Chadema mbona hamueleweki? Alipokuwepo kiongozi aliyepambana na ufisadi mlimchukia. Huyu wa sasa mnasema ni mwizi

Chadema mbona hamueleweki? Alipokuwepo kiongozi aliyepambana na ufisadi mlimchukia. Huyu wa sasa mnasema ni mwizi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Ameandika Patrick John Asenga, Kada wa Chadema kwenye Mtandao wa Twitter

“Huu ndio ukweli..... Kimsingi hakuna jina lingine unaloweza kuiita SEREKALI hii ya CCM chini ya Rais Samia zaidi ya kuiita ni SEREKALI ya MAJAMBAZI, MAJIZI, kutokana na Ripoti za CAG za kila mwaka. Hongereni nipashe kwa uthubuthu huu wa kuandika hivi”

IMG_6641.jpeg
 
Alidhibiti upigaji wenu

Hakuna udhibiti wowote alifanya, na miaka yote alipokuwa madarakani ripoti ya CAG ilikuwa na Madudu. Kibaya zaidi 1.5t zetu zilipotangazwa kuzipiga akageuka mbogo, hadi akahakikisha CAG anatolewa kwa mizengwe. Dhalimu alizuia uhuru wa vyombo vya habari, ili aonekane kama alikuwa kiongozi mzuri kwa kutangazwa aliyopenda tu.
 
Nganjengwa Kaboyoka wa Chadema alitoa majibu kuwa hakuna tril 1.5 iliyoibiwa. Pia hansard za Bunge la JMT
 
Hansard za bunge gani, huo upuuzi uliokuwa unaendelea huko bungeni wakati wa dhalimu ndio unaniambia Hansard. Au unadhani kila mtu anaamini huo upuuzi uitwao hansard?
Kamati ya bunge ilifuatilia na kutupa majibu. Kwq hiyo walihongwa?
 
Unajitoa ufahamu kama Zuzu vile. Chedema walimchukia Magufuli Kwa uuaji na kubambikia wapinzani kesi. Kuna mpinzani alikamatwa Kwa ufisadi zaidi ya kusingiziwa uchochezi? Walipomwambia ukweli serikali yake inapiga hela huku imejificha kwenye kichaka cha ukali wakaishia jela na wengine kupigwa risasi SAA 7 mchana.
 
Back
Top Bottom