Uchaguzi 2020 CHADEMA miradi ya ujenzi mnayoiponda ni wananchi wa maeneo husika ndio waliiomba, kuiponda ni kuwatukana

Unaweza kuwa na dhana nyingi kichwani mwako lakini kisayansi ndio sababu ya msingi.

Uwanja mkuu Dar uwanja wa dharura Zanzibar.

Uwanja mkuu KIA uwanja wa dharura Arusha.

Hali ipo hivyo duniani nzima lakini ukiingiza siasa kwenye kila kitu haya mambo huwezi kuyaelewa.

..hebu acheni uongo jamani.

..hivi mfaidika nini kutetea hilo lijizi?

..na sasa limekuwa katili, kwanini mnalitetea?
 
Wewe ndiyo mwenye ule ushindi wa 85% kwa jiwe pia?

Hitimisho zenu huwa ni kutokana na tafiti kweli au ni ndoto za mchana tu mnapokuwa mnafikiria zile buku 7 za siku husika?

october tutajua kama ni ndoto ama ushindi
 
Ndio wasiojua kiinglishi eee
💃💃

English haimaanishi kwamba hujasoma! infact itsnot necessary if everything in the syllabus inaweza kupata neno lake la kiswahili, i believe chineese dont give english any priority
 
Unaweza kuwa na dhana nyingi kichwani mwako lakini kisayansi ndio sababu ya msingi.

Uwanja mkuu Dar uwanja wa dharura Zanzibar.

Uwanja mkuu KIA uwanja wa dharura Arusha.

Hali ipo hivyo duniani nzima lakini ukiingiza siasa kwenye kila kitu haya mambo huwezi kuyaelewa.

..huu ni UONGO.

..maraisi wote isipokuwa Jpm hawakujua Mwanza inahitaji uwanja wa dharura unaotakiwa kujengwa Chato?
 
English haimaanishi kwamba hujasoma! infact itsnot necessary if everything in the syllabus inaweza kupata neno lake la kiswahili, i believe chineese dont give english any priority
Ndio, mataifa mengi tuu yana lugha zao za taifa ambazo ndio lugha za mawasliano. Ukienda kusoma ujerumani unajifunza kijerumani kwanza ndio uanze kusoma kilichokupeleka.
Kiingereza kama lugha inayotumiaka zaidi duniani inasaidia watu kuifikia dunia kijamii na kiuchumi kwa urahisi zaidi na sio kwamba kuongea kiinglishi ndio kuwa na akili zaidi au kuwa mjanja kuliko wengine, labda kuwa mjanjamjanja tuu
 
Lisu hatujui CCM kwenye majukwaa ya siasa kazoea presentation mahakamani na vyeo koko vya uraisi wa Tanganyika Law society akiitwa president koko kule anajiona ni presidential material kwenye majukwaa ya siasa!!!

Lisu you are welcome to the real world in political arena war ground to fight with real CCM giant political fighter John Magufuli
 
Anayeweza kukuelewa hapa atanufaika sana,
ila ndio hivyo tena wengi tunataka useme tunachokitaka sisi. Ukisema kilichopo hatukisikii sababu hatukitaki
 
..huu ni UONGO.

..maraisi wote isipokuwa Jpm hawakujua Mwanza inahitaji uwanja wa dharura unaotakiwa kujengwa Chato?
Maisha huenda yakibadilika hivyo hakuna ulazima Mwinyi kufanana na Mkapa kiutendaji na Mkapa kufanana na Magufuli.

Mahitaji ya kidunia pia yanabadilika.
 
Back
Top Bottom