CDM walimchukia JPM yaezekana but ungeainisha walimchukia kwa mamb gan ili jukwaa litambue!!
Hatuangalii sura ya mtu hata angekuwa Mbowe ndiye Rais akiharibu tunamnyookea, nafikiri hii tabia ya kuoneana haya iko huko CCM tu ndiyo maana mnalea ufisadi miaka yote.
Tafadhali tumia akili kujibu swali langu! Acha braaaaa braaaa, nahitaji kujua walimchukia kwa mamb gan yaweke hapa kwa evidence!!Alidhibiti upigaji wenu
Raha ya bongo itaandikwa kwenye gazeti mwisho wa siku hakuna hatua yoyote, sisi hao insta tunacheck kiki tu za wasanii
Yeye si ndiye alimuwakia CAG Assad aliboibua upotevu wa 1.5 Trillion.
Nje ya mada,wewe unamuota Mbowe tu kakufanya nini hata humsahau?Mbowe naye kajitumbukiza Serikalini kila siku Kiguu na Njia Ikulu
Alidhibiti upigaji wenu
Nganjengwa Kaboyoka wa Chadema alitoa majibu kuwa hakuna tril 1.5 iliyoibiwa. Pia hansard za Bunge la JMTHakuna udhibiti wowote alifanya, na miaka yote alipokuwa madarakani ripoti ya CAG ilikuwa na Madudu. Kibaya zaidi 1.5t zetu zilipotangazwa kuzipiga akageuka mbogo, hadi akahakikisha CAG anatolewa kwa mizengwe. Dhalimu alizuia uhuru wa vyombo vya habari, ili aonekane kama alikuwa kiongozi mzuri kwa kutangazwa aliyopenda tu.
Wapi mwanamchi , Raia mwema au tiari wana bahasha zao kutoka kwa makamba na nape
Nganjengwa Kaboyoka wa Chadema alitoa majibu kuwa hakuna tril 1.5 iliyoibiwa. Pia hansard za Bunge la JMT
Kamati ya bunge ilifuatilia na kutupa majibu. Kwq hiyo walihongwa?Hansard za bunge gani, huo upuuzi uliokuwa unaendelea huko bungeni wakati wa dhalimu ndio unaniambia Hansard. Au unadhani kila mtu anaamini huo upuuzi uitwao hansard?
Mkisema ni Serikal ya Wezi mjue na Mwenyekiti wenu ni mwizi, anafata nini Ikulu?Nje ya mada,wewe unamuota Mbowe tu kakufanya nini hata humsahau?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Unamaanisha Magufuli alikuwa anapambana na ufisadi?😂😂
Wakilambishwa asali nao watatulia
Unajitoa ufahamu kama Zuzu vile. Chedema walimchukia Magufuli Kwa uuaji na kubambikia wapinzani kesi. Kuna mpinzani alikamatwa Kwa ufisadi zaidi ya kusingiziwa uchochezi? Walipomwambia ukweli serikali yake inapiga hela huku imejificha kwenye kichaka cha ukali wakaishia jela na wengine kupigwa risasi SAA 7 mchana.