi kubwa kama ICC,ni heshima kubwa kwake na Kwa taifa kwa ujumla!
Ni sawa na Taifa stars ifike fainili dhidi ya Spain,itolewe!
Huo bado ni ushindi!
Kuna mwingine katuletea tuzo ya "Tyrant of the year"!
Wewe ni mwalimu takataka.Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.
Licha ya chadema kushinda kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli.
Sababu iliyowanyima tuzo chadema ni kuendekeza dysfunctional politics Africa.
Hata Mimi nilijua tu Ile tuzo hamuwezi kushinda mmezidi mno UTAPELI.
Mmechangisha watu hela kwaajili ya mkutano mkuu ... matokeo yake Hela zimeliwa na mkutano mkuu haujafanyika anyway ngoja niache.
Duuuh,watu mna wivu sana!Mtu yuko gerezani wakati anapendekezwa na kuingizwa kwenye mchakato wa kuwania tuzo!Alijipendekeza tu Wala hawakumtaka agombee
Nilikiwa naongea na beberu zoom meeting ndo nikaambiwa chadema walijipenyeza tu hawakualikwaWewe ni mwalimu takataka.
Ni wapi uliona CHADEMA wamewekwa kugombea hiyo tuzo!!?
Kuna ndugu Manyanza ameweka uzi https://www.jamiiforums.com/threads...a-uhuru-wa-mawazo-2026.2486141/#post-57095098 tangu saa saba mchana wa leo, hujauona au ndio uzwazwa!!???
we utakua wa kike🌈🌈🌈Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.
Licha ya chadema kushinda kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli.
Sababu iliyowanyima tuzo chadema ni kuendekeza dysfunctional politics Africa.
Hata Mimi nilijua tu Ile tuzo hamuwezi kushinda mmezidi mno UTAPELI.
Mmechangisha watu hela kwaajili ya mkutano mkuu ... matokeo yake Hela zimeliwa na mkutano mkuu haujafanyika anyway ngoja niache.
Viongozi wa chadema ndo walikuwa wanakesha kwenye email za speaker wa bunge la UlayaDuuuh,watu mna wivu sana!Mtu yuko gerezani wakati anapendekezwa na kuingizwa kwenye mchakato wa kuwania tuzo!
Huo wivu na chuki kwa Lissu unatoka wapi?
Nyie ndo mnashindana kwenye mashindani ya upindewe utakua wa kike🌈🌈🌈
Kwenye list ya walioshindanishwa Lissu hayumo ni AI,jitahidi kumkongole lisu baba ako kijiji hata kwenye sifa yakuwa mzee mashuhuri hayumo
Lisu anashindanishwa na taasisi kama ICC harafu hapa unaleta uharowako
Si umesema alijipendekeza?Lissu kaingia top 3 ya hizo tuzo kwa mwaka huu!Ni heshima kubwa kwake na Kwa taifa kwa ujumla!Viongozi wa chadema ndo walikuwa wanakesha kwenye email za speaker wa bunge la Ulaya
AI?Kweli Kuna watu Lissu anawapa pressure sana!Kwenye list ya walioshindanishwa Lissu hayumo ni AI,
USIFANANISHE MZEE WANGU NA TAKATAKA LA UFIPA
Eti heshima kubwa 🤣Si umesema alijipendekeza?Lissu kaingia top 3 ya hizo tuzo kwa mwaka huu!Ni heshima kubwa kwake na Kwa taifa kwa ujumla!
Ikumbukwe, nominees ni kutoka duniani kote!Yaani dunia yote,Lissu kaingia top 3!
Amazing!!!
CHADEMA CHADEMA CHADEMAHii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.