Uchaguzi 2020 CHADEMA miradi ya ujenzi mnayoiponda ni wananchi wa maeneo husika ndio waliiomba, kuiponda ni kuwatukana

Wananchi kwa ujumla wetu umeme uliokuwa ukikatika katika na ukiwa na gharama kubwa za mifisadi ya Richmond na iPTL tuliitaka setikali kupitia wabunge wetu waipigie kelele itafute ufumbuzi tuondokane na hiyo adha ikaja na ufumbuzi wa stigler gorge
Miradi ya kifisadi ya Richmond na iPTL iliasisiwa na kuidhinishwa na serikali ya chama gani?!
 
CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk

Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hio miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni.

Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi.

Hiyo ponda ponda ya CHADEMA ni at their own risk! Sababu miradi iliombwa na wapiga kura.

CCM tutumie hii hoja kuwavurumisha CHADEMA wasipate kura maeneo hiyo miradi ilipo tuwaambie wazi mlitaka shule tukajenga kuna Chama kinaitwa CHADEMA kinaponda huu ujenzi mlioutaka wenyewe msikipe kura.
Walisema watafufua shirika la ndege leo limefufuliwa wanaongea kejeli majukwaani.

Wakati mwingine inawabidi waongee wanavyoongea majukwaani kwani wanakuwa wakitekeleza wajibu wao wa kidemokrasia.
 
..shirika la ndege ni hasara tupu.

..wapinzani hawajakosea kukosoa hali hiyo.
 
Acha uongo mwananchi gani aliomba Stieglas gorge.
Hawakuomba hiyo gorge! Waliomba kupatiwa umeme wa uhakika bila mgao na kwa bei rahisi - pia wakaomba usambazwe nchi nzima. Hawakuomba SGR, bali waliomba usafiri wa bei nafuu na wa haraka muno, wakaongeza kwamba pia uwe salama na uhakika kwa abilia na mizigo.
Hawakuomba Ubungo interchange wala mfugale flyover au new Sarender bridge - bali waliomba kusafiri ndani ya Dar-es-salaam kwa haraka bila foleni. Pamoja na mengine mengi! Kuona hivyo ndipo hayo mnayoyapinga yakazaliwa na wananchi wote pamoja na wewe mnayakubali.
 
..hebu tueleze atcl imeingiza faida kiasi gani kwa mwaka uliopita?
Sio biashara ya duka la mangi la kuuza Michele na omo za kufulia. Mikakati inaangalia mbali sana.

Kumbuka kuwa Mungu katupa maliasili nyingi hivyo ni jukumu letu kuwa na mipango inayotazama mbali.

Huwezi kupewa utajiri kama tulionao halafu ukawa na mitazamo inayojikita ndani tu ya nchi.
 
Hawakuomba hiyo gorge! Waliomba kupatiwa umeme wa uhakika bila mgao na kwa bei rahisi - pia wakaomba usambazwe nchi nzima. Hawakuomba SGR, bali waliomba usafiri wa bei nafuu na wa haraka muno, wakaongeza kwamba pia uwe salama na uhakika kwa abilia na mizigo.
Hawakuomba Ubungo interchange wala mfugale flyover au new Sarender bridge - bali waliomba kusafiri ndani ya Dar-es-salaam kwa haraka bila foleni. Pamoja na mengine mengi! Kuona hivyo ndipo hayo mnayoyapinga yakazaliwa na wananchi wote pamoja na wewe mnayakubali.

..Na wananchi wa Chato wameomba international airport na usafiri wa ndege.
 
Sio biashara ya duka la mangi la kuuza Michele na omo za kufulia. Mikakati inaangalia mbali sana.

Kumbuka kuwa Mungu katupa maliasili nyingi hivyo ni jukumu letu kuwa na mipango inayotazama mbali.

Huwezi kupewa utajiri kama tulionao halafu ukawa na mitazamo inayojikita ndani tu ya nchi.

..atcl imepata faida au hasara?

..tunataka kuona maendeleo in our generation.

..tangu ccm imeasisiwa kumekuwa na ilani zisizopungua 8 za uchaguzi.

..na ilani zote hizo zimeshindwa kuikwamua nchi yetu.
 
Kujikwamua inategemea na uelewa wa mtu mmoja mmoja. Kwake jambo lisilofahamika kwa mwingine ni fursa ya kimaendeleo.

Hatufanani na hatujawahi kufanana hivyo usiwe na hukumu za jumla kwamba ilani hazijaleta maendeleo.

Faida ya atcl haipimwi kwa mwaka mmoja na jaribu kutafakari kwa kina kwamba hizi ni nyakati za corona kila biashara inapitia mkwamo fulani.
 
..Na wananchi wa Chato wameomba international airport na usafiri wa ndege.
Chato ya miaka 15 ijayo sio sawa na ya leo. Tatizo la siasa zetu ni ubinafsi wa kuangalia leo tu.

Mwanza airport inakwenda kuwa hub ya ukanda huu hivyo ni lazima uwepo uwanja mwingine wa ndege wenye kuwa karibu na hub.

Haya ni masuala ambayo Tundu Lissu hawezi kuyaongelea kwa sababu hana maono ya mbali zaidi ya kujikita kwenye siasa zenye kuitazamaleo tu.
 
Hawa wa Chato walikuwa kama wewe hawakuomba international Airport na wala vitu hivyo hawavijui. Ila walipojenga uwanja mkubwa wa mwanza., ndipo hitaji la uwanja mbadala likajitokeza - mbadala in case pametokea dharula Mwanza ndege itatua uwanja huo wa Chato.
 
Asante mkuu kwa kumpa shule huyo muungwana.

Unapokuwa na uwanja mkubwa wa ndege ni lazima uwe na uwanja mwingine wa akiba.

Dunia nzima ndivyo uhalisia ulivyo. Tanzania wanasiasa wanacheza na akili za walio wengi.
 
CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk

Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hio miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni.

Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi.

Hiyo ponda ponda ya CHADEMA ni at their own risk! Sababu miradi iliombwa na wapiga kura.

CCM tutumie hii hoja kuwavurumisha CHADEMA wasipate kura maeneo hiyo miradi ilipo tuwaambie wazi mlitaka shule tukajenga kuna Chama kinaitwa CHADEMA kinaponda huu ujenzi mlioutaka wenyewe msikipe kura.
Wananchi wa Chato waliomba kujebgewa uwanja wa ndege ?
 
Miradi ya kifisadi ya Richmond na iPTL iliasisiwa na kuidhinishwa na serikali ya chama gani?!
Iliidhinishwa na fisadi Lowasa akiwa waziri mkuu bila ridhaa ya CCM wala Raisi Kikwete ndio maana CCM tulimkimbiza mbio na marungu akakimbilia kwenu Chadema akajificha kwenu kugombea Uraisi
 
Chato ya miaka 15 ijayo sio sawa na ya leo. Tatizo la siasa zetu ni ubinafsi wa kuangalia leo tu.

Mwanza airport inakwenda kuwa hub ya ukanda huu hivyo ni lazima uwepo uwanja mwingine wa ndege wenye kuwa karibu na hub.

Haya ni masuala ambayo Tundu Lissu hawezi kuyaongelea kwa sababu hana maono ya mbali zaidi ya kujikita kwenye siasa zenye kuitazamaleo tu.

..ulichoandika naweza kusema ni URONGO.

..lazima kuwa na hitaji la uwanja wa ndege, halafu ndio uwanja huo ujengwe.

..huwezi kujijengea tu uwanja wa ndege, halafu ukikamilika ndiyo unaaza kutafuta huku na kule sababu za kuhalalisha ujenzi huo.

..unadai Chato utakuwa uwanja wa ndege wa "kusaidia" uwanja wa ndege wa Mwanza. Sasa kwanini umeanza kujengwa Chato kabla ya kumaliza upanuzi wa Mwanza? You would have made more sense kama ungesema Mwanza ni uwanja wa "akiba" wa Chato. After all Chato ni international airport and Mwanza is not.

..kuna mwingine nimemsikia anadai uwanja wa ndege wa Chato ni kwa ajili ya "usalama" wa Raisi. Hivi maraisi wote waliomtangulia Jpm hawakuwa na mahitaji ya usalama? Mbona hawakujenga viwanja vya ndege vijijini kwao? Yaani usalama wa Jpm unatishiwa kuliko wa Mwalimu Nyerere ambaye alikuwa na mgogoro wa kijeshi na Uganda tangu mwaka 1971 mpaka 79, pamoja na vita vya ukombozi kusini mwa afrika?

..uwanja wa ndege Chato ni kwa mahitaji binafsi ya Jpm, na siyo hitaji la wananchi wa kanda ya ziwa, mkoa wa Geita, au wilaya ya Chato.
 
CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk

Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hio miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni.

Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi.

Hiyo ponda ponda ya CHADEMA ni at their own risk! Sababu miradi iliombwa na wapiga kura.

CCM tutumie hii hoja kuwavurumisha CHADEMA wasipate kura maeneo hiyo miradi ilipo tuwaambie wazi mlitaka shule tukajenga kuna Chama kinaitwa CHADEMA kinaponda huu ujenzi mlioutaka wenyewe msikipe kura.
Waliiomba ama ya washauri was m.kiti.
 
Back
Top Bottom