Chadema mbona hamueleweki? Alipokuwepo kiongozi aliyepambana na ufisadi mlimchukia. Huyu wa sasa mnasema ni mwizi

Nganjengwa Kaboyoka wa Chadema alitoa majibu kuwa hakuna tril 1.5 iliyoibiwa. Pia hansard za Bunge la JMT

Acha uongo, yule alikuwa fisadi Kama wengine. Seema aliwatisha watu wasimfatilie. CAG kasema 1.5 Trilioni imepotea, wewe nani wa kumpinga. Halafu polepole alikuwa anatupigia hesabu za Nini kwenye hiyo Trilioni 1.5 channel ten?
 
Mimi naomba hao chura wa kihansi warudishwe, Nina jitolea kuwatunza kwa milioni 10,, tu kwa mwaka
 
Magufuli alipambana na ufisadi kivipi wakati CAG Assad alivyoibua ufisadi wa serikali alimtimua kazi na nyie wapambe wa kambale mkatukana Mzee Assad kila aina la tusi??

Pesa za plea bargaining zimetoroshewa China na magufuli na vijibwa vyake leo praise team mnasema eti alikua anapinga ufisadi 😂😂😂
 
Na ndiyo wakati nilimpuuza sana huyu boya

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…