Chadema mbona hamueleweki? Alipokuwepo kiongozi aliyepambana na ufisadi mlimchukia. Huyu wa sasa mnasema ni mwizi

Chadema mbona hamueleweki? Alipokuwepo kiongozi aliyepambana na ufisadi mlimchukia. Huyu wa sasa mnasema ni mwizi

Nganjengwa Kaboyoka wa Chadema alitoa majibu kuwa hakuna tril 1.5 iliyoibiwa. Pia hansard za Bunge la JMT

Acha uongo, yule alikuwa fisadi Kama wengine. Seema aliwatisha watu wasimfatilie. CAG kasema 1.5 Trilioni imepotea, wewe nani wa kumpinga. Halafu polepole alikuwa anatupigia hesabu za Nini kwenye hiyo Trilioni 1.5 channel ten?
 
Mimi naomba hao chura wa kihansi warudishwe, Nina jitolea kuwatunza kwa milioni 10,, tu kwa mwaka
 
Ameandika Patrick John Asenga, Kada wa Chadema kwenye Mtandao wa Twitter

“Huu ndio ukweli..... Kimsingi hakuna jina lingine unaloweza kuiita SEREKALI hii ya CCM chini ya Rais Samia zaidi ya kuiita ni SEREKALI ya MAJAMBAZI, MAJIZI, kutokana na Ripoti za CAG za kila mwaka. Hongereni nipashe kwa uthubuthu huu wa kuandika hivi”

View attachment 2579301
Magufuli alipambana na ufisadi kivipi wakati CAG Assad alivyoibua ufisadi wa serikali alimtimua kazi na nyie wapambe wa kambale mkatukana Mzee Assad kila aina la tusi??

Pesa za plea bargaining zimetoroshewa China na magufuli na vijibwa vyake leo praise team mnasema eti alikua anapinga ufisadi 😂😂😂
 
Hakuna udhibiti wowote alifanya, na miaka yote alipokuwa madarakani ripoti ya CAG ilikuwa na Madudu. Kibaya zaidi 1.5t zetu zilipotangazwa kuzipiga akageuka mbogo, hadi akahakikisha CAG anatolewa kwa mizengwe. Dhalimu alizuia uhuru wa vyombo vya habari, ili aonekane kama alikuwa kiongozi mzuri kwa kutangazwa aliyopenda tu.
Na ndiyo wakati nilimpuuza sana huyu boya

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tindo, watanzania leo hii wanamkumbuka huyo unayedai ni Dhalimu
Wanamkumbuka kwa udhalimu wake
IMG-20230406-WA0001.jpg
1679652251550.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom