Hivi nyie Nyumbu, Ripoti inayojadiliwa Bungeni sasa ni ya Magufuli!! Kumbe asali inalevyaWanajisahaulisha. Mtu anapingaje ufisadi huku akikanusha ripoti ya ukaguzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nyie Nyumbu, Ripoti inayojadiliwa Bungeni sasa ni ya Magufuli!! Kumbe asali inalevyaWanajisahaulisha. Mtu anapingaje ufisadi huku akikanusha ripoti ya ukaguzi?
Weka hoja kejeli hazikusaidii ili uonekane umekoment!!Nyumbu huchukia tu bila sababu za msingi. Kwahiyo walimchukia tu
Yaani Chadema walidhibitiwa kupiga Nini wakati hawana serikali?Alidhibiti upigaji wenu
Wakusanya Kodi ni CCM Sasa kumdhibiti Lissu Kunapunguza vipi ufisadi? Kuna waTanzania ni wajinga sana.Unafumba macho na kujitoa fahamu.
Hasa wafuasi wa Magufuli ni ndezi kweli kweliWakusanya Kodi ni CCM Sasa kumdhibiti Lissu Kunapunguza vipi ufisadi? Kuna waTanzania ni wajinga sana.