Chadema mbona hamueleweki? Alipokuwepo kiongozi aliyepambana na ufisadi mlimchukia. Huyu wa sasa mnasema ni mwizi

Chadema mbona hamueleweki? Alipokuwepo kiongozi aliyepambana na ufisadi mlimchukia. Huyu wa sasa mnasema ni mwizi

Gazeti la Nipashe ni mali ya Chadema ? halafu kama Nagufuli alikuwa Muadilifu kwanini alitaka Kumteka Mussa Assad ?
 
Alidhibiti upigaji wenu
Huku ndio kudhibiti upigaji ?

FB_IMG_1665831491154.jpg
 
Back
Top Bottom