Acha uongo mwananchi gani aliomba Stieglas gorge.Chadema imekuwa ikiponda ujenzi wa mound mbalimbali kuandika reli,zahanati,mashule,mabaranara nk
Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hilo miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni
Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi.
Hiyo ponda ponda ya Chadema ni at their own risk! Sababu miradi iliombwa na wapiga kura
CCM tutumie hii hoja kuwavurumisha Chadema wasipate kura maeneo hiyo miradi ilipo tuwaambie wazi mlitaka shule tukajenga kuna Chama kinaitwa Chadema kinaponda huu ujenzi mlioutaka wenyewe msikipe kura
Kwani nani ambaye huidhinisha mwisho wa siku kuwa kitu kinunuliwe kwa cash? Ni sheria ipi inayotamka kuwa manunuzi ya ndege lazima yafanywe kwa mkopo?Aahh wapi..
Miradi hii ndipo Meko anakopigia hela..
Nani hajui??
Nani alimuomba ananunue mindege kwa cash??
Upigaji.
Wananchi kwa ujumla wetu umeme uliokuwa ukikatika katika na ukiwa na gharama kubwa za mifisadi ya Richmond na iPTL tuliitaka setikali kupitia wabunge wetu waipigie kelele itafute ufumbuzi tuondokane na hiyo adha ikaja na ufumbuzi wa stigler gorgeAcha uongo mwananchi gani aliomba Stieglas gorge.
Hivi nyie huwa mnatuonaje watanzania lkn?Wananchi kwa ujumla wetu umeme uliokuwa ukikatika katika na ukiwa na gharama kubwa za mifisadi ya Richmond na iPTL tuliitaka setikali kupitia wabunge wetu waipigie kelele itafute ufumbuzi tuondokane na hiyo adha ikaja na ufumbuzi wa stigler gorge
Si kila barabara inayopita nyumbani kwako ni yako ingine inaenda kwa jirani yako nk. reli hivyo hivyo. Huwezi hii barabara inayoenda kwa jirani leo naibomoa!!!!Nani aliomba huo upuuzi wenu wa miradi upite Kwenye maeneo yetu?
Kwanza tuna mpango wakuanza kung'oa hiyo reli
Duh ebwana hyo sio sawa sasaNani aliomba huo upuuzi wenu wa miradi upite Kwenye maeneo yetu?
Kwanza tuna mpango wakuanza kung'oa hiyo reli
Ukitaka kujua kama waliomba au hawakuiomba Chadema nendeni Chato kwenye kampeni kisha semeni hii miradi ya uwanja wa ndege hapa chato na hizo taa za barabarani ni ujinga mtupu wa Magufuli tupeni kura sisi tutaiondoa .Ukawasikie mwenyewe hao wana kijiji wa chato watasemajeKwa hiyo hata ule ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato na zile taa za kuongozea magari zinazotumika kupitishia mikokoteni ya punda; ni Wananchi/Wanakijiji wa Chato ndiyo walio omba!!
Ok! Basi sawa.
Jamaa yenu alilofanikiwa nalo sana ni kuteka..kuuwa mfano Ben Saanane..kubambikia kesi wanaompinga..kunyanyasa wapinzani na mambo mengine ya ovyo.Kwani nani ambaye huidhinisha mwisho wa siku kuwa kitu kinunuliwe kwa cash? Ni sheria ipi inayotamka kuwa manunuzi ya ndege lazima yafanywe kwa mkopo?
Chadema imekuwa ikiponda ujenzi wa mound mbalimbali kuandika reli,zahanati,mashule,mabaranara nk
Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hilo miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni
Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi.
Hiyo ponda ponda ya Chadema ni at their own risk! Sababu miradi iliombwa na wapiga kura
CCM tutumie hii hoja kuwavurumisha Chadema wasipate kura maeneo hiyo miradi ilipo tuwaambie wazi mlitaka shule tukajenga kuna Chama kinaitwa Chadema kinaponda huu ujenzi mlioutaka wenyewe msikipe kura
Ukitaka kujua kama waliomba au hawakuiomba Chadema nendeni Chato kwenye kampeni kisha semeni hii miradi ya uwanja wa ndege hapa chato na hizo taa za barabarani ni ujinga mtupu wa Magufuli tupeni kura sisi tutaiondoa .Ukawasikie mwenyewe hao wana kijiji wa chato watasemaje

Mradi wa Stieglers gorge uliombwa na wananchi wa Jimbo gani?Chadema imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuandika reli,zahanati,mashule,mabaranara nk